Search results

  1. THE GREAT CAMP

    Rwanda na Malawi ni ndugu zetu

    Tena hakuna kuuma maneno na ikibidi tutaanza kumchambua mmoja baada ya mwingine kujua urai wake maana njia ya kuwabaini ni raisi sana....This is TZ bwana Wakileta propaganga zitajibiwa kwa nguvu zote.
  2. THE GREAT CAMP

    Rwanda na Malawi ni ndugu zetu

    Haswaaaa...........tena kinachoshangaza hivi vijamaa vikiwa vinatuchokoza sisi Watanzania wengine wanashangilia na kushabikia kwellikweli.Sasa Watanganyika tukianza kujibu mapigo kwa strong evidence utasikia ooh "uchonganishi" mara "upuuzi" mara "hayatuhusu". Nilichokuja jifunza hapa ni kuwa...
  3. THE GREAT CAMP

    Yajue madudu ya Mke wa Kagame.(Janeatte Nyiramongi Kagame)

    Wewe ni Mtanzania halisi na ni Mzalendo na ni mtu usiye penda unafiki :A S thumbs_up:
  4. THE GREAT CAMP

    How to Speed Up Your PC - Tricks Manufacturers Hate.

    The 2 Easy Ways to Make Your PC Run Like New One of the most frustrating things in life is a slow computer. Every few years, we buy an expensive new PC and love how fast it starts up, runs programs, and loads websites. Inevitably though, it starts to slow down until eventually we are...
  5. THE GREAT CAMP

    Yajue madudu ya Mke wa Kagame.(Janeatte Nyiramongi Kagame)

    Absolutely yeeeeeessssssss..................!
  6. THE GREAT CAMP

    facts. SUA,UDSM,MZUMBE

    Nendeni mkasome mje kulitumikia taifa. Habari ya vyuo haitawasaidia kwa sasa...chamsingi hapo ni UPSTAIRS tu.
  7. THE GREAT CAMP

    Viwanja( low density)- Morogoro - Kihonda viwandani (very near msanvu) vinauzwa!!

    Vp havipo jirani na kile kiwanda cha ngozi?
  8. THE GREAT CAMP

    Yajue madudu ya Mke wa Kagame.(Janeatte Nyiramongi Kagame)

    Janeatte Nyiramongi (Mrs Kagame) ni mzaliwa wa Burundi aliyeishi uhamishoni Nchini Kenya katika jiji la Nairobi. Kwa nguvu ya Mumewe Mama huyu amejitajirisha yeye mwenyewe, nduguzake wa damu na marafiki zake wa karibu. Mali nyingi anazipata kwa kupandikiza ndugu zake au Marafiki zake wa...
  9. THE GREAT CAMP

    Paul Kagame alikuwa afisa wa jeshi la Uganda chini ya Museveni

    Kamwe hatuwezi kugombana na Wanyarwanda....ila tutapambana na viongozi wao wanao jifanya wanajua sana kuandika kuhusu Tanzania baada ya Presidaa JK kuwafurusha wahamiaji haramu.....Si wanajifanya wanajua propaganda za kuchafuana? basi sisi tutaanika hadharani madudu ya hao Viongozi wao.
  10. THE GREAT CAMP

    Paul Kagame alikuwa afisa wa jeshi la Uganda chini ya Museveni

    Nataka yeye akanushe ili tumwage data hadi mtaa anao ishi, namba ya nyumba, Kampuni anayofanyia kazi na zaidi tutaorodhesha na ndugu zake wote. Sisi hatuleti maneno ya kusadikika hapa kama wao, sisi tunaweka vitu halisia na Source yake.
  11. THE GREAT CAMP

    Paul Kagame alikuwa afisa wa jeshi la Uganda chini ya Museveni

    Mnyarwanda utamjua tu hata sentesi zako hazieleweki... check tu hapo kwenye Red. NOTED: Wewe unaishi Mwanza, Umetokea Bukoba mjini, na Unandugu Karagwe.....Ukibisha ninaweka na picha yako humu JF sasa hivi....pia tutawapelekea uhamiaji Jina la Kampuni unayofanyia kazi waje wakague uraia wako.
  12. THE GREAT CAMP

    Paul Kagame alikuwa afisa wa jeshi la Uganda chini ya Museveni

    Wewe umenena....je Tatizo liko wapi JK kumuoa binamu wa Habyarimana kama ni kweli? Wanyarwanda wamemtusi rais wetu JK wakati sisi tuna habari zao nyeti kibao...waendelee tu tutazimwaga zote hadharani.
  13. THE GREAT CAMP

    Paul Kagame alikuwa afisa wa jeshi la Uganda chini ya Museveni

    Ngumi ya pua inauma asikwambie mtu hasa kale kamchuzi kekundu kanapotoka........ Huu uzi utasaidia kuwatambua Wanyarwanda walio humu JF hebu check humo kwenye Red...umeshajulikana.
  14. THE GREAT CAMP

    Paul Kagame alikuwa afisa wa jeshi la Uganda chini ya Museveni

    Rais wa Rwanda Gen.Paul Kagame amesha wahi kushika wadhifa wa juu ndani ya jeshi la Uganda (senior Ugandan Army Officer). Amepigana vita kwenye kundi la uasi lililo muweka madarakani Rais Yoweri Museveni wa Uganda. KAGAME alikaa muda mrefu nchini Uganda kama Mkimbizi. Elimu ya Msingi aliipatia...
  15. THE GREAT CAMP

    Rwanda, Uganda zajitoa Bandari ya Dar

    Mkuu hao nyagau waacheni waende wao siyo only countries wanao pitisha mizigo yao hapa TZ. Labda kama watu hatujui tu.....DRC,ZAMBIA, MALAWI, Parts of Angola, Parts of Mozambique wote wanategeme TZ.
  16. THE GREAT CAMP

    Rwanda, Uganda zajitoa Bandari ya Dar

    Waende tu hatuwahitaji?
  17. THE GREAT CAMP

    Bank ya NMB tawi la Muhimbili hospital lavunjwa asubuhi ya leo

    Wakati wanavunja askari walikuwa wapi wa benki? Fedha zetu zikipotea olewao.
  18. THE GREAT CAMP

    Ujasiri BUTU wa Mwakyembe ni sawa na UNAFIKI

    Bila shaka wewe utakuwa muuza madawa ya kulevya si bure hapa.
  19. THE GREAT CAMP

    Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

    Toka lini dini ikayakubali majini na waumini wake wakawa na akili timamu? Akili zao zimekaa kimajini jini tu.
Back
Top Bottom