Search results

  1. SOLOMO

    Kikokotoo kipya kinakatisha tamaa kwa watumishi

    Upotoshaji huu. Hiyo miaka 12.5 ni kadirio tu. Mstaafu atalipwa pensheni kila mwezi hadi kifo chake.
  2. SOLOMO

    Kikokotoo cha pension cha zamani

    Kikokotoo limbikizi ni 1/540, kadirio la miaka ya kuishi baada ya kustaafu ni 15.5 na kiwango cha mkupuo ni 50% ya pensheni.
  3. SOLOMO

    Serikali kutoa ufafanuzi nyongeza ya mishahara, yaomba wafanyakazi watulie

    Itoshe kusema kuwa, Mhe. SSH Rais wa JMT anayo dhamira njema ya kuondoa kero ya muda mrefu ya kutoongezwa mshahara Watumishi wa Umma lakini kwa ongezeko hili, dhamira yake hii inedhulumiwa! Haiwezekani Mtumishi hajapandishwa mshahara wa kisheria (Annual Increment) wala ongezeko la mshahara kwa...
  4. SOLOMO

    Swali kuhusu kikokotoo kipya cha mafao

    1. Malipo ya Mkupuo yatakuwa {(1,500,000.00x12x(2022-1986)x12)/580}x12.2x0.33 = 55,303,448.28 2. MAlipo ya Kila mwezi yatakuwa {(1,500,000.00x12x(2022-1986)x12)/580}x0.67/12 = 748,551.72
  5. SOLOMO

  6. SOLOMO

    Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika ateta na mabalozi walipowasili mahakamani 10-9-2021 katika kesi ya Mbowe

    Tusisahau kuwa, vita dhidi ya Ugaidi imepewa kipaumbele cha kwanza na Mataifa ya Magharibi na ndiyo maana Mabalozi waliposikia kesi inayogusa ugaidi, wakaelekezwa kuifuatilia vyema na kwa taarifa tu ni kwamba, wanatoa mrejesho kwao kila wanapotoka Mahakamani na humu Tanzania hamtawasikia...
  7. SOLOMO

    Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Unadhani approach anayotumia ya "Royal tour" itatoa majibu ya mkwamo katika utalii! Mimi nadhani Watalii hawatavutiwa na hili bali hali ya Kisiasa ikikaa vyema kukawa na utengamano wa jamii nzima ya Watanzania na kila mmoja akaisema vyema nchi yetu, watalii watasikia na kurejea tena kama enzi za...
  8. SOLOMO

    Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Remember, she became a President by accident! Tusitegemee jipya toka kwa huyu Mam zaidi ya tozo za paa za nyumba, plaster, lenta n.k🚮
  9. SOLOMO

    Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Ninachojiuliza, kwa uchumi upi Mama atakaotumia mwakani kuongeza Watumishi Mishahara!!? Au ndiyo danganya toto!! Yaaani mambo ni mengi sana!
  10. SOLOMO

    Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Mbona unatema mate tu hapa! Rejea kwenye hoja! Mama anaongiza au anaongizwa!!?🚮🚮
  11. SOLOMO

    Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Kwa kweli ni ukweli mchungu, kiongozi mkuu ni "ceremonial figure" tu.
  12. SOLOMO

    Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Kwa kweli ni ukweli mchungu, kiongozi mkuu ni "ceremonial figure" tu.
  13. SOLOMO

    Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Kwa kweli ni ukweli mchungu, kiongozi mkuu ni "ceremonial figure" tu.
  14. SOLOMO

    Lissu kama una lengo la kweli la kushinda Urais 2025, basi njia hii hapa...

    Ameshakufa siyo!!? Kwahiyo Mbowe yupo Hotelini kwa siku 34!?
  15. SOLOMO

    Lissu: Nilikuwa best student faculty of law na nilitamani kuwa Profesa ili nifundishe Sheria

    Kati ya hao laki 5 waliofaulu ni wangapi!?[emoji706]
  16. SOLOMO

    Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

    Helcopter 2 ziko wapi?
  17. SOLOMO

    Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula: Wapendwa Watanzania

    Maelezo yangu yameegemea zaidi katika ukweli kuwa, jamii yetu haijajengwa katika ujasiri wa kusimamia na kudai haki zake kwa njia inayopendekezwa ya matembezi! Chukulia mfano wa Wabunge wa viti maalum waliofikuzwa uanachama wa CHADEMA lakini Katiba imevunjwa na leo wanaongoza Kamati nzito nzito...
  18. SOLOMO

    Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula: Wapendwa Watanzania

    Sio wakati muafaka wa kufanya matembezi hayo ingawa ni kweli lengo ni zuri! Acha Taifa lisonge mbele "kimaendeleo ya vitu" na kisha maendeleo ya watu yatafuata!
  19. SOLOMO

    Uzuri wa Dkt. Magufuli ataanza na wafuatao...

    Usikurupuke, soma kwa makini uelewe anamaanisha nini! Read between lines!!! Mimi nimemwelewa kabisa. Usitegemee kubebwa eti kwasababu ulimsaidia JPJM akaweza kushinda. Yeye ni mtu wa "hapa kazi tu"!!! sasa ukizembea eti kwakuwa ulimsaidia kurejea Ikulu utakuwa umegusa mashafubu yake na...
Back
Top Bottom