Search results

  1. K

    CV ya Freeman Mbowe hii hapa

    anae jitambua lazima awe mpambanuzi majitu majanja huwa yanatumia vichwa vya wasio soma, sijaona sababu za kumsifu saana huyo jamaa, au ndohivyo tena biashara matangazo? u hv to hv speculation enough to tell us that the man is good in which aspect b`se he never be a leader b4, how did u examined...
  2. K

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Sidhani kama uko kwa ajili ya kuwasaidia watanzania wote, nakama ndivyo hebu tatua kero hii ya wananchi walio wengi, Sensa ndo hiyo iko kwenye kona inasogea wananchi wa tanznia hasa waislamu wanasema hawata hesabiwa mpaka kipengele cha dini kiwekwe kwenye dodoso, unaweza ukashanga kwanini udini...
  3. K

    Ivi tuko wangapi tuliojaza hii faculty kama 1st choice?

    acha uoga hujiamini nini, kama umefeli ni wewe pekeako, na vicredit vyako vya kuunga unga, HUMU TUNAHITAJI CONSTRUCTIVE IDEAS!
  4. K

    Taarifa ya jumuiya ya madaktari kuhusu maamuzi ya serikali kufuatia hotuba ya rais

    Ndugu dactari kumbuka wewe ni Mtanzania ulie toka kule shinyanga, kagera, mara, sumbawanga na kwingineko kwingi ambako leo hii bado mtanzania wa hali ya chini mtoto wake anakwenda shule ya msingi hata secondary bila viatu kwa ajili ya ugumu wa maisha, pia kumbuka mtanzania huyu ndie kodi yake...
  5. K

    Rais Kikwete kuhutubia Taifa...

    hii ni kwa ajili ya great thinker si lazima utafuniwe kila kitu vingine lazima udadavue ndo uelewe!
  6. K

    NI nani huyu anayepandikiza chuki dhidi ya serikali?

    Ni mchango wangu huu naomba mnielewe, chuki iliokuwepo juu ya serikali ni kubwa sana sababu kubwa ni serikali yenyewe, Tatizo: Tanzania ina watu waliogawanyika katika makundi mbalimbali kwa kutumia vigezo tofauti; makabila, mikoa, dini na vigezo vinine, Hebu tafakari matukio haya:- 1...
  7. K

    Rais Kikwete kuhutubia Taifa...

    kuliko kuing`oa bora kuilekebisha kwasababu hatujawahi kuona vikiongoza yawezekana vikawa vibaya zaidi ya ccm
  8. K

    Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

    Nipe mfano wa muiraq ambae ni serious
  9. K

    Hello!

    Mbunge mmoja akichangia katika hutuba ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu leo alifikia kusema "kama alivyo sema waziri Benard Membe kuwa watanzania wako tayari kulala na njaa lakini hawapo tayari kujiunga katika ndoa za ushoga; vivyo hivyo na wazanzibari wako tayari kufa lakini huu muungano...
Back
Top Bottom