Search results

  1. S

    Huu tunaomfanyia Dr Ulimboka ni unafiki, ujinga na upumbafu uliokithiri!

    Mkuu unenayo ni kweli kabisa Dr. alishayasema tena anamaumivu makali. wewe fikiria ni maumivu makali kiasi gani lakin aliona bora nijikaze niwataje hawa endapo mungu atanichikua bas watanzania tayari watajua wafanye nini. sioni tena sababu ya kumsumbua Dr. wakati majibu tayar mnayo ila...
  2. S

    Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

    Nimekupata Mkuu umesema kwa madhara ya ngozi vijiko vitatu vya asali na kimoja mdalasini. Je kijiko ni cha chai au Chakula? na mdalasini ni wa unga? na mara ngapi kwa siku.
  3. S

    Hanywi pombe...havuti sigara...

    :flypig: ndugu zangun wachen msemo wenu kama hatumii sio kana kwamba ndo ananihee sana la hasha mwingine mirung kwa sana, na cio chin 2 kama mnavyofikiri. karibu nikupe ujanja kama unananii sana
  4. S

    Ushauri au Matibabu

    lakini mbona hizi antibiotics nazitumia sana Amoxillin, Ampiclin, au ulizoniamia ni tofauti na hizi na nikitimia nitumie kipimo gani dz au nusu doz .
  5. S

    Ushauri au Matibabu

    Je nikiacha kutumia hivyo vichub naona alama ninazidi kuiva labda unipe ushauri nitumie nini ambacho kitaendana na ngozi yang kama ambavyo nimewahi kusema awali mimi ni mweupe wa asili mkuu.
  6. S

    Ushauri au Matibabu

    Asante Mkuu lakini kumbuka mimi sina kipele hata kimoja ila ni alama nyeusi na si kwamba labda ni chunus halafu zinaacha alama la hasha! ni kama vile mtu aliyeungua na jua au nilikutolea mfano kama unafaham kabila la warangi ndo huwa wanapata alama hizo kwenye mashavu. maelezo yako nimeyapata na...
  7. S

    Ushauri au Matibabu

    :help:Nashukuru Mkuu kwa msaada wako, lakin inaniwia ngumu kukumbuka vitu vyote nilivyotumia kwan ni muda mrefu tang nimeathirika na tatizo hili. Nina miaka mitano na unajua reception inapokua mbaya unahangaika kuiweka sawa, mara huyu anakuambia jaribu hiki. so nimepitia ving na sina kumbu kumbu...
  8. S

    Ushauri au Matibabu

    :help: Nashukuru Mkuu kwa msaada wako, lakin inaniwia ngumu kukumbuka vitu vyote nilivyotumia kwan ni muda mrefu tang nimeathirika na tatizo hili. Nina miaka mitano na unajua reception inapokua mbaya unahangaika kuiweka sawa, mara huyu anakuambia jaribu hiki. so nimepitia ving na sina kumbu...
  9. S

    Kabichi ni kinga zidi ya Ugonjwa wa Kensa Cancer Disease

    :sick: Ninatatizo linanisumbua muda mrefu takriban 5yrs mimi ni mweupe wa asili, lakini nimepatwa na mabaka meusi kwenye paji la uso na kwenye mashavu. Hali hii ilianza tangu kushika ujauzito hadi sasa. Nimeenda kwa specialist wa ngozi akahihi ugonja na kuniandikia vipimo, lakini majibu kutoka...
  10. S

    Kabichi ni kinga zidi ya Ugonjwa wa Kensa Cancer Disease

    sawa dk lakin kwa mfano kebich ukipika iive sana au na pia nasikia kebich nyekundu ndio nzuri au ilimradi iwe kebich na je kama kachumbari iweje?
  11. S

    Ushauri au Matibabu

    :A S cry: Napenda kumshukuru mungu kwa kunijaalia pumzi siku ya leo. dr. ninatatizo linanisumbua nimehangaika sana sasa najaribu kulileta kwako. Dk. mimi ni mweupe wa asili ila tatizo langu ni kwamba uso wangu nimepata alama nyeusi juu ya paji la uso kwenye mashavu na alama hizi nilizipata...
Back
Top Bottom