Search results

  1. MTOTO YATIMA

    Msaada kilimo cha hoho

    Nahitaji connections ya soko zuri la hoho nipo arusha na kuanzia mwez November nitaanza kuvuna bdo sijawa na soko la uhakika.
  2. MTOTO YATIMA

    Nassari umewauza wananchi wa Meru

    Binafsi nielee kusikitishwa na kitendo alichofanya Rafiki yangu na kaka yangu. Kama kweli dhamira yako ya ndani ni kununuliwa basi umetutia donda kubwa sana. Kuna watu tulijitoa sana kwa ajili ya ubunge wako lakini wewe umekua hauambiliki, umefanya PhD ni kweli lakini hiyo ni kwa ajili yako na...
  3. MTOTO YATIMA

    Air tanzania na hapa kazi tu

    Slogan yetu ya ''Hapa Kazi" ni nzuri sana ina nia njema sana lakini kuna suala moja linajitokeza hapa, Lengo hasa la hyo kauli ni nn kama ni kwa ajili yetu tu sisi watanzania ni sawa kabisa mana sisi tunajua maana yake na kuitafsiri vyema lakini kama lengo lake ni kuonekana kimataifa bado kuna...
  4. MTOTO YATIMA

    Biashara Bariadi

    Asante sana kwa maelezo mazuri
  5. MTOTO YATIMA

    Biashara Bariadi

    Thank you for constructive advice... Barikiwa sana
  6. MTOTO YATIMA

    Biashara Bariadi

    Asante sana kaka kwa ushauri mzuri
  7. MTOTO YATIMA

    Biashara Bariadi

    No simaanishi mambo ya ushirikina
  8. MTOTO YATIMA

    Biashara Bariadi

    Jaman wanajamvi habarini za humu; naombeni maelezo na habari yeyote na mambo ya kuzingatia kwa mtu anayeifahamu baraidi vizuri tayari. Nina mpngo wa kuhamishia biahsra zangu ndogo ndogo bariadi duka la vitu vya kawaida vya matumizi ya kila siku na Hardware moja. Taarifa yeyote unayodhani ni...
  9. MTOTO YATIMA

    Updates: Maombi ya kazi Ngorongoro Creater (NCAA)

    mwingine aliyetumiwa kuitwa aje hapa atuambie
  10. MTOTO YATIMA

    Updates: Maombi ya kazi Ngorongoro Creater (NCAA)

    Wandugu kuna updates yeyote ?
  11. MTOTO YATIMA

    Updates: Maombi ya kazi Ngorongoro Creater (NCAA)

    Ukweli ni kwamba hakuna aliyeitwa ila msg za kujulishwa kupoklewa kwa maombi hata mm jilpata jumanne usiku saa mbili hivi. nadhani busara ni kua na utulivu na hopefull wiki kesho wataanza mchakato wa kujulisha waliokidhi vigezo tarh za interview. asanteni
  12. MTOTO YATIMA

    Updates: Maombi ya kazi Ngorongoro Creater (NCAA)

    Jamani mbona pamekua doro tena? any updates
  13. MTOTO YATIMA

    Updates: Maombi ya kazi Ngorongoro Creater (NCAA)

    wengi tumetumiwa msg mm jana saa mbili usiku. kikubwa ni kutulia na kusubri wafanye yao afu watatatujulisha kama walivyoahidi.
  14. MTOTO YATIMA

    Nataka kuoa mrembo wa KIMERU

    Mtoa majibu naomba ufafanuzi siku ya kwanza nawza kwnda na mshikaji wngu kujitambulisha tu? au lazima nitafte mzee niende naye? mana hapa naongea nipo njiani ndo naenda
  15. MTOTO YATIMA

    Walioitwa interview VETA

    Tunombeni link bc jaman
  16. MTOTO YATIMA

    Walioitwa interview VETA

    Wengine kada mbali mbali ambazo hawakuitwa kwene interview nao vp?
  17. MTOTO YATIMA

    Walioitwa interview VETA

    Jaman kuna nafasi nyingine nyingi ambazo watu hawakuitwa wa interview mwenye taarifa juu ya hili tafadhali
  18. MTOTO YATIMA

    VETA TANZANIA: Update za interview veta kada mbalimbali

    Naskia watu leo wanapiga interview lakn mbona kada zingine hawajaita interview au wamkuja kugundua wanawatu wa kutosha, espl wakufunzi.
  19. MTOTO YATIMA

    Walioitwa interview VETA

    wakuu mbona kama VETA hawajaita interview kada zote kulikoni?
Back
Top Bottom