ila mimi nadhani endapo polisi watapewa lungu, wahalifu wote watakwisha sema wanaogopa sana. maana nasikia hata polisi akiua jambazi inaweza kula kwake.
Nilikuwa napita maeneo ya Kilwa road,nikaona kundi kubwa la watu,nilipouliza nikaambiwa ni sherehe za kumuaga Alhaj Said Ally Mwema. Mliopo huko tupeni taarifa rasmi.
IGP huyu kweli alikuwa mwema,na aliechukua nafasi yake ndio mwema kwelikweli.
Mungu awape afya njema.
jamaa kwa kukosoa watu wewe,looo.maana kila kitu wakitoa kasoro, mi nampongeza mhrais kwa uteuzi wake. maana watu wengine mnakuwa kama nzi,ambae hata uvae suti ya aina gani,atajitahidi mpaka aone kidonda,
tulia wewe acha kumpa dosari rais wetu,maana hata rais atoke mbinguni awe malaika nina...
Sahih International
Allah is the Light of the heavens
and the earth. The example of His
light is like a niche within which
is a lamp, the lamp is within
glass, the glass as if it were a
pearly [white] star lit from [the
oil of] a blessed olive tree, neither
of the east nor of the west...
jamani nauliza naomba msaada,maana nakumbuka kuwa tukiwa msingi tukisoma katika somo la uraia kuwa ili tuishi tunahitaji siasa safi na uongozi bora, je ni ipi siasa safi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.