Longido ni Hoteli nzuri sana. Wahudumu ni wacheshi, na ipo eneo changamfu, pale msamvu, jirani na stendi. Halafu kuna moja inaitwa Kombuna, chumba cha chini ni 14,000/=, kina sefu konteind, brekfast, kebo tivii, na kaa pakingi
ndugu yangu, hostelli za mzumbe hazijitoshelezi hata kidogo. Kwa makisio yangu zinachukua not more than 30% ya wanafunzi wote wa Mzumbe mbeya campus College. na mwaka huu wa masomo kuna kozi mpya 13 zinaongezwa, nyingi kati ya hizo ni full time courses. Kwa hiyo ndugu yangu ujaribu kuja mapema...
kwa uzoefu wangu mdogo, nowadays huhitaji kujiunga na internet kwa mtindo huo, maana simu nyingi zimeimarishwa teknolojia kwamba ukitaka kujiunga unatuma namba kulingana na kampuni,kisha unanunua bundle vile unataka. Mfano kwa Voda ni *149*01#, na Airtel ni *154*44# (kama sijakosea), ama kwa...
kama mdau alivyozungumza hapo juu, TB na HIV ni mtu na binamu yake. TB humtokea mtu pale kinga ya mwili inapokuwa imepungua. maana yake ni kuwa katika mazingira yetu haya, wengi wetu tunatembea ama tunaishi na vimelea vya TB, ila kwa kuwa kinga zetu zipo juu, tunafaidika kutopata ugonjwa huu...
mie yangu ilikuwa inahabaneti yenyewe, kisha naipumzisha kama nusu saa hivi, then inapiga mzigo. Kuna mtu akasema maybe ni virusi, trojan ama worms. Nikabadili antivirus toka avast! hadi Panda, ni wiki imepita, sijaona tatizo so far
jamaa wameniboa sana safari hii. kwanza shindano lenyewe lilikuwa ni kama la wakazi wa Dar pekee. imechukua zaidi ya mwezi vizibo hivyo vya prpmotion kufika.
kweli kaka, hii "NINA RAFIKI YANGU SYNDROME" inasababisha hatamtu achelewe kupata huduma stahili. Kitu cha msingi ni kwenda katika health facility yoyote iliyo karibu
kadiri siku zinavyokwenda, na ushindani unazidi kuwa mkubwa. pia huduma zinazidi kuboreka, ingawa taratibu sana. tatizo lipo kwenye customer care na speed ya internet. mfano customer care ya tiGO ukipiga hadi wakutoze mia moja. wapi na wapi
Babu Mandela ameonesha mfano kwa vijana kuwa kupiga kura hi haki yako kikatiba. kutokwenda kupiga kura kunapunguza haki na wajibu wako kikatiba, na unakuwa umebananga demokrasia. hata kama huna uhakika kama mgombea wako atashinda ama laa, nenda kapige hivyo hivyo. usipopiga utajuaje namna gani...
nadhani ni kweli kuwa unapoenda kuoga, ukipatwa na tatizo, hakuna huduma ya uokoaji. kwa kuwa tunatumia mara kwa mara neno mwokozi kwa Yesu, yaani Saviour, sasa nao wakivyotumia hilo neno hapo ndio imechanganya kidogo
sidhani kama ni vibaya kuvaa jezi hizo za timu ya kizungu. Sio kuwa hatutaki kuzipenda timu zetu za nyumbani, lakini kuna raha gani kuitukuza timu ambayo kila siku inakupa homa kwa migogoro isiyoisha? Ndani ya mwaka mmoja timu inakuwa haijafanya chochote cha maana, zaidi ya uongozi kuvurugana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.