Search results

  1. V

    Hivi profession ya Nape ni nini?!

    Bora hata "mheshimiwa' kuliko enzi zile za "ndugu". Bottom line: muulize Mheshimiwa. Eti "ujasiri" wakati mtu hata akiuua leo, guaranteed kesho atapeta mitaani na dhamana ya Rais.
  2. V

    Hivi profession ya Nape ni nini?!

    Unauliza jibu kaka! Huoni kuna mantiki ya kwa nini asilimia kubwa ya wachangiaji kwenye jukwaa hili hawataki kutumia majina yao? Kama waliodiriki kusimama kupigania haki zao waziwazi kama kina Ulimboka, hatima yao ndiyo kama hiyo ya tunayoijdili hivi sasa, jee cha kukushangaza sana hadi uje na...
Back
Top Bottom