Search results

  1. unbwogable80

    Nisaidie wimbo huu unaitwaje niudownload jamani

    Aliyetokewa na hii kadhia namfahamu kabiaa na na huyo mwanamke pia namfahamu....anapofanya kazi na huyo mwanaume mwenyewe...mwanaume anafanya kazi shirika moja na muimbaji.so baasa ya kuhadithiwa kisa chote basi Juma Kakere akaingia kazini..
  2. unbwogable80

    Nisaidie wimbo huu unaitwaje niudownload jamani

    Juma Kakere muimbaji wa huo wimbo...na ni tukio la kweli kabisa hili..
  3. unbwogable80

    Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

    Wewe wacha porojo, padri mzinzi Waislaam hatumpi kura. Hilo ni wazi na ukweli. We kibibi faiza Leo slaa unamwona mzinzi!!ila uzinzi was tezi dune huuusemi?hakuna prezidaa mziznzi kama huyu full vimada.
  4. unbwogable80

    Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Na kweli press conference imemcost..maana anajua wazi sheria na maadili ya utumishi wa umma kwenye kupokea gifts sasa akajichanganya na yeye kuita press. Maana alichofanya ni kama kulegalize kile kitendo chake cha kureceive ipi aonekana yupo sahihi.
  5. unbwogable80

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom wanashangaza sana an ukishaunga kifurushi cha wajanja ni shida sana..maana hata ntwk itasumbua na speed ya I ternet inapungua sana kuliko kawaida...sasa sijui ndiyo wanabania speed kwakweli inakera hiki kitu sana.
  6. unbwogable80

    Mzee Peter Kisumo yuko wapi katika zama hizi nchi yetu inapokumbwa na sintofahamu

    Mzee huyu yupo haina mjini moshi na alikuwa mwenyekiti was ccm mkoa nadhani..ila baada ya nafasi take kuchukuliwa na MTU mwingi e ndiyo kwa sasa hasikiki sana ila yupo hai. Labda waliopo moshi huko wanaweza kutupa zaidi yaarifa zake.
  7. unbwogable80

    Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    Wasomi wacvyuo vya Dodoma!!!waaeme kutoka vyuo vipi?hao ni uvccm kwenye vuo vyao..
  8. unbwogable80

    NEC kutumia JWTZ kuandikisha wapiga kura ni hujuma?

    Nami kuna habari ambazo pia nilizipata muda mrefu sana kwamba JWTZ watatumika tena hata kwenye zoezi la upigaji was kura za katiba pendekezwa ya ccm maana so ya wananchi. Hi yote ni katika kuleta hofu na kutia jamba jamba watu.
  9. unbwogable80

    Maswali ya interview walioitwa NSSF

    Ni kweli hata mimi nimepangwa asubuhi na nimesoma BAF..so hakuna uhusiano wowote juu ya hill.
  10. unbwogable80

    Naomba kufahamu kuhusu simu za Viwa x7 au Viwa max 5

    Kama utakuwa was kupenda kufuatilia versions za Android hii inatumia Version 4.4.2 KitKat the latest one...na ipo na speed hatari..
  11. unbwogable80

    Naomba kufahamu kuhusu simu za Viwa x7 au Viwa max 5

    Na pia unapewa warranty ya mwaka mzima
  12. unbwogable80

    Naomba kufahamu kuhusu simu za Viwa x7 au Viwa max 5

    Mimi natumia Viwa X 7..Ni nzuri na haina tatizo lolote...hakuna cha kusema kwamba eti ya kichina..hats huawei,techno pia zinatoka China..simu nzuri na so kusema kila kinachotoka China Ni kibaya.. Ni simu nzuri sana kama umeipenda nunua..haata huawei zilipoingia wapo waliosema maneno kama hayo...
  13. unbwogable80

    Maswali ya interview walioitwa NSSF

    Kama hujapata email angalia kwenye spam email or junk mail utaikuta huko..
  14. unbwogable80

    Ufunguzi wa kampeni za mtaa wa ubungo

    Mambo yameenda kiujanja tu hao wagombea wa ujimbe wa ccm hakuna hata cha mana....huyo mwenyekiti miaka yote akiitisha kikao cha wakazi aliilizwa kuhusu mapato na matimizi anabadilika ranging na mkutano huarishwa...Leo anasema nini?
  15. unbwogable80

    Mkutano wa CCM Sinza C wadoda

    Picha za ufunguzi wa kampeni za ccm mtaa wa Sinza na shekilango haluna tofauti...uitikio mdogo
  16. unbwogable80

    Mkutano wa CCM Sinza C wadoda

    Yani hakuna tofauti na mtaa wa ubungo hapa shekilango napo wamefungua rasmi pia umedoda hivyo hivyo
  17. unbwogable80

    Ufunguzi wa kampeni za mtaa wa ubungo

    Nadhani umeona sasatent la kushoto uwanjani halafu kuna julwa kati then tent lingine..na ndiyo wanamaliza kampeni hakuna kipya
  18. unbwogable80

    Ufunguzi wa kampeni za mtaa wa ubungo

    Ufunguzi wa.kampeni za uchaguzi wa mtaa wa ubungo
  19. unbwogable80

    Ufunguzi wa kampeni za mtaa wa ubungo

    Yani uwanjani na hakuna watu..
Back
Top Bottom