Search results

  1. D

    hukumu ya mwanamke aliemsingizia baba mtoto

    sio kwahiari kaka ndio maana ya kusema neno kusingiziwa maana yake hukujuwa ukweli, ni mke umemuoa halaf mkazaa mtoto then imetokea hivyo sasa unafanyaje?
  2. D

    hukumu ya mwanamke aliemsingizia baba mtoto

    hivi kama ikitokea ukisingiziwa mtoto na mwanamke halafu ukamlea, kumsomesha na kumpa kila kitu kwa kujua huyu ni mwanao, ikaja siku mtoto amekuwa yuko chuo kikuu anajitokeza mtu ambae ni baba ake biological (kwa ushahidi wa DNA) na anamtaka mwanae...je hamna sheria yoyote inayokulinda wewe...
  3. D

    kabambikiwa mtoto

Back
Top Bottom