Adhabu ya traitor ni kifo. Kushirikiana na beberu kuhujumu maslahi ya nchi ndo uzwazwa. Unazungumzia historia? Kila kosa na adhabu yake na huwezi kujitetea kwa makosa ya wengine. Afu unajiita akili kubwa. Takataka kabisa.
Nimetagakari sana, suala la baadhi ya wanasiasa kuendelea kuwa vibaraka wa makampuni ya kibeberu yenye nia mbaya ya kuharibu uchumi wetu kwa kutuuzia huduma na bidhaa substandard. Yet mtanzania ndiyo anakuwa wa kwanza kutoa mbinu na miongozo ya kuihujumu nchi yake. Zamani nilikuwa naelezwa na...
Kifanya kazi kwa mazoea kusionekane kabisa awamu hiii. Hao maafisa ni wala rushwa tu ndo maana dharau zimewajaaa. Inakuwaje bosi anafika on time na afisa anakuja baada ya masaa mawili kama siyo dharau?
Tusipojenga utaifa siju si nyingi tutasambaratika. Wekeni itikadi pembeni tujenge nchi yenye umoja na amani. Chuki kwa misingi ya vyama vya siasa na ukanda hazisaidiii. Ni kupanua wigo wa chuki na uhadama. Tuache mwelekeo huo.
Hivi machapisho yote huwa kwa net? Je uwezo wa mtu kitaalum hutokana na machapisho tu? Hao akina Lissu wamechapisha nini kwa international journals? Nadhani umexhukua muda mrefu kufanya utafiti kwa parameters zenye mapungufu.
Wabunge wa jamhuri kutoka Zanzibar wameshajiandikisha Dom long time na wanadaka mkwanja. Zanzibar eana katiba yao na Tanzania ina katiba yake. Mifumo ya kiutendaji ya NEC na ZEC iko tofauti ila jambo hili halifafanuliwi uzuri sababu lina ajenda ya.kisiasa. faulo ni faulo tu hata kama imeganywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.