Search results

  1. zesinia

    Kwa mwenye uelewa kuhusu nafasi ya Cardinal Pengo kwenye ukatoliki

    Endeleeni kujidanganya kuwa Cardinal ni sawa na shemasi askofu wa Rulenge!
  2. zesinia

    Mtifuano kati ya Jenerali Ulimwengu na Mary Chipungahelo a.k.a Mama Chips

    Mama Chips ni mbondei wa Tanga ukoo wa Zayumba. Mfanyakazi serikalini muda mrefu katika idara ya maendeleo ya jamii. Amefundisha pia vyuo vya maendeleo ya jamii na mwishowe kuwa mkuu wa chuo ikiwamo Rungemba. Ni mke wa Dr. Chipungahelo almaaruf Dr Chips. Watoto, wajukuu na vilembwe wapo wengi na...
  3. zesinia

    Waziri Mwijage akiri serikali ilikuwa inaficha: Dangote wanataka gesi ya bure, hawatawapa

    Its all about lobbyists! Officially there is no lobbyist in TZ, but if you look closely you will find them everywhere. This game is about Truckers and Mining lobby wining their slice. Ask Railways??
  4. zesinia

    MTWARA: Kiwanda cha Dangote chasitisha uzalishaji wa saruji kutokana na gharama kuwa juu

    Liganga hakuna makaa ya mawe. Yanaongelewa makaa ya mawe ya Ngaka huko Mbinga. Liganga kuna chuma na mchuchuma kuna makaa ya mawe vyote havijaanza kuchimbwa.
  5. zesinia

    Waziri wangu Ndalichako, mwanafunzi aliyetetewa kwa nguvu zote atafunzwa na dunia!

    Ni vyema kuwa makini kwenye suala hili. Waheshimiwa wamefanya kazi yao na ni sahihi kabisa ila spidi yao inaweza kusababisha waonekane kama walimu wanafunzi wale wenye hasira. Wamehemuka kama walimu wanafunzi wale! Sasa ni vyema apatikane asiye na mhemuko atakayesikiliza pande zote kwa umakini...
  6. zesinia

    Sheria zote nchini kuwa kwa Kiswahili

    Kama umeshindwa kulielewa suala rahisi kama hili linalohusu sheria kutafsiriwa kwa lugha ambayo wananchi wanaielewa sishangai kishindwa kumuelewa Profesa katika yaliyo magumu zaidi. Hakuna marufuku ya kuandika sheria kwa kiingereza lajini sasa kutakuwa na fasiri ya swahili kwa sheria zote hili...
  7. zesinia

    wanafunzi wakataliwa chuo kikuu dodoma

    Utaratibu wa kuripoti vyuoni unawataka wale waliochaguliwa nanNACTE au TCU kusubiri majina yathibitishwe na chum husika. Tariff zilizopo ni kwamba senate ya UDOM haijakaa kupitia na kuyathibitisha majina hayo. Sasa hat waliokwenda kuripoti wamepata wapi maelekezo hayo? Maelekezo ya NACTE...
  8. zesinia

    Mulugo: Nilifaulu peke yangu kwenda secondary

    1994 ilianza cost sharing.
  9. zesinia

    The National Council for Technical Education (NACTE) INAPOTEZA MUDA

    kwa utaratibu wa NACTE, ukimaliza hiyo diploma unatakiwa ukafanye kazi, sio umepata competences za technician? Kama ulikuwa na mpango wa kuunganisha ungekwenda form VI.
  10. zesinia

    Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

    ?hiyo miili inamahusiano gani na waliokamatwa? Akina Mh Lissu wameanza lini kuwaa walinzi wa mortuary?
  11. zesinia

    Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

    Courtesy of J Makamba
  12. zesinia

    Flora Mbasha na Edward Lowassa

    Yesu alikula na mtoza kodi Zakayo, ana dhambi gani Lowasa ya kutoalikwa na Mbasha?
  13. zesinia

    Who is Benson Bana?

    Bana is straight forward and progressive fellow. He is not what you have been lamenting here. I wish you would have worked with him.
  14. zesinia

    JK Ampeleka Augustino Mrema kutibiwa India?

    Mrema kutibiwa hi haki yake kama mwananchi na hasa ukizingatia mchango wake katika nchi hii. Siyo favour ya JK ni kwamba JK ameona umuhimu huo. Alimlipia saidi kubeneya sembuse MREMA?
Back
Top Bottom