Search results

  1. M

    Halmashauri zinakufa, Wabunge mko wapi

    halmashauri gani kwa mfano
  2. M

    Natafuta kazi tabibu wa kinywa na meno (dental therapist )

    nilisikia waziri mwenye wizara ya mambo ya shule na vyuo akisema tujiajiri hasa kwenye kilimo
  3. M

    Vijana mnaosubiri ajira, mwacheni Waziri Kairuki apumzike

    uhakiki gani usioisha mungu wangu .,......tunusuru watanzania na shari za utawala huu
  4. M

    Serikali Ikamate Haraka Waliogomea Sensa Kisha Wakahesabiwe Magerezani

    Hekma inatakiwa hapa lakin naona police wanaharibu kabisa.
  5. M

    Sababu za kufeli kwa zoezi sensa

    Police wanataka kuleta machafuko kwa kuingilia iman za wa2 tumien akili sio nguvu kun kaya nyingi zimegoma dsm na hilo j
  6. M

    Nahofia uhakika wa Takwimu Sensa Hii.Tufanye nini tuokoe Jahazi?

    vyombo vya habari vinaendelea kuivuruga sensa. ishaurin serikali itatue mzozo na waislam kwanza na si kuchochea.
  7. M

    Sheikh Ponda na wenzake wasisitiza waislam kugomea sensa!

    ndio mahubiri yenu ya kanisan sasa nan atashangaa hoja za waislam haijajibiwa hata moja zaid ya kujiumauma meno tu.
  8. M

    Nani wa kulaumiwa mkanganyiko wa zoezi la sensa.

    kuwapuuza watu kunaimbua serikali jiandaen kuona tafiti ya sensa na si sensa polic wamentia hasra kwa matamsh yao no sns
  9. M

    Nani wa kulaumiwa mkanganyiko wa zoezi la sensa.

    kwan si mtasindikizwa na polic ili kuwalazimisha watu nikiwaona tu ntakimbia ili polisi anipige lisas nife teh teh teh.
  10. M

    JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

    Hata ukiwaelewesha hawataelewa kanisa lishaagiza kamata wote watakaogoma hv polis wako tayar kutekeleza amri hii.
  11. M

    JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

    maaskofu ndio wameiamrisha serikali ikatae hk kipengele bl hoja za msingi serikali n kanisa utahesabiwa kwa mtutu amri 1
  12. M

    Nani wa kulaumiwa mkanganyiko wa zoezi la sensa.

    Serikali ingejikita kujibu hoja na si kutisha watu sihesabiwi si mnatudharau 2015 mtaisoma no pumbaf.
  13. M

    JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

    kamwe serikali haiwezi kupata taarifa sahh kwa kuhesabu watu kwa mtutu kikwete kajipange upya hapa mechemka au ndo dhaif
  14. M

    Kuhusu mabadiliko kwa facult husiyo itaka

    Hy ni sawasawa na hkl kutupwa muhas medical doctor tcu kitukoooooo!
  15. M

    Kuhusu mabadiliko kwa facult husiyo itaka

    Mmn! hy kali toka nduki fasta hizo angle sizo kama ulishawahi kuiona advance phy and mathematics tia mguu chuo.
Back
Top Bottom