Search results

  1. Stroke

    Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

    Is he a doctor or a politician.
  2. Stroke

    Yanga mlishawahi kufungwa goli Refa akasema ni kona. MNAKUMBUKA??

    Kama ni karma sawa. Ila nao waneonewa
  3. Stroke

    Pongezi kwa Bi. Eva Kiaki Nkya kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania

    Mh. Rais Samia, Please angalia CV yangu.
  4. Stroke

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Mbweni kiwanja milioni 150 bro. Mshkaji anatukusanya tu hapa.
  5. Stroke

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Mkuu ni kweli una kiwanja au kamba tu.
  6. Stroke

    Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

    Ila waache ulozi. Juzi kuna mkoa jirani na Dar nilikua huko niliambiwa na wenyeji kuwa Yanga game yao ya hapa dar waliicheza huko. Yaani game huwa zinachezwa kabla mkuu. Uchawi upo.
  7. Stroke

    Ulitumiaje nafasi yako ya ku-revenge kwa Ex aliyekufanyia Makusudi?

    Nakumbuka kipindi cha ujana kuna mwanamke aliwahi niambia. "Huna msaada wowote kwangu" Akaishia kunizalia mtoto. Wanawake akili zao wanazijua wenyewe.
  8. Stroke

    Wakati Makonda anakwenda Arusha kuwa Mkuu wa Mkoa tunauliza kuhusu CV yake.

    Mh. Rais. Tafadhali angalia pia CV yangu.
  9. Stroke

    Rais kijana wa Senegal amteua rafiki yake wa kufa na kuzikana kisiasa Ousmane Sonko kama Waziri Mkuu wa Senegal

    Tume ya uchaguzi haiwezi kuwa chini ya mhimili wa mahakama. Majukumu ya tume na mahakama ni tofauti kabisa. Sidhani kama alijiridhisha kwanza kabla ya kuitoa hiyo kauli.
  10. Stroke

    Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

    Makala amekua serikalini kwa muda mrefu sana , tumeona utendaji wake hana maajabu yeyote, vile vile Nyakati zimeshamtupa, ataambia nini kizazi hiki cha vijana ambao ndio wengi. Kama si kulazimisha tu mambo kwa element ya kujuana basi asilimia 80 ya viongozi tuliokuwa nao hawapaswi kuendelea na...
  11. Stroke

    TRC: Seti ya Kwanza ya Treni ya Kisasa ya EMU, Vichwa Vitano vya Umeme na Mabehewa Matatu ya Abiria imewasili

    Sawa hongereni kwa kuleta treni. Ila sasa huu umeme ambao bwawa likijaa maji wanazima mitambo na bwawa likikosa maji wanazima pia tutafika kweli??
  12. Stroke

    Ukiposti barua kwenda UK inachukua muda gani kufika kule?

    Bora umenikumbusha nimuandikie pen pal wangu.
  13. Stroke

    Uongozi wa Yanga fuatilieni alichoongea Aziz Kii na Kocha wa Mamelodi

    Hata mimi niliwaona hii ni hatari sana.
Back
Top Bottom