Search results

  1. O

    Algeria yafunga mitandao kuzuia udanganyifu kwenye mitihani

    Algeria imefunga kwa muda mitandao ya kijamii kote nchini katika jitihada za kuzuia wizi wa mitihani ya shule za upili. Karibu nusu ya wanafunzi walilazimishwa kurudia mtihani huo kuanzia leo Jumapili, baada ya mtihani wa kwanza kukumbwa na udanganyifu kwa njia ya mitandao. Wanafunzi wengi...
  2. O

    FC Barcelona and FC Bayern M¨¹nchen, Real Madrid CF and Borussia Dortmund - semi-final

    Barcelona anaweza kuyaaga mashindano haya kwenye semi final.
  3. O

    Corruption In the arm - Ugly: Report fingers TZ army for graft, claims there’s filth in defence serv

    tuliambiwa haya mambo ya jeshi, hayarusiwi kujadiliwa.... Ili waendelee na u-corruption
  4. O

    Mwananchi: Anguko Elimu - 60% Wapata sifuri, shule za Serikali Chali

    ... Wee ZOMBA, kweli nimeamini kuwa hujui historia ya Elimu Tanzania' Wakati wa Nyerere vijana walikuwa wanamaliza shule ya msingi wanaweza kufanyakazi za ukarani kwenye ofisi za ushirika, na wengi walipewa kazi ya kufundisha (UPE). Hii elimu ya ndugu zetu kwa sasa vijana wanamaliza Kidato cha...
  5. O

    Wasiooa – walioachika - kufa mapema.

    Reach hii itawafanya wenye matatizo ya ndoa: hasa walioumizwa na wenzi wao wasikubaliane na huu utafiti - unatonesha vidodo, ambavyo ni vigumu kupona kwa sababu ya muhovu shetani.
  6. O

    Nusu ya wako watoto ni wa kusingiziwa!

    ..., hii inasikitisha sana kama upimaji huu wa DNA ni sahihi, basi inamaana 50% ya wapenzi au wanandoa wanamahusiano nje ya familia zao, na kwa maana hiyo itakuwa vigumu kwa njia na taratibu zote za kuthibiti VVU na Ukimwi kuweza kufanikiwa, kama watu bado wanajamiana hovyohovyo mpaka...
  7. O

    Uchumi unavyokuwa kwa kasi tanzania

    Fedha kwenye CHAMA CHA MAFISADI.
  8. O

    Hebu soma ufunguke - mji huu unatisha sasa

    ... sasa inabidi tufunguke kweli, kama mtu ataanza kuona dalili zozote kama zilizotwa, ni bora kuchukua hatua mapema kabisa...
  9. O

    Zitto awasilisha hoja binafsi juu ya walioficha fedha Uswiss

    Huu ndiyo udhaifu wa viongozi wetu. Huyu mama kaishatonya' yawezekana JK baada ya kuona moto wajana kahamua kuingilia kati. Naomba KATIBA MPYA impunguzie mamlaka spika wa bunge.
  10. O

    Watakaofeli kidato cha pili - kuruhusiwa kurudia mara moja tu

    Mtihani wa kidato cha pili unaanza leo nchini kote. Serikali imerudisha utaratibu ulikuwepo hapo mwanzo wa mchujo. Waziri wa elimu amesema.
  11. O

    Bunge la anza kesho Dodoma - je muswada wa fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii vipi?

    ndugu yangu tanzania bado sana, serikali yetu yenyewe inatia kichefufu, wabunge nao wapowapo tu kama boya alilosema huyu mheshimiwa. Kwa ujumla inaumiza sana kuona mtu anayewakilisha wananchi anasema waziwazi kuwa hajui jambo gani lakufanya, ni sawasawa na mwanafunzi anayekwenda kufanya mtihani...
  12. O

    Bunge la anza kesho Dodoma - je muswada wa fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii vipi?

    Ni kweli mheshimiwa Mnyika alikuwa anahojiwe kuhusu mifuko ya hifadhi ya jamii kwenye StarTV ktk kipindi cha tuongee asubuhi, alinena kwamba hatua zinatakiwa kuchukuliwa mapema. Sikuelewa ni hatua zipi wafanyakazi tuzichukue' je tuendelee kupiga porojo tunapokutanika kwenye viti virefu au kwenye...
  13. O

    Bunge la anza kesho Dodoma - je muswada wa fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii vipi?

    loh wala siyo uzuzu' ingekuwa ni busara kama ungetoa wazo mbadala na hatua gani ichukuliwe kuanzia sasa na kabla ya kikao cha bunge la mwezi ujao kuhitimishwa. Kwani kwa sheria hii mpya ya mifuko ya jamii, mwenzetu inamunyima usingizi ndiyo maana kaamuka saa tisa usiku, akifikiria mpaka afikishe...
  14. O

    Mimi nitakuwa tofauti na hao..manispaa ya ILALA labda ni sera ya CCM!!

    Hii MANISPAA kwanza hawana dira kabisa. Cha ajabu mnakumbuka kuna alama za barabarani zilizowekwa katikati ya jiji karibia mwaka na nusu sasa, hizo alama mpaka zimeanza kuondolewa taratibu. Kwa madereva wageni wanao ingia jijini watapa shida kuendesha magari yao katikati ya jiji, na hii...
  15. O

    Vua Gamba imeshindikana na imefungwa rasmi - Pius Msekwa

    Wacha wafu wakawazike wafu wao. chichiemu wote wameoza, sasa ni wakati wakujitambua kuwa wadau wote wa JF ni wanaharakati wakuanzisha mapambano yakuwamwa mwaka 2015, wala si mbali, tujipange sasa.
  16. O

    Ugonjwa Huu ni kitu gani??????

    Already TAYARI !!! Ahaaa! Kafanye kipimo kikubwa kaka. Usione haya. Pia TULIZANA ! Acha kabisa kuchovya. Kama ulikuwa unavunja AMRI YA SITA ya Mungu, tubu kwa Mwenyezi Mungu na uhadi kuzishika amri zote kumi na kuziishi. Mungu Atakujalia utapona.
  17. O

    Tanzia

    Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihidimiwe. Amina
  18. O

    Tahadhari: Kuna maji ya Kilimanjaro feki!

    BONITE bottlers KAMA WAMEBADILI brand au packages ya MAJI YA KILIMANJARO Walitakiwa kuwatangazia wananchi ambao ndiyo sisi wateja wao, ILI KUEPUKA USUMBUFU NA WASIWASI KWA WATUMIAJI. Naomba wadau walio karibu na utawala Bonite B. tufatilie ili kujua kama wamebadili packages,
  19. O

    Tahadhari: Kuna maji ya Kilimanjaro feki!

    Tumekwisha! Na maji ya Kilimanjaro nayo! Tutakunywa maji gani sasa? Lisebene la ARV feki bado liko uwanjani limepamba moto, SIRIKALI inasema zirudishwe waliko zitoa' je hayo maji feki yatarudishwa wapi? Hivi kweli hii SIRIKALI yetu imeshinda kusimamia, mpaka tunaletewa hadi MAJI bandia...
Back
Top Bottom