Search results

  1. chuma cha reli

    Mke amwomba mme alale na mtu mwingine ili wapate mtaji

    Hii ni movie ya kitambo sana inaitwa Indecent Proposal tena muhusika anaitwa Demi Moore What a coincidence..
  2. chuma cha reli

    Ukiona Dalili hizi jua uzee ndio huo unabisha mlangoni

    Hapo kwenye kutaka umoja ndio kwenyewe kabisa kuna dingi yangu mmoja maisha yake yote alijitenga na watu sasa amezeeka ndio anataka umoja eti watu tupendane...
  3. chuma cha reli

    Dragon fruits mdogomdogo inaanza ingia sokoni

    Tulianza na aloe vera,mafuta ya ubuyu, mayai ya kwale, almond,mbegu za maboga,mkojo wa sungura,kilimo cha nyoka, Tikiti elfu 1 kwa eka, ufugaji wa mende na sasa tumefika kwenye Kilimo cha Dragon Job kweli kweli.
  4. chuma cha reli

    Chuo cha TIA kwanini mnawatia wazazi na wanafunzi hasara?

    Huo ni utapeli wa kuaminika, fungueni kesi mahakamani kudai fidia na kupotezewa muda
  5. chuma cha reli

    Tabia ya mke kusambaza habari kutoka ndani kwake, je ni sahihi?

    Huyo Mke bado hajatoka kwenye himaya ya familia yao, na inawezekana wewe kwa aina ya matusi na kejeri unazompa ndio zinazomfanya aone bado hajaingia kwenye himaya ya familia yenu, hivyo anatafuta relief kutoka familia yao. mfanye aone nyinyi ni familia moja na mambo yenu yaishie kwenye kuta za...
  6. chuma cha reli

    Mapenzi na Siri zake za ovyo

    Usimchunguze bata kijana...
  7. chuma cha reli

    Mwanamke wangu ananishurutisha sana nibebe pochi yake barabarani

    Iyo yote ni kwa sababu Me ni kichwa na Ke ni shingo, sasa jiulize kichwa kinaweza kugeuka bila shingo... Btw simamia msimamo wako kama Me
  8. chuma cha reli

    Mkutano wa kimataifa wa kutokomeza ukeketaji 09- 11 Okt, 2023 Dar, JNICC

    Mwamko unahitajika sana katika mikoa tajwa ,nasikitika sana kuona mkoa wangu wa Mara ukiwa miongoni mwa mikoa yenye takwimu hizo..
  9. chuma cha reli

    Ukikua kiumri taste ya baadhi ya aina ya chakula inapotea ama nini?

    Hata wenzio yupo hivyo hivyo so siku moja moja naingia mitamboni namtolea kitu cha Nazi ya kukata...
  10. chuma cha reli

    Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

    Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie.
  11. chuma cha reli

    Ukikua kiumri taste ya baadhi ya aina ya chakula inapotea ama nini?

    Wali maharage haujawai kuniangusha hata siku moja,tena ukipikwa siku hiyo lazima niwahi kurudi nyumbani mapema kabisa saa moja tu usiku nimeshatia timu na wife anavyonijualia lazima ataniwekea ukoko na matandu kwa mbaliiii...
  12. chuma cha reli

    Je, hii ni sahihi katika dini ya Uislamu???

    Shia hao, Imani na itikadi zinatofautiana Ni sawa na Katoliki Mwanamke hawezi kuongoza ibada lakini kwa walokole ni sahiii
  13. chuma cha reli

    Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli

    Wanawake hawajui wanataka nini...
  14. chuma cha reli

    DOKEZO Madaktari wa kizazi hiki mnatia aibu sana

    Sasa mtu ameshapiga K vant unataka afanye maajabu gani...Btw Inawezekana hakuwa na udhoefu wa kutosha.
  15. chuma cha reli

    Siku Nilipoiona Simu Kwa Mara ya Kwanza Odeon Cinema 1955 au 1956 au Nyuma ya Hapo Kidogo Sijavuka Miaka 4

    Kiongozi Mungu azidi kukupa uhai ili tuendelee kufaidi historia unayotupatia Naomba ufafanuzi kidogo hapo unaposema Shirati mkoa wa Musoma nachojua Mimi ni Mkoa wa Mara tena sasa ivi ni wilaya ya Rorya.... imenishangaza sana kusikia una viasili vya Wilaya ya Rorya nyumbani kwetu
  16. chuma cha reli

    Ni kweli hakuna wanaume waaminifu?

    Una trackoooo....sio unalalamika tu
Back
Top Bottom