Search results

  1. mwaxxxx

    Mwanamke wa Kijerumani abadili rangi ya ngozi kutoka kuwa nyeupe hadi nyeusi

    kama kajipaka kiwi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mwaxxxx

    Serikali (NIDA) imefeli vibaya mno suala la vitambulisho vya taifa; kusubiri zaidi ya mwaka, vitambulisho vinapotea haviwafikii walengwa!

    haina haja ya kuwaficha wapindisha haki, wacha jiwe liitwe jiwe Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mwaxxxx

    Jinsi wanausalama wa mtandaoni wanavyowapata watu

    Tutaacha kutumia "raisi" tutatumia tafsida yake Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mwaxxxx

    Gari la Mbunge wa Kibiti lakamatwa likisafirisha magendo

    hilo litakuwa la yule msema ovyo mtumwaji Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mwaxxxx

    Mtu kama huyu ndio vijana wenye akili wa CCM? Ni heri ya wazee kuliko vijana kama huyu!

    [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mwaxxxx

    PONGEZI KWA TBC 1

    Angalau analeta hamu ya kuangalia tv
  7. mwaxxxx

    PONGEZI KWA TBC 1

    Bora niangalie Bollywood kuliko tibisii tv
  8. mwaxxxx

    Wale wanaotumia TALA

    Hutokopesheka
  9. mwaxxxx

    Wale wanaotumia TALA

    Sasa hivi Ni vigumu maana wamebadilisha utaratibu wa kukopa, unatakiwa ujipige picha & upige picha ukiwa umeshika kitambulisho chako
  10. mwaxxxx

    KERO: Makonda hawa askari wako wanakuja bar na kuwachapa watu na fimbo

    ipo siku watabebewa wake zao watakimbilia jf kulalamika
  11. mwaxxxx

    Simba kama Juve kama Sevilla , itaitandika Almasry kwao

    kila la kheri makirikiri
  12. mwaxxxx

    Wanaume kuweni na tabia ya kuongea maneno ya mahaba wakati wa tendo la ndoa

    Kwa kweli watuache tunyamaze maana hatujazoea kuita "baby" au "honey".
  13. mwaxxxx

    Wanaume kuweni na tabia ya kuongea maneno ya mahaba wakati wa tendo la ndoa

    Hilo wanalisahau kuwa linatutoa kwenye mood ya mapenzi
  14. mwaxxxx

    Nimeota tena kuna mtu atakufa

    bora hujamuona sura maana ungemuona ingeleta shida kidogo
  15. mwaxxxx

    Polisi Zanzibar inawashikilia watu 20 kwa tuhuma za kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    hao wanaotoa nayo mafunzo inabidi wakabidhiwe kwa wanyapara jela
  16. mwaxxxx

    Natafuta mwenza wa kiume

    ushauri ...nenda kwenye kadamnasi ya watu andika hayo mahitaji yako kwenye bango halafu linyanyue juu kwan mikono miwili, baada ya dakika 30 naamini utafanikiwa[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
  17. mwaxxxx

    Manara: Uwanja umeota mbawa, haya rudini bondeni mkahangaike na magugu maji

    wafuge kambale[emoji226] [emoji226] [emoji226] [emoji226] [emoji226]
  18. mwaxxxx

    Walimu wanaofanya ngono na wanafunzi kukiona

    ukianzia kwenye uvaaji wao wa sare za shule utadhani wahudumu wa bar[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] pasua kichwa
Back
Top Bottom