Search results

  1. J

    Liwa

    Asante sana mdau , I real appreciate it!
  2. J

    Liwa

    Asante, ila nilikuwa nataka kujua katika maana ya product ya mmea sio neno kama kiunganishi. Hope nitasaidiwa.
  3. J

    Liwa

    Hello wadau, Naomba mnisaidie maana ya neno 'LIWA' ni chemical au mmea au kitu gani, Nitashukuru kwa msaada wenu. Joack
  4. J

    Mayai ya kienyeji /vifaranga wa kienyeji

    Jaribio hili halina zaidi ya miezi 9 Sijajua itakuwaje baadae ila vifaranga wamekua na wamefikia kutaga ninawatunza kienyeji yaani wanatembea tembea nje.
  5. J

    Naomba kama kuna mwanaJF anajua formular ya kutengeneza/kuchanganya Broiler, Layers, na Chick Mash

    Habari wnana JF, Naomba kama kuna mwanaJF anajua fomular ya kutengeneza/kuchanganya Broiler, Layers, na Chick Mash anisaidie. Nitashukuru sana
  6. J

    Naomba kama kuna mwanaJF anajua formular ya kutengeneza/kuchanganya Broiler, Layers, na Chick Mash

    Habari wana Jamii Forum, Naomba msaada kama kuna wanaojua au wenye uzoefu wa kutengeneza chakula cha kuku, anifundishe na kwa kuwasaidia wengine formula ya kutengeneza au kuchanganya chakula cha kuku aina ya Broiler Mash, Layers Mash, Broiler Starter/Chick Mash. Pia naomba ushauri wa wapi...
  7. J

    Mayai ya kienyeji /vifaranga wa kienyeji

    Mimi nilijaribu kuweka majogoo kama saba hivi kwenye banda lenye majike sabini wa mayai nilipoyaweka hayo mayai yalikuwa yanaangua tu. Ila kama unafanya hivyo jitahidi kuwapa majani kwa wingi na virutubisho vingine ambavyo kuku wanaotembea nje huwa wanavipata kama wadudu na madini kama chokaa...
  8. J

    Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

    Mmmh! mtu asikudanganye natural wana raha ya kipekee. mimi kwa upande wangu napenda sana na naenjoy vibaya ninapokuwa na mwanamke ambaye yuko natural alafu msafi huwa safari inakuwa ndefu sana na ya raha zaidi.
  9. J

    Mayai ya kienyeji /vifaranga wa kienyeji

    Kwa experience yangu, kuku wote wana uwezo wa kutaga mayai hata bila jogoo wakila chakula chochote kiwe cha asilia au cha kiwandani ila tofauti ni katika mayai yatakayotagwa. Wenye jogoo yatakuwa na kiini kilichorutubishwa na mbegu ya jogoo (fertilization) ambayo yanakuwa na uwezo wa kuanguliwa...
  10. J

    Visa vya wasafiri ndani ya mabas. Hebu kama unacho kisa ulichokiona/sikia ndani ya dasii hebu jotdwn

    Nilikuwa nasafiri kutoka Msata - Pwani kuja Dar, Tulipofika Kongowe, alipanda jamaa mmoja akiwa ameongozana na mwanamke mmoja mrefu kiasi na unene kiasi. Walipokaa kwenye siti wakawa wanaendelea na stori zao na kuonyeshana mapenzi na kutufanya wengine tuvutiwe na kuanza kugeuza shingo zetu huku...
  11. J

    Sijampata wa kunimalizia hamu ya ngono

    Jamani kwa mtindo huu hawezi kusaidika, vigongo vimezidi hata hapumui anapewa kigongo kingine dah! sio uungwana WanaJF. kwanza si mnaona umri wake na isitoshe anaonekana anahitaji ushauri wa kitaalam la sivyo ukimwi utammaliza. Sasa kama bado upo mimi nakushauri jitahidi kuhudhuria ibada...
  12. J

    Kuna Mwana JF yeyote aishiye Dar au karibu Anafanya Drip Irrigation? Ningependa kumtembelea

    Mimi nilifuatilia mpaka wizara ya kilimo walinisaidia. Hebu jaribu kuwasiliana na ofisi za kilimo za wilaya sijajua uko wilAYA gani. Ulizia miradi ya DADIPS watakupa details za drip irrigation. Ila vitendea kazi na utaalam wanatoa hao Balton Ltd wako arusha.
  13. J

    Mwenye Noah, Gaia au gariyoyote inayobeba abiria 7 na kuendelea kwa ajili ya kazi!!

    Kuwa makini. Sidhani kama kuna Starlet iliyotajwa hapo juu au macho hayaoni vizuri rafiki.
  14. J

    Mwenye Noah, Gaia au gariyoyote inayobeba abiria 7 na kuendelea kwa ajili ya kazi!!

    Kassim, Kwani ofa yako ya mwisho ni ngapi nitumie kwenye private message username: Joack au email: jsleym@gmail.com
  15. J

    Mwenye Noah, Gaia au gariyoyote inayobeba abiria 7 na kuendelea kwa ajili ya kazi!!

    Inaonekana umedandia tu mada huelewi hata kinachoendelea wala kinachoongelewa ndugu.
  16. J

    Mwenye Noah, Gaia au gariyoyote inayobeba abiria 7 na kuendelea kwa ajili ya kazi!!

    Siwezi kuweka namba zangu za simu hapa kuepuka usumbufu kutokana na watu kuwa na ak ili tofauti. Naomba ndugu kama uko serious naomba unitumie private message kwa username ya Joack. Nimekutumia namba za simu kwenye private message yako angalia kwenye Inbox utazikuta kwa mapatano zaidi. Au...
  17. J

    Mwenye Noah, Gaia au gariyoyote inayobeba abiria 7 na kuendelea kwa ajili ya kazi!!

    Brine, Siwezi kuweka namba zangu za simu hapa kuepuka usumbufu kutokana na watu kuwa na akili tofauti. Naomba ndugu kama uko serious naomba unitumie private message kwa username ya Joack. Nitakutumia namba ya simu kwa mapatano zaidi. Au tumia email ya jsleym@gmail.com
  18. J

    Mwenye Noah, Gaia au gariyoyote inayobeba abiria 7 na kuendelea kwa ajili ya kazi!!

    Siwezi kuweka namba zangu za simu hapa kuepuka usumbufu kutokana na watu kuwa na akili tofauti. Naomba ndugu kama uko serious naomba unitumie private message kwa username ya Joack. Nitakutumia namba ya simu kwa mapatano zaidi. Au tumia email ya jsleym@gmail.com
  19. J

    Mwenye Noah, Gaia au gariyoyote inayobeba abiria 7 na kuendelea kwa ajili ya kazi!!

    Kassim, Kwani ofa yako ya mwisho ni ngapi nitumie kwenye private message username: Joack
  20. J

    Mwenye Noah, Gaia au gariyoyote inayobeba abiria 7 na kuendelea kwa ajili ya kazi!!

    Sijaweka namba za simu kwa sababu za watu wenye akili na uelewa tofauti kama unavyoona walivyotoa comment hapo juu. Sisi binadamu tuna uelewa tofauti. Naomba aliye tayari na serious anitumie private message kwa: Joack ili nitoe nammba za simu.
Back
Top Bottom