Search results

  1. A

    Chadema Wako Dilemma....

    mi nadhani kama huna hoja ya msingi hakuna haja kupost mambo yasiyokuwa ya msingi.jamani mbona watanzania huwa hatukui kimawazo?
  2. A

    Serikali iyashughulikie madai ya Waislamu

    mbona matatizo wanasababisha wao vile vie wanaweza kuyasolve wenyewe
  3. A

    CHADEMA si kimbilio la wasomi!

    please God help that person to keep his mouth silence until he will know what is talking about.
  4. A

    CCM washambulia msafara wa CHADEMA, wampiga Mwandishi wa Habari, wakimnyang'anya kamera

    poa kaka tunakusubili baadae ufunguke tuone makapi yanafanyaje huko mitaani.
  5. A

    Familia ya Nyerere mnaaibisha taifa

    Waganda ni waganda na wakenya ni wakenya.kama kweli unania na taifa lako usisikie mataifa mengine yanasemaje kuhusu taifa lako.
  6. A

    Kikwete, akutukanaye hakuchagulii tusi!

    kikwete big up,najua tutalalamika sana lkn.........
  7. A

    Mwakyembe umechemka, acha kujing'ata ulimi.....

    Kwani hayo malori yatabeba abilia au yanabeba mizigo.yy mweshimiwa anasema kuwa mabehewa ni ya abiilia wala sio mizigo.
  8. A

    Kilichomwangusha Sumaye chatajwa

    wakati Sumaye anapewa nafasi ya kuongea harafu akaanza kuwaubili watu kuwa akishinda atapambana na wala rushwa,moja kwa moja nilijua kuwa atashindwa.maana baada ya kutamka maneno hayo nliona watu wanaanza kutazamana kama kuonesha ishara filanlkn kwa haraka sana watu wle nilielewa kuwa walikuwa...
  9. A

    Dr Slaa kutikisa Arusha Jumamosi

    poa ndugu tuko pamoja ndani ya Arusha siku ya jumamosi.
  10. A

    Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

    yeye anadai kuwa uteuzi wake ulimpa sifa yy na taifa kwa ujumla,kwangu mm naona ni fedhea tu kwa taifa letu.mtu unapewa nafas kama hiyo unashindwa kutimiza malengo ya mkuu wako wa kazi.leo hii namwona anaandamana na viongoz magamba kwenye majukwaa.
  11. A

    Zitto: Sitagombea ubunge 2015, Nitagombea Urais kupitia CHADEMA...

    ndugu zangu wanacdm tukiendelea na tabia ya kupinga bila hoja za msingi tutakuwa tunawapa nafasi ccm kujua udhaifu wetu ulipo,hadi sasa nashangaa wale wanampinga zitto kugombea urais kwa sababu hadi kwa sasa hajavunja sheria yyte ya katiba ya cdm.hv ni vigezo gani vilichukuliwa mboe na slaa...
  12. A

    Waandishi wa habari mnazidi kuingamiza CHADEMA

    ungekuwa mtoto wangu leo ningekutundikia drip za kufkir maana mawazo yako ya kijinga sijayapenda
  13. A

    Mastaa wa bongo: JK amwita Diamond ikulu

    kwa nini walimu hawakukaribishwa IKURU pindi walipokuwa wanadai mambo yao ya msingi?
  14. A

    CCM kukata rufaa Ubunge Igunga...

    watakoma mwaka huu maana mambo yamewabana kama mwanafunzi ndani ya chumba cha mtihani
  15. A

    Kwa wanaosoma au waliowahi kusoma udsm tu.

    ndugu yangu usiwe na hofu,ni vizuri ukaikuta chuo maana pale haisumbui hata kidogo.na suala la hostel utasoma jina lako pale ofisi za accomodation karibu na hall 5
  16. A

    Anachokifanya Docta Slaa sio fair

    nimekusoma ndugu yangu
  17. A

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    napenda kujua ni kwa nn all liabilities their nature balances are credit balance
Back
Top Bottom