Search results

  1. Davich

    Nahitaji mwanaume wa kunioa, awe na nia ya dhati na mapenzi ya kweli

    Mh!!!you too demanding,mwisho wa sikuuta angukia powa.
  2. Davich

    Wanaume Nisaidieni

    Hahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa............,Kiukweli wanawake ni wataalamu wa ubinafsi sana na wanataka kumtawala mwanaume pia kujifanya wangu na kujifanya wepesi kila pasipo hitajika. Wanaume wamegawanyika katika sehemu mbili na nimbilituu,wanaotaka kusumbuliwa ndio wapewe na wanao taka...
  3. Davich

    Naweza kupata matokeo ya kidato cha nne kwa Jina?

    Mambo ya Kidigital ndio hayoo.
  4. Davich

    Kwanini waitwe Migambo wakati wanamiliki sehemu kubwa ya Nchi na wamejiajiri!!!!.....

    Jamani tushirikiane,Hivi inakuwaje wanajeshi kama Boko haramu na ISIS,na hata wale wa Tanzania waliotaka kulianzisha wakaogopwa je kwanini wanaitwa MIGAMBO wakati wanauwezo wakutikisa wanajeshi??. Tunao tafuta ajira tuwe makini hapa serekari inasema tuwe wabunifu sasa vikundi kama hivi vinatowa...
  5. Davich

    Why not If not!

    Yes not because not and Never!!!!!!!!...........................
  6. Davich

    Je, ulishakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wangapi?

    Mh!!! mimi huwa naona ni ujinga wa kupitiliza, kupima ni haki ya kila mtu!!tena ilitakiwa tuwe na vipimo au mahali maalumu kwenda kupima buree kila miezi mitatu. Nilishangaa nilikwenda hospitali moja binafsi hapa mitaa ya ilala wakaniambia kupima ukimwi ni Elfu 10!!!!!!!!!........
  7. Davich

    Mtoto wa miaka 10 ajiunga na Chuo Kikuu kusomea Hesabu

    Kiukweli hakuna ambae hatamani kuwa na mtoto kama huyo,watoto wakike huwa na uwezo kuzidi wa kiume ila sasa sijui uwezo ule huwa unapotelea wapi. Lakini mtoto kama huyu akitokea Tanzania utakuta Ma Prof. wakitanzania wanaanza kumkosoa sanaa pale anapowashinda badala ya kumpa uwezekano wa...
  8. Davich

    Je, wajua kitu kinachovutia zaidi kwa mwanamke?

    Umegusa kunako wala hujakosea utasikia mwanamke anasema yaani pesa ni kilakitu, akipata pesa hakuna la maana anafanya kweli IQ ni muhimu sana.
  9. Davich

    Natafuta familia ya baba yangu mahali walipo kwa sasa

    Pole sana kijana japo umechelewa lakini sikulaumu sana,Hata mimi nisha wahi kubanwa kama wewe lakini nilibahatika kumpata Dingi nikiwa na Umri wa miaka 23.Kwa kukushauri wala usiende hata kenya tulia hapo hapo MUNDULU hope ulimaanisha MONDULI,kwani lazima kunawatu waliowahi fanya kazi nae na pia...
  10. Davich

    Miezi miwili ya mahusiano tayari anataka tufanye ngono, huyu ni wa future kweli?

    mH!!!!!!si mchezo kuna watu wananiambaya c mchezo yani ukimpatu kasepa!!!!!
  11. Davich

    Ndoto hizi ni utata mtupu, Naomba msaada

    Polesana kijana japo umenichekesha sanaaa lakini jambo kama hili kwamfano nikifahamu umri wako pia huwa ni rahisi kukushauri. kuna vijarida vingi sana na watu wengi sana wamekuwa wakijiuliza mwaswali kama ya kwako watuwalio bobea katika psychology walitowa majibu yafyuatayo,Ndoto mara nyingi...
  12. Davich

    Miezi miwili ya mahusiano tayari anataka tufanye ngono, huyu ni wa future kweli?

    Pole sana dada yaani kila siku watu wanaowa na wasichana kawa wewe wanatakakuolewa siombaya,lakini iweje huyo mh!! miezi sita na miwili eti bado unambania!!!!!kiukweli kama unapesa zako toa nauli muende kwao mapema bila hivyo utamkosa,na ukifika kwaohuko ndio umpe mautamu amasivyo ataibiwa,ila...
  13. Davich

    how to heal from a breaking relationship?

    Naamini kuwa if you can break it means you can make it and if you cant make it then dont break it except if your dont want it or your the craziest ever .
  14. Davich

    Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

    Dogo kuna mambo yanayowezekana na wewe unaonekana kumpenda mke wamtu,kuwa makini sana,kama unaweza kuiba iba ila kwa kujiachia kwako futi sita yaja.
  15. Davich

    Jamani kuapply kazi serikalini na Masters ni kosa?

    Yaani watu mnapo ingiza mambo ya imani katika swala la Ukweli kama la ajira inaudhi sana.Kwa sababu mnakuwa mnamaanisha kuwa mtu akisali na kukosa kazi ambayo ana meet all requirements amlaumu MUNGU.Hebukuweni na imani za kweli na endelezeni ukweli wa mambo kwani mnakuwa mnapotosha sana...
  16. Davich

    Nimempenda sana msichana huyu!!

    weka sasa recent pictures ili afahamu kuwa ukweli wako ni upi,kuliko kuficha,ila wewe ni mrembo tu hata mm ningekukuta sura ya kitabu mbona nisinge juiliza!!!!!
  17. Davich

    Nimempenda sana msichana huyu!!

    You know what Bro worry not she is all yours,you love her go for her and accept every thing hope she will do the same,the best home boy.
  18. Davich

    Nimempenda sana msichana huyu!!

    Tatizo hujawa muwazi,kwanza swala la muhimi ni wewe unatarajia nini??maana kama umeongea nae siku zote kuna mambo unatarajia.Unaweza kuwa unatarajia ni mrefu kumbe mfupi ni mfupi kumbe mrefu,ni mweupe kumbe kweusi maana picha nazo simchezo.Sasa kwaza matarajio yako kisha ushauri wangu.Au...
  19. Davich

    NImeanza kutowaamini PSRS/Utumishi/Ajira

    Maombi unakuwa unaomba nini??Acha maisha yako ya kusadikika,watu wanataka ukweli wa mambo,Eti mashamba yapo mengu mbona wewe umekimbilia mjini!,sasa kule unaenda kulimiamikono??na mazao yako yakistawi anapewa muwekezaji,eti maombi!!!
  20. Davich

    NImeanza kutowaamini PSRS/Utumishi/Ajira

    Haya mambo ndiowanayafanya yaendelee,nilikuwa cjakumpa moja ya mikasa yanga hapo ajira zao za serikarini,waliniuliza maswali pannel nzima ilikuwa na watu sita eti ma professor kuonyesha tu kuwa hatukupi akaniambia"It is very difficult for me because you have knowledge and Skills but you dont...
Back
Top Bottom