Search results

  1. E

    Hawa ndiyo walikuwa viongozi vinara kwenye utawala wa Awamu ya Tano

    Pepo au kwenda Mbingiui kwa Magufuli funguo anazo Tundu Lissu , familia yake magufuli wasipomwomba msamaha Tundu Lissu,.Basi Tundu Lissu akiaga duniam kwa matakwa ya mungu mwenyewe atamkuta Mh Magufuli tohorani anang`ang`a macho
  2. E

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Nafasi ya kwenda peponi yaani kwenda mbinguni muumini mwenzetu Mh sana Yohani Magufuli ameishika muumini mwenzie wa kanisa katoliki Mukatukumeni Tundu Lissu, Nduguze Magufuli wamwone TUNDU LISU kwa njia ya kitubio amsamehe Magufuli kwa yale aliyomtendea akiwa duniani. Vinginevyo bila Tundu...
  3. E

    Waliolazimisha watu kupewa chanjo ya Corona wakamatwe

    wewe mleta mada ni pumbafu pumbafu la mapumbafu, huyo mtu wenu si alikufa kwa ujinga huo na ugonjwa huo akaponza hadi na wenzie wakafa, wale waapishaji walikufa wote kuanzai I kijazi Science huwa haipingwi bali hufuatwa ukipingana na science utaumia tu.Science siyo kama imani za dini bali ni...
  4. E

    Tetesi: Pitso Masomane kocha mteule SIMBA FC kuanzia leo saa moja kamili

    Kama makolo mmefanikiwa kumsajili kocha huyo hapo juu basi mtakuwa mmetisha, ngoja tusubiri hiyo saa moja tusikie hiyo habali kuu. Pitso Masomane ni kocha wa hadhi ya juu kabisa hapa Africa na atapaisha sana hadhi ya Simba SC
  5. E

    Unaweza ukashangaa Makonda kateuliwa na kurudishwa serikalini au kwenye chama

    Hivi watu wengine kama matumbo yanuma kwenda tu kuharisha hua mnaona ugumu gani? Kuliko kuharisha humu kwenye jamii forum asubuhi subuhi? Huyo Makonda wa kwenye awamu ya vyeti feki wa nini sasa? Ana nini cha mno? Ana jipya gani? Kwenye huu utawala wa democracy and rule of law Makonda wa nini...
  6. E

    Simbachawene fuata yako ya jimbo la Kibakwe ya kwetu Mpwapwa tuachie tutamaliza wenyewe

    Umekuwa mstali wa mbele ukimpigia chapuo kijana Mkemwa ambaye ni wakwenu huko jimboni Kibakwe ili eti awe Mbunge wa Mpwapwa kwa sababu huyu aliyopo ameshindwa kabisa ku-crick. Huoni kamaa hututendei haki na unatuingiza chakaa kwa makusudi kabisa? Pili huoni kama waziri unapen yeza agenda zako...
  7. E

    Kama wewe ni mchawi usije Kigoma kipindi hiki, Kuna operesheni kubwa sana inaendelea

    kujifanya mchawi, kumwambia mtu mchawi ni kosa la jinai wacha hao wanaojifanya wanatafyta wachawi wakikamatwa watakiona cha myema kuni
  8. E

    Matukio ya nyuma yaliyopokelewa na kuungwa mkono kwa mihemuko na baadae kushindwa kuleta matokeo chanya na hatimae kutupwa

    Ninaanze na: SIASA ZA UJAMAA NA KUJITEGEMEA; Kwa kifupi siasa hizi za ujamaa ndo nchi ilianza nazo,siasa zilisema njia kuu za uchumi ziwe mikononi mwa umma, biashara zilifanywe na serikali mfano usafirishaji KAUDO ,KAUMA, SHIRECU ,TACOSHIL na ATC etc, mashirika ya biashara mfano National...
  9. E

