Search results

  1. D

    Hapana, hapana UKAWA mnaipeleka nchi pabaya

    Issue sio CHADEMA wala UKAWA. Ukweli ni kuwa CCM inatumia Vyombo vya Serikali Kisiasa, na madhara yake ni hayo. Wataipasua hii nchi hao watu. Inaonyesha wazi CCM mwaka huu imepasuka na itatumia the last possible resource kubaki madarakani.
  2. D

    Magufuli na ikulu

    kajisemea Mwapachu Maneja na Kiongozi. Jamaa kazoea Kukariri tu Ma Benzene na Hydrochloric acid. Pale hamna strategist; yaani presidential material :majani7:
  3. D

    Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    Timu ya Kubwabwaja:dance:Imekula Kwao. Hadi Lusinde Wa Escrow....Hawa jamaa wameshachoka..
  4. D

    Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Ubaya zaidi anatumia Maji yanavyobadilika from barafu (Solid) to maji (fluid) to Hewa ya Oxygen na Hydrogen (Gases) hapo change inatakoe (NA WASIWASI SANA NA BACKGROUND YAKE KWENYE SCIENCE I HEARD ALIPATA ZERO FROM SIX). You can't have TRANSFORMATION BILA CHANGES. NA HAO CCM HAWAWEZI KUTULETEA...
  5. D

    Ndugai kufikishwa mahakamani kwa kosa la kumpiga Dk. Joseph Chilongani, atishia kujitoa CCM...

    Nani amekuambia tunamtaka huyo "Nduguyaccm" huku UKAWA?
  6. D

    Mwigulu ahojiwa masaa matatu na TAKUKURU

    Yaani ccm ni shida... Kweli hamna kupigia kura hawa
  7. D

    Jenister Mhagama: Rais Kikwete hatovunja Bunge leo Tarehe 9 Julai, 2015

    Nchi hii kuvunja katiba imeshazoeleka Viongozi wetu wameshazoea kuivunja katiba kwa kuelewa au kutoelewa wanafanya Hivyo.
  8. D

    Piga kura juu ya hili: Je wanachokifanya wabunge wa vyama vya upinzani ni sahihi?

    Mungu atusaidie kwa jinsi Bunge lilivyoendeshwa jioni hii ni dhahiri kuwa hawa watu wamefikia Point of no return ya Ubabe... :hand::hand::hand::hand:
  9. D

    Waliochaguliwa UDSM undergraduate

    Jamani naona hawa ni for, 6 leavers kuna mtu ana information kuhusu sisi diploma au equivalent?
  10. D

    kwa wale waliopata chuo

    Hongereni sana
  11. D

    kwa wale waliopata chuo

    Samahani jamani kwa wale mliopata chuoo mmepangiwa selection ya ngap mliocahagua?
  12. D

    Nacte mnazingua

    Hata mimi nashangaa jamanii! Mwenye information yeyote kuhusu sisi diploma mtujulishe jamani
  13. D

    TCU selections are OUT!!

    Jamani mtusaidie na sisi ambao ni equivalent au diploma? Tunafanyaje? Hongereni mliopata
  14. D

    majina yaliotoka bodi ya mkopo

    www.heslb.go.tz
  15. D

    majina yaliotoka bodi ya mkopo

    Mdau wameniambia kwa kuwa nimezaliwa dar natakiwa nikachukulie huko ama nitoe hela mara mbili kinatumwa dar! Nikachukulie huko so bora niende tu dar
  16. D

    majina yaliotoka bodi ya mkopo

    Affidavity huwa inatumika badala ya cheti cha kuzaliwa! Unaenda mahakamanii unapewa
  17. D

    majina yaliotoka bodi ya mkopo

    Asante sana mdau mie nipo arusha ila nilizaliwa dar itabdi nije niliogopa kuna rafki yake aliendaga mwaka jana ikachukua mwezi mzma
  18. D

    majina yaliotoka bodi ya mkopo

    Jamni naombeni msaada kuna majina yaliotoka loanboard kuwa hayajawekwa viambatanishi jina langu nipo wameniandikia cheti cha kuzaliwa wakati nilikua affidavity jamani affidavity is inatumika badala ya cheti cha kuzaliwa? Manake mimi sina cheti cha kuzaliwa na nasikia inachukua muda kupata cheti...
Back
Top Bottom