Search results

  1. N

    Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    Inasikitisha sana. Tujiulize wangapi wanaomba mwongozo kila mara? Wangapi wanatukana? Hivi wa CCM wafanyao hivyo mbona hawajatolewaga? Hili ni dhahiri kuwa ni bunge la ubaguzi na la spika na naibu spika wasiotumia busara na haki. Ndugai aanze toka kwani ana jazba sana na amekosa busara!
  2. N

    Waziri na katibu tamisemi wawajibishwe kwa system kucheleweshwa malipo halmashauri?

    Kuanzia mwaka huu wa fedha 2012/2013 mfumo (system) fedha mapato na malipo ya fedha katika halmashauri unatakiwa uunganishwe na TAMISEMI ili TAMISEMI waweze kuona transactions zinazoendelea halmashauri na kuweza ku control malipo yaliyo nje ya bajeti na kuangalia hali halisi ya mwenendo wa...
  3. N

    Waziri tamisemi na katibu mkuu wawajibike kwa kuchelewesha huduma za fedha katika halmashauri

    Kuanzia tarehe 1 July 2012 (mwaka mpya wa fedha) malipo ya fedha katika Halmashauri yamesimama. Hii imetokana na TAMISEMI kutaka kuanzisha mfumo mpya wa malipo ambao unakuwa centralized. Ina maana mapato na matumizi ya kila siku ya halmashauri yatakuwa yanaangaliwa na TAMISEMI mojamoja kwa...
  4. N

    Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    Katika hotuba yake ya jana, ya kila mwisho wa mwezi aliyotoa mheshimiwa Rais na kusema kama kuna daktari anayeona hawezi kufanya kazi bila malipo wanayotaka atafute mwajiri mwingine awezaye kulipa hivyo. Kwa kauli hiyo natafsiri kwamba anataka wafukuza kabisa na kuleta hao wa kigeni na kama si...
  5. N

    Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    Huyu rais wetu sasa anachemka kwa kiwango kilichopitiliza. Sasa amejimaliza mwenyewe! Hivi anadhania akifukuza madaktari option nyingine ya madaktari atapata wapi? Serikali imetumia fedha nyingi sana kusomesha hawa madaktari CREAM OF THE NATION halafu kirahisi tu anasema atawafukuza! Embu...
  6. N

    Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

    Si mchezo! Wabunge msikubali serikali ichezee fedha za walipa kodi kiasi hiki! Je, matumizi haya yameridhiwa na bunge? Yapo kwenye mpango upi? Kwanini kiasi hicho kikubwa kisitumike kuongezewa bajeti ya afya na kuongeza mishahara ya madaktari hao na watumishi wa sekta ya afya? Kuagiza madaktari...
Back
Top Bottom