Search results

  1. Avenue M

    Strategies for Tanzania's Economic Development

    A total revamp of the present political system from a unitary state to a federation based along ethnic principles would be a good start. See for example: http://www.federo.com/index.php?id=65
  2. Avenue M

    In DEFENCE of LOWASSA (Warioba & Butiku on it)

    I can see you are introducing yet another piece of legal jargon, namely "fair hearing". Sijaona umetoa jibu kuhusu jinsi hizo dhana ulizozitaja zinahusiana au zina-apply vipi na kazi ya tume kama ile ya Mwakyembe. Jee unajua maana na kazi ya tume vis-a-vis mahakama? Pia isingekuwa vibaya kama...
  3. Avenue M

    Nasema: Kila muosha Maiti naye ataoshwa tu

    Hapa umeboronga ndugu. Tafsiri hii ni potofu sana. Kuondoa ufisadi kunahitaji juhudi za raia wapenda haki na si sala kwa Mungu,
  4. Avenue M

    In DEFENCE of LOWASSA (Warioba & Butiku on it)

    You appear to be adept at throwing around bombastic, technical terms without understanding their true meaning within the legal context. That said, why don't you tell us what you understand by "basic pinciples za fairness", "rule of law" and "due process", and how each of these relates to the...
  5. Avenue M

    In DEFENCE of LOWASSA (Warioba & Butiku on it)

    Wacha kutuzuga na ujinga wako bana! Kwanza ulianza na "obstruction of justice", sasa unakuja na madudu mapya. Unajua wewe tatizo lako ni kwamba una tabia ya kutaja legal phrases, concepts and whatnot ambazo huelewi hata zinamaanisha nini haswa kisheria. Kuna tofauti kati ya kazi tume na ile ya...
  6. Avenue M

    US Election Coverage 2008

    Dumb pussy ass crackers on CNN ( http://edition.cnn.com/POLITICS/ ) and similar major media corporations wanna make it appear like Hillary Clinton won big time against Obama on Super Tuesday. The truth of the matter is 4 days down the line and Obama is leading by 2 delegates. Obama leads...
  7. Avenue M

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    Haondoki mtu hapa! Lowassa for president 2015!!
  8. Avenue M

    Kikwete kuzunguka dunia kujitambulisha kuwa kiongozi wa AU

    Ewe Primadonna wa bodi hii! What a pathetically silly and vulgar female you must be! Umefanya kujiunga kwa hiari na kuchangia mawazo huru kwenye hii bodi kuwa ULAJI! Nobody cares kama JF ni bodi ya buzi lako, kaka yako au babako. Nachojua ni kwamba ushindwapo hoja au kupingwa unaishia ktoa...
  9. Avenue M

    Kikwete kuzunguka dunia kujitambulisha kuwa kiongozi wa AU

    Ona sasa!! Kumbe hoja ulikuwa huna wewe! Lijimama lizima hovyooooo!!
  10. Avenue M

    Kikwete kuzunguka dunia kujitambulisha kuwa kiongozi wa AU

    Ndugu naona unatumia "red herring" na vitisho vya kitoto vya kunifungia badala ya kujibu hoja. Hizi mada zako za kitoto za kumsuta Kikwete kila siku ni ishara ya jinsi ulivofilisika kimawazo. Kwa kifupi HUNA JIPYA!
  11. Avenue M

    Kikwete kuzunguka dunia kujitambulisha kuwa kiongozi wa AU

    Hilo jina lisiwapumbaze naweza kulibadilisha hata kesho. La muhimu leo hii ni kwamba Watanzania woote popote waliopo tufurahie Chama chetu kitukufu CCM kuadhimisha miaka 31 ya kuzaliwa! Ni furaha iliyoje!! CCM Hoyee!! JK juu!! Juuu!! Juuu!! Juu zaidi!!
  12. Avenue M

    Kikwete kuzunguka dunia kujitambulisha kuwa kiongozi wa AU

    Wacha utoto ndugu!! When are you finally gonna grow up?! Hebu tuambie lengo ya mada ya uchochezi na kejeli dhidi ya mheshimiwa rais kama hii? Unategemea ku-achieve kitu kama cha msingi with such far-fetched, speculative utumbo kama huu? You've gone way overboard ndugu! Heckling and demeaning the...
  13. Avenue M

    Pongezi Kwa Mh Rais Jakaya Mrisho Kikwete

    Ndiyo. Siyo mimi nileyandika hiyo barua bali ni Mtanzania mwenzetu Ndugu BARAKA ABDALLAH KANGE anayesoma huko Bangalore, India. Hakika bamdogo Baraka ameonyesha uzalendo, mapendo, heshima na unyenyekevu kwa rais wetu, kitu amabacho kinafaa kuigwa. Rais wetu anafaa kuungwa mkono kwa makubwa na...
  14. Avenue M

    Pongezi Kwa Mh Rais Jakaya Mrisho Kikwete

    http://issamichuzi.blogspot.com/2008/02/pongezi-toka-india.html#comments PONGEZI KWA MH RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza rais wetu Mh Kikwete kuchaguliwa kwake na umoja wa Afrika kuwa mwenyeketi kwa kipindi cha mwaka mmoja,mh rais nakupongeza sana na...
Back
Top Bottom