Search results

  1. C

    Mnakaribishwa kuja Maktaba Kuu ya Taifa iliyoko barabara ya Bibi Titi

    Shukrani sana. Maktaba hii imechangia sana mimi kuwa hivi leo hii. Miaka ya 1978 mpaka 1982....niikuwa mwanachama mwanafunzi na nilisoma asilimia kubwa ya vitabu vya pale. Hapa katikati,kuna upepo mchafu ulipita...pakaharibika sana. Nashukuru kama pameboreshwa na mna moyo wa kutuita kuja. Kuna...
  2. C

    Sikulaumu wewe, bali namwombea apumzike salama

    Shukrani sana. Mie nitawakilisha mchango wangu leo jioni. Nikishatuma kuna haja ya kusema hapa tena au nikuPM?
  3. C

    Sikulaumu wewe, bali namwombea apumzike salama

    Pole sana na mambo ya dunia. Sasa hebu eleza unahitaji msaada gani. Kuna wakati wa kuhuzunika na wakati wa maisha kuendelea. Huwa haisaidii kulalamika bila kuwa na action plan. Weka mchanganuo hapa ili tujue tunasaidia vipi. ONYO: Tutapitia rekodi zote kabla ya kusaidia maana wajanja mjini...
  4. C

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe ajiunga na Team Lowassa kumhujumu Membe

    Nakushukuru sana Ukana Shilungo kwa kuwa muungwana na kukiri kimoyomoyo kuwa ni hasira tu ya kuelemewa ndiyo iliyopelekea yote haya. Na mie nikutakie siku njema ndugu yangu unayeandika na rangi nzuri
  5. C

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe ajiunga na Team Lowassa kumhujumu Membe

    Ndugu, Mbona hasira tena? Umeishiwa point? Uwe na tabia ya kusoma kabla ya kupost ili urekebishe ulichoandika i.e. makosa madogo madogo. Umeandika kwa haraka kama unaoga nje vile Vyuo vikuu huria vimefanyaje? Au ndo vinafundisha kuandika kwa rangi nyekundu kuonyesha ghadhabu? CHALLENGE: Hebu...
  6. C

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe ajiunga na Team Lowassa kumhujumu Membe

    Aisee...! Ndo akili yako imeishia hapo? All the best mkuu na facts za classmate fulani. Unaongelea kupost na kupewa likes ndo indicator yako ya mtu kuwa na akili? That is way too low... Umeona pilot ndiyo kuwa na akili sana eh? Next time naomba utumie rangi za kawaida tu kama ya post ya...
  7. C

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe ajiunga na Team Lowassa kumhujumu Membe

    Mwanazuoni wa Kimwera, Nimeusoma uzi wako na nimeuona uanazuoni wako. Big up! Unataka kutuaminisha kuwa Membe ni lulu mpaka Chikawe atake kumpa mkono kwenye maziko. Sasa kama Chikawe si tishio….mbona unatoa mapovu? Membe kwenda kumsaidia uchaguzi Chikawe? Ndugu akili ya kuambiwa uchanganye...
  8. C

    Tanzania: Hivi tumelogwa?

    Leo ni mwezi wa tano tunakaribia kuingia wa sita,yaani tuna miezi chini ya 5 tufanye uchaguzi mkuu ambao tunatumaini utaleta msukumo mpya katika maendeleo ya nchi yetu. 1.Hatujui ilani ya uchaguzi ya vyama Si chama tawala wala cha upinzani kilichosema kikipata ridhaa ya wananchi kushika...
  9. C

    Brazilian Pastor arrested...

    For Heaven's sake, please stop this madness. Jamani vitu kama hivi ndiyo vinaleta uharibifu wa amani. Siyo wakristu wengi ni wema na kadhalika siyo waislamu wote ni wema. Wako mapadre, maaskofu, wachungaji na wainjilisti ambao wanafanya uhalifu na wengine hata mauaji. Hii haina maana kuwa...
  10. C

    Saudi Arabia : Wakuu wa dunia wamiminika kuhani msiba

    Kweli shikamoo pesa.....Ona wakuu wa nchi wanavyomiminika kuhani msiba. Nimeweka na picha ya Obama akibow kwa marehemu enzi za uhai wake
  11. C

    Hivi ni kweli maziwa huharibu dawa?

    Jibu ni hapana. Ni mapokeo yasiyo sahihi.
  12. C

    Ugonjwa wa Rubella ni Hatari zaidi Kuliko Ebola

    Wito kwenu kushiriki kikamilifu katika kampeni shirikishi ya Surua Rubella ambayo itatoa Chanjo ya Surua Rubella kwa watoto wote walio katika umri wa miezi 9 mpaka chini ya miaka 15 Vidonge vya vitamin A kwa watoto wote wenye umri wa miezi 6 mpaka 59 Dawa za minyoo aina ya Mebendazole kwa...
  13. C

    Hivi ni kweli maziwa huharibu dawa?

    Sorry for coming late. Maziwa hayana effect kwenye dawa za minyoo. Ni mapoke ya zamani kuwa ukinywa dawa za minyoo usitumie maziwa. Huenda dawa za zamani zilikuwa na effect (sijazisoma hizo dawa)
  14. C

    Hivi ni kweli maziwa huharibu dawa?

    Huwa zinanazuia dawa kufanya kazi...a chelated compound. Huwa hazian madhara....zinapita kwenye choo kikubwa. Hazina madhara kwa mtumiaji dawa
  15. C

    Hivi ni kweli maziwa huharibu dawa?

    Kamanda, Si kweli dawa zote zitakuwa hazifanyi kazi ukinywa maziwa wakati unazitumia. Kwa uelewa wangu ni dawa mbili tu ambazo hushauriwi unywe maziwa pindi ukiwa unazitumia Tetracycline Antiacid (alminium ones) Karibu kama una maswali zaidi
  16. C

    Natengeneza business software kulingana na biashara husika

    Mkuu, Hebu jibu swali la Paje kwanza. Ushauri: Jina lako halivutii mtu kukutafuta maana focus yako ni tumbo lako na si kuhakikisha kuwa mteja wako not only is he satisfied but he is delighted as well. Think about it
  17. C

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Mkuu, website haifunguki
  18. C

    King'amuzi cha gospel(above 80 channels)

    Mkuu, siyo Mediacom hii?
Back
Top Bottom