Search results

  1. Mr Denis

    Natangaza nia ya kugombea udiwani Kelamfua Mokala

    Kuna watu wamenitoa kwenye kundi la ROMBO UNION kwa nini??
  2. Mr Denis

    Msome Meya Jerry Silaa akihalalisha uwepo wake Mwanza licha ya janga la mafuriko Dar

    Je hata kama wamejenga mabondeni, kama kiongozi kuyasema hayo ni sahihi? Itakapo tokea siku wakalipuliwa watu kwa mabomu alafu polisi wakajibu tulishatoa tahadhari je watanzania watawaelewa?
  3. Mr Denis

    PICHA; M4C- OPD, kutoka Polisi Iringa hadi kuitikisa Pwani na kujionea 'maajabu' ya elimu Chalinze

    kama hadi chalinze wamo kundini, mwisho wa maccm umekuja
  4. Mr Denis

    Rais Kikwete amteua Dr. Migiro kuwa mbunge

    kupeana shavu ni kawaida kwa masisiemu
  5. Mr Denis

    Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

    we mbulula kweli rafki yangu, kumbe wamekopa? si zitarudi sasa, kilaza sana wewe mi nilidhani wameiba kumbe ni mkopo? serikali ya ma CCM inakopa sembuse katibu mkuu na mh lemma? leta hoja myingine acha wenge jombii
  6. Mr Denis

    Tamko la CHADEMA mkoa wa Geita kuhusu Zitto kuvuliwa uongozi

    nendeni mfuateni tuone mwisho wenu.
  7. Mr Denis

    Mishahara Ya Marais Duniani Hii Hapa!!!

    Muongo papa wa kanisa katoliki anaitwa pope fransis na sio pope benedict xvi! It seems information zako ni out of date!!!!!!!!!!
  8. Mr Denis

    Kazi ya kusaka Mabilioni nje yaanza: Rostam, Mbowe, Ngeleja wahojiwa!

    Ninyi raia mwema na munaochangia baadhi yenu. .................... Zingatieni kuwa,,mada ni ya mabillioni ya uswizi yanaingilianaje na jumba la mboweeee????
  9. Mr Denis

    Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

    kwani ccm ilivofanya uchaguzi jakaya alipambana na nani kwenye hou uchaguziiiiii? acheni kiini macho tulizeni akili na toeni hoja za msingi
  10. Mr Denis

    Ufisadi wa kutisha jiji la Mwanza,mbunge wa CHADEMA ndiye hatari zaidi

    huo ufisadi umezidi ule wa epa na rader? wakutisha wakutisha umetisha nini????????
  11. Mr Denis

    Photo interpretation

    ama kwli kama una hasira wakati mwingine inabidi ucheke
  12. Mr Denis

    Sophia Simba: CHADEMA wanatumiwa kuanzisha vita na Mataifa ya nje ili yapate soko la Silaha

    awapeleke mahakamani. vita iliyowashinda akina nape mwigulu akina kinana wassira na wenziye yeye atauweza mziki wa chadema?????????? wanasisiemu bhana duh
  13. Mr Denis

    Uchochezi wa Dr. Slaa na utembezi wake wa vyuoni Marekani. Iweje aruhusiwe?

    dr slaa ndo adui wa kwanza kwa ccm mtaipata
  14. Mr Denis

    Josephine Mshumbusi unainajisi CHADEMA. Tafadhali na tuchore mstari, tuseme yatosha sasa!

    tatizo la mtoa hoja amejikita ktk kulaumu wanachadema na kutaka kama vile kuchukua hatua. binafsi sitaki kupinga labda una ushaidi ama chuki au malengo yako pekee ktk uzi huo. kwangu mimi, ebu andaa uzi mwingine na ktk vigezo hvo hvo mlinganishe na umlinganue na first lady wa ndugu alafu tuamue...
  15. Mr Denis

    Mahakama waiondoa kesi dhidi ya Godbless Lema

    CCM sijui itajisikiaje
  16. Mr Denis

    Kwanini Dr Slaa akisafiri ofisi anamwachia Victor Kimesea, majukumu yake anamwachia Mnyika?

    wewe ndo msemaji wa mh zitto? jenga chama chako ya chadema waachie wana CDM
  17. Mr Denis

    Mbowe ueleze umma ukweli, ni nani kafanya mauaji arusha?

    mawazo ya mgombani anayo waziri mkuu wako na polisisi emu! mhalifu nani kati ya alielipua bomu na mwenye ushahidi? kenge wewe:A S-fire1: ulivopimbi unadai huezi kuendesha nchi kihuni, utamwendesha nani ngedere ww usieijua sheria ya uundwaji wa tume huru ya uchunguzi? mwalifu ni polisisiem iweje...
  18. Mr Denis

    Nini Faida Ya Kuwa Na Wabunge Hawa Mpaka Sasa na Upatikanaji Wao ni Halali?

    :A S-fire1: ovyo hawana mchango wwte kwa taifa labda kwa familia zao
  19. Mr Denis

    Mbowe ueleze umma ukweli, ni nani kafanya mauaji arusha?

    mbuzi mbuzi tuuuuu hata akikatwa mkia, mbowe aliposema ana ushahidi alisema pia hatoutoa kwa polisi labada kwa tume ya kimahakama ambazo atlist zinaaminika kama co ccm kuhusika why jk hajaunda tume ya uchunguzi? ila kama ingekua hakuna uhusika wa ccm basi raisi angeunda tume!
  20. Mr Denis

    Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

    uchaguzi wa CHADEMA NI SIKU UTAKAYOFANYIKA
Back
Top Bottom