Search results

  1. we gule

    Kama si Bunge la Katiba, Samweli Sitta angekuwa Rais

    Mh hivi kuna mwenye akili timamu ambaye mawazo yake yaliamini watu kama Six,),Hasira na watu kama hao wangewaza kufikiriwa katika uongozi,nawashangaa sana washauri wao.
  2. we gule

    Wasira ni tishio ndani ya chama katika mbio za urais

    Jamani tuwe wakweli tuachane mawazo mgando ,Wasira hafai hata kuwa house boy,sababu zipo nyingi 1.Hana haiba ya uongozi 2.Hoja anazotoa nizaenzi ya kutafuta Uhuru 3.Umri umemkengeuka 4.Hayafautishi mchele na mpunga nini(rejea ahadi aliyotoa Jangwani kuwa watalima mchele bonde la Kilombelo)...
  3. we gule

    Makamba Asema TTCL Sasa ya Watanzania!

    Natamani wabinaifishe naJeshi la Polisi
  4. we gule

    Membe: Fisadi au Mwenye Afya Tata Habukaliki Mbio za Urais 2015

    Mvuto kwangu ulipotea alipoanza kuwateteaAlkaida wenzake kuhusu maji yetu ,namwalika aje huku Kishapu /Bariadi aone tunavyosota na maji halafu anachongoa mdomo kuwatetea hoa .
  5. we gule

    Nini kimemsababisha Membe kuzigeuka nchi nyingine kuhusiana na Nile Treaty?

    Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake kwa kitu chochote au jambo lolote lile kama ninavyofanya hivi sasa mimi au yeyote katika chombo chochote cha habari. Kinachonitia shaka ni kwa Mr. Membe alivyofanya na hii inanipa zaidi kuaangalia nafasi aliyonayo ya kuwa waziri wa mambo ya nje ambapo...
  6. we gule

    Nini kimemsababisha Membe kuzigeuka nchi nyingine kuhusiana na Nile Treaty?

    Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake kwa kitu chochote au jambo lolote lile kama ninavyofanya hivi sasa mimi au yeyote katika chombo chochote cha habari. Kinachonitia shaka ni kwa Mr. Membe alivyofanya na hii inanipa zaidi kuaangalia nafasi aliyonayo ya kuwa waziri wa mambo ya nje ambapo...
  7. we gule

    Mkuu Wa Wilaya Anapokabidhi Majukumu Kwa Kinana

    Kibogo ungekuea karibu yangu ningekupa book. Unajua huu jamaa DC ni mtu wa masifa hebu fikiria hali ya watumishi ilivyo kuwa mbaya hapo Igunga halafu uongeze zahanati 30 kwa wakati mmja . Utakuta nayo maccm yanakurupuka kuzifungua. Mwambie aende Nzega akaangalie ubora wa Zahanati...
  8. we gule

    TBC yakisimamisha kipindi cha 'This Week in Perspective'

    Hoya Kibogo hicho ndio chomboa mahususi cha kutuhabarisha na kutuburudisha Wadanganyika ,bado tunapenda kusikia habari za kusadikika na alfu lela ulela .
  9. we gule

    TBC yakisimamisha kipindi cha 'This Week in Perspective'

    Hao waalimu wakutufundisha kiingeleza mbona kijijini kwetu hawapo ,shida iliyopo tunaendelea kugubikwa na ukale wa sela ,utekelezaji duni wa mipango tunanayo jiwekea kunakila sababu ya wananchi tubadilike ile twende na Dunia ilipo sasa
  10. we gule

    Kardinali Pengo, Simama au na wewe staafu kama yamekuzidi...

    Ndio ameuawa na utwala wa kidhalimu Tanzania,kwani wadhalimu wanapo uwa na utawala upo hachukui hatua zozote za kudhibiti mauaji hayo basi utawala nao unakuwa umehusika katika mauaji hayo.
  11. we gule

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kibaha ajiunga CCM

    Nahisi hii Sekeretariet mpya wamepata mtambo wa kusafisha OIL chafu
  12. we gule

    CHADEMA Hatuitaji kuwatenganisha hawa Vijana

    Jamani hebu niambieni katika Afrika hii ni wapi uliona viongozi waliopo madarakani hupenda kuachia madaraka hata pale maombo yanazidi kuwa mabaya bado nivig'ang'anizi. Hivyo si ajabu kuona hata hapa kwetu viongozi waliopo madarakani wanatumia mbinu yoyote ile kujihahakikishia wanadumu katika...
  13. we gule

    Picha: Dk Slaa azidi kuwabana CCM

    Hivi inaposemekana imeundwa timu ya ushindi ,hao walioondolewa walikuwa timu ya nini.Pia nashawishika kuamini hao maliasili wanyama ,pamoja na vipusa vinavyokamatwa kuna baraka zote za serikli ,kwani hatujajulishwa hatua zozote za kuwafahamu waliohusika inawezekana ni ile shehena ya Meno ya...
  14. we gule

    PICHA ARUSHA: CCM na Uchakachuzi wa picha mmekamatika

    Nadhani wewe ndio unashida sana kwani Dingi alichuniwa alipotaka ukuu wa kaya,mama wakufikia akanyimwa uongozi katika jumuia ya mipasho na wewe ukapigwa buti kwenye NEC .Kwa hiyo hupaswi kuangalia nichama gani hicho
  15. we gule

    Aliyekuwa DIWANI wa CHADEMA ahamia CCM... asema LEMA alikuwa anamtaka KIMAPENZI

    Ritz-na wewe ulipata Uroda mbona unamtetea sana
  16. we gule

    Aliyekuwa DIWANI wa CHADEMA ahamia CCM... asema LEMA alikuwa anamtaka KIMAPENZI

    Imekuwa ni bahati ametuambia aliyemkataa kimapenzi ,busara zaidi angetaja na aliyokwisha wapa URODA
  17. we gule

    Kituko kingine Wizara ya Afya, Waziri abariki uteuzi wa AMO kuwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu

    Shame upon you, wale waliopasua kichwa badala ya got walikuwa ni AMO pale Mhimbili ,mbona MD Walio wengi tunawana ni bongolala .Nadhani mtu kama wewe nihatari katika jamii kufaulisha wanafunzi ili hali hakufaulu .
Back
Top Bottom