Search results

  1. B

    Nina binti hajui kusoma wala kuandika, ajifunze nini kwa kujihudumia maishani?

    Huyu sijawahi kuona. Yaani nimemtoa kijijini kumbe licha ya kutojua kkk lakini hajui hata hela. Ila kazi za ndani safi.
  2. B

    Nina binti hajui kusoma wala kuandika, ajifunze nini kwa kujihudumia maishani?

    Ni binti wa kazi nahitaji awe na ujuzi kwa maisha ya baadaye. Shida ni kuwa hajui kusoma,kuandika wala kuhesabu.
  3. B

    Nawezaje kumtambua tapeli?Amekuja anatia huruma, nimemsaidia kumbe hana tatizo lolote

    Nimemsaidia mtu alikuja anatambaa.Baadaye nusu saa nimemfuma sokoni akiwa amesimama na anatembea safi tu ananunua vitu.
  4. B

    Huu ni ulemavu au makusudi

    Mkuu A-town nahisi wewe ni mwalimu wa lugha.
  5. B

    Hivi Ndivyo Mwigulu Nchemba alivyotikisa TAIFA kwa saa 3 Mwanza

    Mbona sijaona kwenye taarifa za habari?
  6. B

    Mwenge huu si ule wa Nyerere

    Ngoja usiku. Asubuhi kahesabu kondomu
  7. B

    yupo wapi finias magesa ?

    Atakuwa yupo kwao Nanyumbu
  8. B

    Mwalimu aliyekuaga anatutandika fimbo sana kaniomba hela

    Du nakumbuka mbali mno. Mwalimu Tuka njoo uniombe hela.
  9. B

    Kubadili umbo la mic

    Yaani ni kwamba umbo lake halileti picha nzuri kwani hufanana na sehemu za siri. Ilitaka kuleta tafrani shereheni leo.
  10. B

    Kubadili umbo la mic

    Habari zenu. Hivi hakuna uwezekano wowote wa kubadili umbo la maiki yaani kipaza sauti?
  11. B

    Mwalimu wa madrasa anaruhusiwa kuchapa mwanafunzi wake?

    Mimi ni mjasiriamali nazunguka mno vijijini. Nilishatoka huko. Nakakande ipo tarafa ya Nakapanya Zamda Geuka.
  12. B

    Ukiota ndoto una hela nyingi, ukiamka hukuti hata shilingi zinakuwa zinaenda wapi?

    Ulikosea, ungepeleka benki ile kuamka tu ungezikuta huko.
  13. B

    Mwalimu wa madrasa anaruhusiwa kuchapa mwanafunzi wake?

    Mwanafunzi wa madrasa tul Nabii huku Tunduru amechapwa hadi amechanwa kiganja cha mkono. Hivi madrasa wanaruhusu viboko?
  14. B

    Naomba kusaidiwa naona kama napata hasara

    Wakuu Asprin na MO11 samahanini nilikosea kitufe cha kutuma nilibonyeza kwa bahati mbaya kabla sijamaliza maelezo. Kwa heshima nawasilisha.
  15. B

    Naomba kusaidiwa naona kama napata hasara

    Hapa naomba ushauri. Mimi ni mwanamke mjasiriamali. Shughuli yangu ni kununua ndoo za mafuta zilizoisha na kubadilishana na kuku wa kienyeji mpakani mwa Tanzania na Msumbiji na Msumbiji kwenyewe hasa vijijini na mashambani. Huwa natumia pikipiki san heroji. Sevis ya pikipiki na mafuta mara...
Back
Top Bottom