Search results

  1. funny

    Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

    Cheki kwenye masoko huwezi kosa
  2. funny

    Pikipiki boxer 150 for sale

    Akhsante kwa ushirikiano. pikipiki imeshauzwa
  3. funny

    Pikipiki boxer 150 for sale

    4 MONTHS ONLY. KM NITAKUCHEKIA SASAHIVI NIPO ON MY DESK
  4. funny

    Pikipiki boxer 150 for sale

    Ni pesa nyingi lakini kwangu haina maslai. mwisho 1.4 , hata hivyo kuna jamaa wanaifuata asubuhi hii. kama upo serious wahi pikipiki ipo vizuri hai hitaji matangenezo yeyote.
  5. funny

    Pikipiki boxer 150 for sale

    Going very cheap imetumika kidogo tzs 1,500,000.00 serious buyers call : 0658 554 992
  6. funny

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Viatu vingine hutoa harufu
  7. funny

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mungu sio wa kuchezewa, analipa hapahapa duniani
  8. funny

    Kiwanja kinauzwa Mbezi Msumi C

    Kipo ukitokea msumi kwenye short cut ya kuelekea Mbopo
  9. funny

    Kiwanja kinauzwa Mbezi Msumi C

    Kuna mji na usafiri wa daladala upo. Meter 18*20
  10. funny

    Kiwanja kinauzwa Mbezi Msumi C

    Meter
  11. funny

    Kiwanja kinauzwa Mbezi Msumi C

    Hakijapimwa
  12. funny

    Kiwanja kinauzwa Mbezi Msumi C

    Kiwanja kinaukubwa wa 18*20 gari inafika hadi ktk kiwanja . Bei nafuu sana. Umeme na kisima cha maji vipo karibu sana. Bei tzs 3,950,000.00 Call 0658 554 992
  13. funny

    Dunia isimdharau Kim Jong-un

    Upo sahihi , kwanini dogo anajiamini sana
  14. funny

    Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

    Chumvi kwa kweli inamiujiza mingi sana , hasa chumvi ya mawe. Mfano kwangu mimi nilikuwa na eneo langu nauza kwa muda mrefu madalali walichemsha , nikaamua kununua chumvi ya mawe na kuimwaga katika pembe 4 za eneo na katikati ( eneo lenyewe lipo uswahilini) next day akatokea mnunuzi na kulinunua .
  15. funny

    Kipimo kizuri kitambua ukimwi ni kipi?

    Thanks friend I got the place to continue with.
  16. funny

    Kipimo kizuri kitambua ukimwi ni kipi?

    Naomba msaada wadau wa afya ktk hili jambo. Kuna ndugu yangu wa kike alikwenda hospital moja manzese na kupima HIV. Majibu yakatoka positive, lakini aliyempima akamwambia akapime sehemu nyingine kwani alitumia dawa moja tu ya kuchanganyia yapili walikuwa wameishiwa. Je ni wazima wakati wa kupima...
  17. funny

    Toyota gx 100 for sale

    Soma vizuri advert yangu , bei ya kuanzia ilikuwa 8.5 After all nimekwisha uza kwa 7 mln kwa muhitaji wa ukweli
  18. funny

    Toyota gx 100 for sale

    Km ni sawa kabisa ndio maana nasisitiza mtu mwenyekuhitaji anipigie .
  19. funny

    Toyota gx 100 for sale

    Wakuu nimewaelewa lakini mnategemea biashara nianzie bei ya kuuzia? Kama mtu yupo serious anipigie tuongee na aione gari ndio aanze kutoa comments zake.
  20. funny

    Toyota gx 100 for sale

    Make : Toyota model : Cresta color: Pearl year of manufacture ; 1999 engine : 1g6619635 cc : 1980 fuel : Petrol km 56,000 going very cheap! Only 8.55 millions just pm or call 0658 554 992 serious buyer only. Please
Back
Top Bottom