Search results

  1. K

    Mabadiliko ni wewe.

    KATIKA KILA NAFASI UNAYOIPATA MJULISHE MWENZAKO UMUHIMU WA KUZITAMBUA NA KUZITETEA HAKI ZAKE... Pia mjulishe umuhimu wa kufanya uamuzi mgumu na wa busara,,, kura yako ndo kesho yako,,, ndo maisha yako na ndio Taifa lako. Bila kujali itikadi za kisiasa walau tuanze na hili la kuwaunga mkono...
  2. K

    Tunaweza kujikwamua

    Nawasalimu wote kwa jina la Tanzania Tanzania. Watanzania kwa hali na jinsi ilivyo sasa na kwa itakavyokuwa kesho, kuna uwezekano mkubwa mambo yasiwe shwari. Misigano/nyufa zinazozidi kukua katika jamii yetu ndo kitanzi na chanzo cha upotevu wa utulivu wa nafsi na hali. Ebu tujiulize chanzo cha...
  3. K

    Wengine wanajiona bora.

    Hivi tunaanzaje, na tunajiamini nini mpaka tunafikia hatuasi ya kuwaita atu wengine MBWA? Je m,buge anaposema anaongea na mwenye mbwa na wala si mbwa sentensi ka hiyo inaashilia nini huko tuendako...
  4. K

    tunajifunza nini?

    tanzania, kama taifa tunalo jivunia kuwa na amani na usalama...ni kweli pengine kuna amani na usalama kwa mitazamo ya haraka.... lakini richa ya sifa hizo nzuri,,ebu tujifananishe na jirani zenu kenya. wenzetu mda si mda watazindua uandikishaji wa wapiga kura kwa njia za kimtandao- elektroniki...
  5. K

    diplomatic immunities and privileges.

    as the above topic is concern, i am kindly requesting you all experts in public international laws, to assist me in the following questions. Please if you find it possible to support with me valid examples i will be much glad. a. can Embassy enters into contract? if the answer is in...
  6. K

    Hawa ndio washindi kuingia NEC ya CCM kwa uchaguzi wa Nov 11, 2012

    inawezekana japo sidhani kama uko sahihi kiasi cha kutosha.
  7. K

    Hawa ndio washindi kuingia NEC ya CCM kwa uchaguzi wa Nov 11, 2012

    tuwatakieni kila lililo jema. wakajenge taifa na waachane na minyukano.
  8. K

    Zitto awataja mafisadi wa mabilioni ya Uswisi!

    naziunga mkono jitihada zote za kujenga taifa langu tanzania, ikiwemo hii ya kuwataja mafisadi....ushauli wangu ni kwamba neno fisadi limegeuka kuwa ni sifa nzuri badala ya kuwa kitu kibaya.. kuna haja ya kutafuta neno mbadala la kumuumiza atakae husika....
  9. K

    Siasa na Watu

    i have read ur peply. i have come to realize for sure that no party without people and at the same time u may have people but not members to follow/support ur party, if that is a case how can u signifies the goodness of the political party?
  10. K

    Mashirika ya Umma Tanzania: Yapi bado yapo, yapi yamekufa na Kwanini?

    Kama kweli wabunge mnaosemekana kula rushwa ni kweli mmekula hiyo pesa wa walala hoi, sisi tunakatwa kodi, tunalala saa tano usiku na kuamka saa kumi alfajiri, tunajinyima usingizi, hatuli vzr, hatusomeshi watoto kisa nyie hakika hata risasi haiwafahi. Mimi napendekeza ikibainika ni kweli basi...
  11. K

    kiama...

    watanzania tutegemee nini kitajili...baada ya kuruhusu siasa kutawala kila ulingo wa maisha yetu?
  12. K

    Siasa na Watu

    kuna watu wanapenda kudumisha mawazo mgando na katu hawako tayari kushauliwa. Mfano watu wanaojiaminisha kuwa chama ni mtu/ watu na siyo itikadi wala sera. Je ni kweli chama ni watu au?:shut-mouth:
  13. K

    Haraka i na mbembwe vya nini?

    Watanzania tumebakiza takribani miaka mitatu tuingie kwenye uchaguzi mkuu wa rais, bunge na madiwani. Nashangaa kuona/ kusikia kuwa kuna wana siasa wameanza kujinadi kwenye magazeti na redioni kuwa wako tayari na wanauwezo kwa kutuongoza.. nionavyo mimi waache mbwembwe na majitanuzi ya maneno...
  14. K

    Uwezekano wa kuhama Mfuko wa Hifadhi ya Jamii

    Kuna taarifa kuwa kuna sheria za mifuko ya jamii zinazokusudiwa kanzishwa lengo ikiwa ni kumbana mteja- mwanachama wa mifuko hiyo. Nijuavyo mimi mifuko hii ilianzishwa ili kumuudumia mteja aliyejisajili, na mifuko hii inawajibika moja kwa moja kwa wateja wake. Swali ni je ikiwa kuna sheria...
  15. K

    Mtazamo .

    Je kama taifa linaloelekea kukua kidemokrasia licha ya kwamba changamoto bado ni nyingi sana..tuna sababu ya kuwa na SPIKA wa BUNGE anayetokea katika chama chochote cha siasa au awe mtu huru nje ya Siasa?
  16. K

    Uwajibikaji.

    Je kama taifa huru..lenye kulinda na kufuata utawala wa sheria . Je sheria zinasemaje juu ya uwajibikaji wa serikali na watu binafsi pale zinapo tokea hajali na watu kuumizwa na hatimaye kufa? Je ulipaji wa bima na mafao sitahiki vinatekelezwa? Je manusura wanaweza kuishtaki serikali? Naomba...
  17. K

    Jiji la dar es salaam kuwa chafu tatizo nini?

    KILA KONA YA JIJI LA DAR ES SALAAM, ni uchafu, uvundo na harufu mbaya...je tumekosa ubunifu ni jinsi gani tunaweza kutatua tatizo hili? je ni uzembe wa viongozi wetu au? mbona kuna vikao vingi vinafanyika ndani ya jiji na manispaa... inamaana tatizo la uchafu kwa dar huwa alizungumziwi? je...
  18. K

    Je kama mbunge ni kuonyesha ubabe tutafika?

    Hivi ni lini ccm watajifunza siasa sitahimilivu, siasa safi, siasa bora na siasa zenye kupingana kwa hoja? Tufike mahali tukue,tupanuke kimawazo na tukomae kifikra..tanzania ni yetu sote.
Back
Top Bottom