hizo fedha wanazotaka kuajiri madaktari kutoka nje ya nchi kama economist na risk taker kwa nini wasiwalipe madaktari wa ndani hizo fedha, kwa sababu zifuatazo watakuja kutoka watakakotoka watalipwa usafiri, watapangishiwa nyumba gharama zote hizo zatosha kupunguza kero za hawa madaktari wetu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.