Search results

  1. concious mind

    Tujikumbushe maneno aliyoyasema Patrick Aussems( Uchebe) alivyoondoka Simba

    Best kocha kwa simba kwa kipindi chote pamoja na zile tano bila ila wachezaji walikuwa wanajituma
  2. concious mind

    Msaada wa chaguzi ipi ya gari ndogo ninunue?

    Chukua Runx, wish inawahi kutepeta
  3. concious mind

    Je, wewe ni dereva wa aina gani? Una tabia gani barabarani? Kuwa mkweli

    Je katika kipindi cha miaka mitano umesababisha ajari ngapi?
  4. concious mind

    Je, wewe ni dereva wa aina gani? Una tabia gani barabarani? Kuwa mkweli

    Mara nyingi hatujipimi ila wengi ni madereva wabaya. Mi binafsi natembea hasa bara bara inaporuhusu. Tatizp jingine ni bara bara zetu zinachochea kuvunja sheria za usalama barabarani.
  5. concious mind

    Mnaokaa mbali na Familia zenu mnapambana vipi na hii hali?

    Amina namshukuru Mungu naishi nao, na iendelee kuwa hivi.
  6. concious mind

    Mnaokaa mbali na Familia zenu mnapambana vipi na hii hali?

    Binadamu tunatofautiana kuna ambao wanaweza na kuna ambao hawawezi, binafsi ndoto yangu ni kuondoka asubuhi kwenda kazini na kurudi jioni niwe na familia yangu.
  7. concious mind

    Tuliwahi kutumia gharama nyingi ili kulinda mahusiano lakini mwisho wa siku chali

    Story yako huenda ikamuokoa mtu, kimsingi unapomsomesha mtu automatically akimaliza anakuwa sio type yako tena. Hata akikubali umuoe atakuwa anajilazimisha tu.
  8. concious mind

    Tuliwahi kutumia gharama nyingi ili kulinda mahusiano lakini mwisho wa siku chali

    Take home message tujifunze kutokana na makosa ya wengine. Mi hilo sijawahi na sitokuja kufanya kumsomesha mpnz ni big no.
  9. concious mind

    Je, walijua watakufa 2014?

    Kama walikuwa na ugonjwa wa muda mrefu inawezekana, vinginevyo hakuna ajuaye kesho
  10. concious mind

    Maswali kuhusu Taulo za Kike zinazotolewa bure

    Tafuta tatizo litatue utapiga hela sana tu, ni kweli kuna watu wanakufa sababu ya kukosa elfu 10 ya dawa so ni kweli ambao 1,500 ya pedi ni bora aweke kitambaa hiyo hela aongezee msosi.
  11. concious mind

    Wafanyakazi wa hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma wapewe maua yao

    Hongera kwa Benjamini Mkapa, hongera kwa wizara kuruhusu maslahi ya wafanyakazi kuwa mazuri. Watumishi wakilipwa madai yao hutenda kazi, bila gubu, bila hasira
  12. concious mind

    Kuidharau Yanga SC ikielekea CAFCC Semi ni Ushamba na Simba SC haijawahi Kucheza Fainali ya CAFCC

    Big up, binafsi napenda Simba akishinda na Yanga ashinde, Simba ikifungwa na Yanga afungwe tu kwa kweli maana wataongea sana
  13. concious mind

    Kati ya wanawake 10, wanawake 6 wanaotumia madawa ya kulevya ni HIV positive

    Wanawake mara nyingi 1. Hawana maamuzi ya kutumia kinga. 2. Wao mara nyingi wanachubuka wakati wa tendo. 3. Wanabaki na majimaji mengi na muda mrefu baada ya tendo.
  14. concious mind

    Kula matunda tu usiku ni formular ambayo haiko applicable kwa hapa kwetu Afrika

    Hii inahitaji kuzoea na wala sio kuanza gafra, ungeanza kupunguza ugali huku ukiongeza matunda. Kidogo kidogo wala usingeona kazi.
  15. concious mind

    Nilivyotumiwa laki 7.5 kimakosa

    Mnanitisha sasa mi hizi Elfu kumi kumi nazikutaga kwa account nakula tu maana kuna wakati hata upni imetoka wapi
  16. concious mind

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Naona wana wameamua D iishe
Back
Top Bottom