    CDF mteule Jenerali Mkunda ni Mkagulu toka Wilaya ya Gairo

    Ndugu zake wengi wako wilaya ya Mpwapwa maeneo ya kijiji cha Bumila pia wako kitongoji cha Ng`ambo mjini Mpwapwa. Amefanana kabisa na Mkunda yule aliyekuwa amemuoa Dr. Mkunda yule alikuwa daktari wa meno hospitali ya wilaya Mpwapwa na Dodoma (wote wawili ni marehemu kwa sasa). CDF huyu ni...
  10. E

    UZINDUZI WA KITABU: Lissu asuswa na kupuuzwa na wanaharakati wenzake

    Kitabu cha Mh. TUNDU lISSU kimezinduliwa huko Kenya . watu maarufu waliokuwepo katika uzinduzi huo ni pamoja na Msalia Mdavadi mwanasiasa marufu huko Kenya tafauti na vitabu vya watu wengine mashuhuri waliozindua vitabu vyao cha Tundu Lissu kimetia fora kwa sababu softcopy pekee zilizoisha...
  11. E

    Mwandishi wa STAR TV ajuta kumfahamu Joseph Mbilinyi

    Wewe ni mpumbafu mwili mzima, Sugu na bangi wapi na wapi
  12. E

    Sheikh Mselem: Tukiambiwa Hapana, tusishindane na mwenye nguvu

    Msiende tena mkaanze kuhamasisha kuchoma makinisa na kuwapiga mapadri risasi
  13. E

    Shida ya Yanga ni no 9 na 10 siyo beki

    Huyu ni beki wa AS VITA eti kasajiliwa na Yanga. Shida kuu kwa timu ya yanga sasa hivi ni safu ya ushambuliaji ndiyo ipo butu, anatakiwa kusajiliwa straiker mwenye uwezo wa kupiga miguu yote na vichwa na pia mwenye uwezo wa kupiga faulo (freekick) na kufunga,Sarpong hana kabisa uwezo huo na...
  14. E

    Midfield myestro Juma Matokeyo(Matokeo)

    Mwisho alikuwa ni mchezaji wa yanga hatimae Pan African ya Dar. Alitokea Tumbaku ya Morogoro akiwa pamoja na akina Shillingi na Hussein Ngulungu. Nilikuwa ninamsikia redioni Enzi hizo wakati mpira ulikuwa unatangazwa kwenye redio za mbao,kuja kumwona uwanjani ilikuwa ni kati ya Enugu rangers ya...
  15. E

    Wanaojua kandanda wamesema Morrison ndiye aliyemaliza matumaini ya Simba kupindua meza

    Sawa ila na huyu Morrison mambo ya kwapukwapu aache ameigharimu timu sasa hivi tungekuwa tunazungumza mengine kama asingekata move ya bao la pili
  16. E

    Wanaojua kandanda wamesema Morrison ndiye aliyemaliza matumaini ya Simba kupindua meza

    Move ile ilikuwa katika hatua ya mwisho ya kupata bao la pili alikata move , LENGO lake lilikuwa zuri maana aliomba penalty lakini timing ilikuwa mbovu wale ni marefa wa kimataifa siyo wa league ya voda mind you
  17. E

    Wanaojua kandanda wamesema Morrison ndiye aliyemaliza matumaini ya Simba kupindua meza

    Huyu Morrison ni mtukutu na katika mechi fulani ya Simba katika league ya VODACOM alimshika linesmen bukta akapata kadi ya njano nusura mechi ile Simba wapate draw na mwadui. Hebu Simba imtafutie wana saikologia kijana huyu ili akae sawa ni mchezaji mzuri, ni kweli mashambulizi mhimu...
  18. E

    Ni mzee gani alimpa Nyerere makochi ya kukalia ambayo yapo kwenye nyumba ya Nyerere hapo magomeni?

    Ni Mzee MBowe baba yake Mh. Mbowe ndiye alimstili Mzee Nyerere, baada ya kupewa nyumba hapo magomeni yeye yule Mzee babayake Mh. Freeman Mbowe akampa makochi akalie mzee, ushuuda huu aliwahi kusema Mke wa Nyerer Mama Maria Nyerere,alisema Mzee Mbowe alitupa viti vya kukalia ambavyo vipo mpaka...
Back
Top Bottom