Search results

  1. M

    Zitto: Rais hana haki kuhalalisha nyimbo ya msanii yeyote kuchezwa au kutochezwa

    Zitto ana pumba mnoooo siku izi tangu atoke Chadema sijui namuonaje.ila ubinafsi huharibu sana vipaji vya watu. Sema ndo vile tena kila siku ana vimada mada ambavyo havina kichwa.....anyway.I wish angejua
  2. M

    Hivi majukumu ya wanajeshi ya siku hadi siku ni yapi hasa?

    jibu swali.wanafanya nn wakati amna vita?achana na mambo ya morali kwanza
  3. M

    Downlad videos straight from youtube

    safi sana nlikua cjui kaka.wengine wanajua kitu kikiwa jf basi tunakijua.kuna new comers.kuna kupitiwa na majukumu
  4. M

    gari aina ya alteza....

    ka uko interested ni pm kuna yangu nimechukua mwaka jana nataka kubadili gari utakuja kuiona ipo safi kabisa ka tukikubaliana bei.mafuta ni kawaida it depends with ur income.ila iko confortable
  5. M

    Kutoka magazetini ya ITV

    afu ukumbuke itv is owned by ipp media ambayo ina magazeti mengi.effect wanaijua na hasara wanapata wao ni tofauti na channel ten na rfa ambao wana magazeti yanayoishia mwanza tu.so as such they are right ili cocompasate running cost kaka.ao wengine hawajui uchungu wala gharama as they dont...
  6. M

    Kutoka magazetini ya ITV

    kosomewa yote ni hatari.magazeti hayatauza na watakosa pa kusoma cku zijazo.acha dezo nunua magazeti waandishi wa habari wanataka mshahara na kampuni zipate ela ya kujiendesha.eti watanzania wote hawana uwezo wa kununua ata maji yanauzwa.watu bana.tumia akili kidogo kufikiri
  7. M

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    north korea ungekuta no discussion katupiwa mbwa.ka uncle jun....
  8. M

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    nyie hamuelewi.njaa mbaya.zitto njaa kasaliti chadema na kutukana viongozi.fukuza tu.ye nani?????vijana watalinda nvhi wapo wengi.njaaaa vihela kidogo umaarufu anataka uraisi.atauza nchi weka nje ata kama kwa hasara.zito msaliti.ingekua n.korea.....
  9. M

    Chadema kususia kuangalia TBC ni sawa na kususia kuona mwanga wa jua...

    mi kwel tbc siangaliagi tena.not because ya chadema ila wanakera na programu zao za akili ndogo.wanajua wa tz bora liende.akat kuna watu wana exposure nzuri na akili timamu tunaitaji vipindi vrz.
  10. M

    NISADIENI KUTUNGA JINA la SHAMBA LANGU

    acha ujinga.ita jina lako la mwisho sio kitu cha siredi icho!!!watu wengine bana...
  11. M

    CRDB wauzia wateja kadi za ATM

    mi nna account nmb.hawakati kurenew.labda ukipoteza kutengenezewa mpya.ku renew unakuta imetengenezwa tu.huko wanacharges nyingi accoun nlifunga.badala ya ela kuongezeka inapungua tu makato kibao.
  12. M

    Jifunze Lugha ya Kiarabu

    duh.kiarabu cha nin kwan?????kwao wanajilipua tu.very uncivilized.mabomu ya kuvaa,kuuana.jaman ivi ntapata nn kujua iyo lugha kama si shida.kamwambie samatha lee white na syria uko.au boko haram.khaa
  13. M

    La Zitto Kuvuliwa Nyadhifa CHADEMA: Mhe. Zitto, Please! Play It Cool!-Usijibizane Mitandaoni!.

    Reffer Mrema na Nccr.na Mrema na Tlp.ata angetoka mbowe or slaa.chadema is an institution.Zitto mtu mdogo sana na chadema ndio imembeba adi alipo.aya ya kupongezwa na le mutuz wa ccm ni shida.let him go an build displine in system.umaarufu wa kijinga tupa kule!!
  14. M

    Le mutuz kuoa binti mbich aliyezidi miaka 25

    kweli jamii foram wenye mawazo mapana wametoka.wako waimba taarab na umbea wa barazani.tofauti ni kwamba comment zinatumwa kwa mtandao.maisha binafsi yawahusu nn.je mwamjua?plan zake,maisha binafsi.wengine wenu huku shida tupu.tumieni majina yenu halis mjulikane ka afanyavyo william le mutuz.uzi...
  15. M

    Le mutuz kuoa binti mbich aliyezidi miaka 25

    acheni ushamba.mbona amsemi ya mengi.le mutuz ni social mixing up na watu ndo mana....ohhh.asimamish uliwai kumpa?waleta taarab jf. big up lemutuz.
  16. M

    Wafanyakazi wa NMB Bank!

    NMB ina wateja wengi sana ndio mana ata huduma inakuwa hafifu.Sema pamoja na yote wamesaidia watu wengi kwa ajili ya mikopo chee sawa na bure uko kwingine walikua wananichekea na kuniletea umaskini kwa matozo makubwa na riba kubwa.Mi niacheni tu NMB.Labda izi huduma za kuweka pitia mpesa na...
  17. M

    Misa ya Mazishi ya Padre Evarist Mushi-Minara miwili Zanzibar

    Muwakilishi kama inawezekana tunaomba picha tupate feelings za hapo......asante kwa uwakilishi mzuri.
  18. M

    Misa ya Mazishi ya Padre Evarist Mushi-Minara miwili Zanzibar

    Hawa watu wapuuzi sana.They make me sad kusikia nyimbo za huzuni kwa watu wasomi,hawana kosa. iyo ibada na nyimbo zanikumbusha kufiwa na ndugu zangu wa karibu.Mungu amuweke pema padri Mushi.
  19. M

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Hawa Waislam wengi wana akili finyu sana na wanajua Wakristo tunaishi kistaarabu.Ata ivo Zanzibar kutokana na sensa kuna watu Milioni 1.4 Bara kuna Milion 43.Kuna haja ya Muungano akati wenyewe wavivu na wataalamu wa kulalamika?CDM ichukue nchi,tupilia mbali mawazo ya Muungano waislam wa bara...
Back
Top Bottom