Mwalimu mmoja ameripoti kwa ajiri ya kuanza kazi kama walivyopangwa hivi karibuni, mkuu wa shule kampokea halafu akamkaribisha alale store, chumba ambacho hakuna Hata dirisha, huyu mwalimu aliyekaribishwa ni mjamzito, je, haki ya Binadamu iko wapi hususan wajawazito? ni huko Tarime mkoani mara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.