Search results

  1. T

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Duuh! aisee Wiser1 una roho ngumu weyeeee!
  2. T

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Episode ya 15 bado wakuu?
  3. T

    Kuuza wazo la biashara kwa bank

    Mkuu zanzibar spices: unaposema kujieleza kwangu ni kwamba pesa nikizipata zitanikoma manake nn? Hivi pesa kazi yake ni nini? Dreaming is believing na believing is achieving!! Nikikwambia nilipotoka hadi hapa nilipofika leo!! Basi itabidi ubadili hizo negatives zako zote na kuweka ma positive...
  4. T

    Kuuza wazo la biashara kwa bank

    Salam wakuu, Mimi ni mjasiliamali, hivi karibuuni nikiwa katika harakati zangu za kujigomboa na umaskini, nimekutana na fursa nzuri, ambayo itawahusisha bank na hao wateja!! Sasa nnachoomba wakuu mnisaidie jinsi ya kulifikisha wazo langu kwa wahusika wakuu. Mimi ningependa sana kuliuza wazo...
  5. T

    Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

    Ila kama huyu jamaa amesingiziwa basi Mungu atakuwa bize sana siku ya judgement day.
  6. T

    Ukatili tena:Hausigeli achomwa na pasi na kung'atwa na meno kwa mwaka mzima.

    Mm hata sielewi jamani! Sasa hiyo nyumba haina wageni wala majirani wakaona huu unyama?
  7. T

    Sina usingizi

    Bora tuko wengi!
  8. T

    unajua IQ ya mtu inatafutwaje?

    Duuu mimi nacheza kwenye 117( according to me, niko kwenye 30z lakini nna mambo ya 40z). Itabidi siku moja tuchaguwe wana JF kumi! Ambao wako tayari kutupa miaka yao ya ukweli, then tupime uwezo wao(kutokana na michango yao humu ndani) na kuwapa age yake. Tukokotoe tuwape watu hongera zao! Mkuu...
  9. T

    Airtel yatosha wezi wakubwa

    Bora na mm nimwage dukux2 langu leo, mm natumia kile kifurushi cha 1999 cha week. Wanakupa msg 700, call mnts 60 na bundle ya internet ambayo kwenye cm yaku siwezi kutumia, sasa tatizo langu ni pale nnapoamua kuongeza hela ili niweze kupiga cm nje ya nchi! Ukimaliza kuongea tu, lile bundle lako...
  10. T

    TANESCO: Kama mgao umeanza tuwekeni wazi, siyo kukata kimya kimya

    Duu mkuu Makala jr umeniovertake aiseee, thanx sana! Yaani watu tumekaa kama mateja tu, halafu mwisho wa siku bill/luku iko palepale. Hapa nawaza sijui nikaangalie wapi eviction show ya bba jioni!! Angalau nikapoteze mawazo. Yaani mm ningekuwa na uwezo, ningeshahama hii nchi!!! Sasa watu...
  11. T

    Jamani nisaidieni, Pepo Kali la Ngono linanimaliza...

    Mweh! Ila watu tuna tofautiana jamani, mm niko early 30's, naweza kukaa hadi six months bila kuona hiyo kitu na nadunda tu! Yeuwiiiiii huwezi pitisha siku 1? Ukiwa mwezini je? Labda vile mm mtt wa mkulima, shida hadi kwenye kope sikumbuki cha kutongozana wala kampani za kwenye mastarehe sina...
  12. T

    Kwa heri wasomaji wangu mie nimeamua kujinyonga

    Tulikuwa nae siku zote za mapigano!! Mwenzetuuuu!!! Ndugu yetuuuu!!! Mwanajf lutala.
  13. T

    Wema amzaba makofi meneja wa hoteli

    Ila jamani msimlaumu meneja! Hapo meneja kaambiwa wema ana mamlaka nchi hii, akiangalia nyumbani ukoo unamtegemea! Unadhaani atathubutu hata kunyanyua kope ya jicho? Kuna watu hatuna ma GodFather wala Surnames za kuogopesha! Basi tuko wapoleeee hata tukionewa tunamshukuru mungu tu.
  14. T

    Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa

    Duuuhhh!!! Ama kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!!!
  15. T

    Tangazo la vodacom "nimeshinda nimeshinda"

    Hakya nani tangazo limekaa ki darasa la pili lilee!! Kwanza waigizaji wameshindwa kabisa kuvaa uhalisia! Alieshinda anaonekana ali concentrate na camera badala ya maudhui!! Kwenye hali ya kawaida hakuna lecture anaeweza kukubaliana na hali kama ile, ati ameshinda then anarudi kukaa na ticha...
  16. T

    FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

    Mmhh! Mimi nafuatilia bba, sidhani kama kahamishia mapenzi bali naona wote wawili wana vutiwa na kila upande, kama unakumbuka fedha alimwambia big kuwa amependa kujiamini kwa oneal tangu siku ya kwanza, pia wamekuwa wakipigiana vote za crush date! Kiasi oneal kuwaomba wenzie nxt wk wampigie...
  17. T

    WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA

    Udini ukikushika hata baadhi ya rangi utaanza kuzibagua!!
  18. T

    Upumbavu wa Teja TID huu hapa, hii ni kama laana kutoka kwa Jide!!

    Ama kweli rafiki mkia wa fisi! Nilijuwa jamaa atalia msiba wa bff wake hadi 40 dayz?
Back
Top Bottom