Search results

  1. MFYU

    Dr. Tulia Ackson, nani amekutuma? Unataka nini? Kwanini?

    Huyu Mama...alinifundisha labour law UDSM...yupo vizuri mno....all the best
  2. MFYU

    Kumbe Lowassa ndiye aliyepeleka mradi wa maji kwenye jimbo la Chalinze!

    Dogo...em kitulize kwanza...jamiii Forums....hatutaki uchoko....
  3. MFYU

    Kumbe Lowassa ndiye aliyepeleka mradi wa maji kwenye jimbo la Chalinze!

    Chige...unaeza kua sahihi 100% kabisa...kuhusu huyo jamaa anejiita Prince K...laaana kum
  4. MFYU

    Kumbe Lowassa ndiye aliyepeleka mradi wa maji kwenye jimbo la Chalinze!

    eti choko...bwahahhahahahahahahahahahahahhahaahhahahahahahahhahahahah! Laaaaana' kum
  5. MFYU

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    yaani...CCM iachie ukawa kirahisi ivo kuingia madarakani??? no ways....haingiii akilini....yan UKAWA mjiandae kulia
  6. MFYU

    UKAWA haina uwezo wa kuongoza nchi

    pata pepsi bariiiiiiiiiidi mkuuuu
  7. MFYU

    Abdallah Majura ajitosa ubunge

    dah..mwaka huuu kila mtu siasa
  8. MFYU

    Aina tano za kuachana kwenye mahusiano

    dah namba tano inauma mnooooooo
  9. MFYU

    Tangazo la Chapati za AZAM: Table manners please!

    ..cha muhimu ni UNGA wa AZAM...basi...ayo mengine...hayawahusu....table manners no western culture...jadi ya waswahili ni mazungumzo hata mda wa kula...infact kuna very rare chances of chocking hazard
  10. MFYU

    Kama hujawahi kupiga Punyeto wewe hujakamilika

    mara 5 kwa siku...?? that was worse than ever...kila kitu ni moderation aisee
  11. MFYU

    Dawa ya kitambi hii hapa

    mazoezi tu...hakuna jinsi apo
  12. MFYU

    LAPF acheni ubabaishaji na usanii kwenye ajira zenu

    inatia huruma mnooo..na kusikitisha juuuu....chaaaaa
  13. MFYU

    Msiba wa uchumi Uganda mbele Tanzania

    HIIOO NI FAKE mkuuu...Bank of Ug ime confirm kua ni hoax...sio kweli
  14. MFYU

    Kuna watu hatuna bahati

    ...Jaribu kufata ushaur wa Dr.next time...ili usije pata tatzo jipya! focus kwa masomo zaidi...kila jambo na sababu...huwez jua Mungu kakuepushia nini upande wa pili wa shilingi...!! mayb angekupa uwezo wa kuzaaa...ungekuja zaaa visirani...!! pia maisha ni zaid ya ndoa na watoto
  15. MFYU

    Ni kiumbe gani hapa duniani huishi milele bila kufa?

    Elija hakufa...alipaishwa...na farasi wa moto...(chariots)
  16. MFYU

    Nahisi kuachana nae

    ndoa ni suala la hiyari...sio lazma..kwaio usiumize io kichwa yako aseeee
Back
Top Bottom