Search results

  1. Mhafidhina

    Jordan express co ltd wana ofa ya magari ya fuatayo, fun-cargo,suzuki swift na vitz

    au ni gari gani ambayo ni 4WD ambayo ninaweza kupata kwa 10M
  2. Mhafidhina

    Jordan express co ltd wana ofa ya magari ya fuatayo, fun-cargo,suzuki swift na vitz

    Natafuta Suzuki au Rav 4 ya mwaka 2001...! Ni bei gani?
  3. Mhafidhina

    Natafuta gari RAV 4 au Suzuki kuanzia mwaka 2000

    Wanajamii nawasalimu...! Ninatafuta gari ya kununua aina ya RAV 4 au Suzuki ya mwaka 2000 na kuendelea...! Iwe kwenye hali nzuri....! Nitapendelea kama muuzaji atakua hapa Dar es Salaam...! Naomba uni PM au unitumie namba yako ya simu ili nikupigie endapo unayo...!
  4. Mhafidhina

    TIGO-PESA Wameniibia manunuzi yaLUKU

    Sio wewe tu, hata mimi nimenunua LUKU ya shs 10,000/= tokea juzi mpk leo sijapata chochote.Nmefuate taratibu zoote lakini hakuna chochote. Pia nimepiga hio 150 ndio wala haipokelewi. Nimeamu kuchukua uamuzi wa kuacha kutumia TIGO from now onwards. TIGO imejaa utapeli, ubabaishaji na wizi usio...
  5. Mhafidhina

    Report ya kamati ndogo ya bunge-sector ya gas

    Hii ripoti ni nzuri sana...! Hawa jamaa walifanya uchambuzi wa kina kuhusu upataikanaji na uzalishaji wa Gesi Tanzania. Walionyesha pia ni kwa kiasi gani Serikali yetu imekua ikiibiwa na kupoteza fedha kwenye masuala ya Gesi Tanzania...! Tafadhali mwenye nayo naomba taupatie hapa...!
  6. Mhafidhina

    Report ya kamati ndogo ya bunge-sector ya gas

    Wadau natafuta ile ripoti ya Tume ya Kamati ya Nishati na Madini iliyoongozwa na Januari Makamba kufuatilia hali ya uzalishaji Gesi Tanzania. Tunaomba iwekwe hapa ili wachambuzi tuisome kwa undani...! Asanteni
  7. Mhafidhina

    Kwa wanaioshi Brazil (Brasilia)

    Naomba kuulizia watanzania wanaoishi Brazili kwenye mji wa Brasilia...! Mimi ni mgeni natarajia kuja huko Brasilia kibiashara. Naomba msaada wenu wa kujua hoteli za bei rahisi walau kuanzia Dola 50-80 kwa siku...! Asanteni kwa msaada wenu...!
  8. Mhafidhina

    Basi la shule

    Assume mtoto wako anasoma hii shule...!
  9. Mhafidhina

    Moto umewaka Barrick

    Nilishuhudia kwa macho yangu kabisa kuna jamaa aligeuka kuwa kiziwi baada ya kufanya kazi Barik zaidi ya miaka 6 kwenye machimbo kutokana na makelele ya Compresors akageuka kuwa kiziwi kabisa kabisa. Masikio yake yalianza kutoa damu, hatimaye alifukuzwa kazi baada ya kuambiwa eti hana uwezo wa...
  10. Mhafidhina

    Taarifa kuhusu hali ya maisha na Utulivu wa Tanzania

    Wanajamii, Nimekutana na hii report ya one of the detailed research kuhusu hali ya maisha ya watanzania na utulivu tulionao. Kwa kweli hii report inazungumzia ukweli wa hali halisi ambao hata mimi naungana nao. Just take your time and read it...! A New Paradigm in Development Cooperation?
  11. Mhafidhina

    Ukweli kuhusu waliomuua Raisi Laurent Kabila wa DRC

    Wanajamii, Habari za masiku? Well nilipotea kidogo kutokana na majukumu ya kikazi...! Sasa nimerudi na hii video. Hebu angalia hii video upate ukweli wa undani kuhusu waliomuua Laurent Kabila wa DRC. Utapata kujua ni kwanini vita huko DRC havitakaa viishe milele yote...! This is an...
  12. Mhafidhina

    size of a man vs. size of the shoes

    Ms Judith, umenzisha thread then ukakimbia. Anyway, ngoja nikupe something relating to your thread. Kuna research moja ilifanyika pale Harvard University ambapo walijaribu kuangalia size of the shoes of the CEO and some of the world largest corporate leaders whether there is a...
  13. Mhafidhina

    Me & hubby.....l.o.l

    Hao ni mfano tu. Kwa maisha yetu ya bongo hapa inakua ngumu kidoog kuishi kama hao. Umemka asubui umeme hamna, ofosini bosi mbogo, folini barabarani, mara mshahara umechelewa, mtoto anaumwa, mara gari bovu halafu fundi anakuletea uzushi, wazazi nyumbani wanataka msaada, ni wangonjwa...n.k...
  14. Mhafidhina

    Hivi vitu vya ukweli sana....

    mbona unaongea kwa mafumbo? Weka vitu bayana...! Zinauzwa shilingi ngapi na zainapatokanaje? Au unataka kututapeli? Kwanini tuku-PM wakati umeweka hadharani? Ungeweka kwa PM kama ulikua unataka kufanya siri. Agrrrrrrrrrrrr
  15. Mhafidhina

    Madhara ya Kufutwa kwa CHADEMA!

    Siku ukisikia Tanzania kuna vita ni siku ambayo watakifuta CHADEMA. Hapo ndio utajua kwamba kuna watanzania wenye hasira. NI mangai CCM wanafanya lakini wao huwa wakifanya ni sawa? Wengine wakifanya ni makosa?
  16. Mhafidhina

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    Inamaanisha hao wote waliopo kwenye hio foleni wameathirika na VVU? Duuh tutapona kweli? Manake nasikia moja ya sharti ya dawa zake lazima uende physicaly, hakuna kumchukulia au kumbebea mtu kwa niaba.
  17. Mhafidhina

    Bongo mandeleo kweli..............

    kuna tofauti gani kati ya kukatika huku na stripers...! Hapa naona ni kwa vile tu hawa wameamua kuvaa hivo vinguo kujifunika lakini ukweli ni kwamba now we are advancing slowly to having stripers club in Dar es Salaam. You wait in the next 3 years from now.
  18. Mhafidhina

    Porn Causes Brain Damage

    Max, thanks for this useful article. Ni kweli kabisa kuhusu hayo yote yalioandikwa hapo juu. Porn inadamage kubwa sana katika akili na ubongo wa binadamu. I have seen it and indeed i have somehow involved in researching these findings as a scientist. Tuligundua mengi sana, na impact kubwa ipo...
  19. Mhafidhina

    PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

    Vipi kuhusu akina Dr. Nchimbi? Dr. Shukuru Kawambwa pamoja na Dr. Deodorus Kamara? Hawa PhD zao nazo vipi?
  20. Mhafidhina

    Kwa wadada wenzangu: tuwe makini na aina hii ya wanaume.......

    Mimi kwa upande wangu naona hizi sifa zipo kwa wanawake zaidi kwasababu; 1. Wanawake pengine ndio wanapenda sana kuharakisha suala la ndoa. Umekutana nae tu leo, kesho nataka kuolewa. So the best way ni kumfanya aamini na kumuwekea mazingira ya kuamini kwamba mtakua na famila nzuri, mtaenda...
Back
Top Bottom