Search results

  1. M

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    Mheshimiwa Mzee Mwanakijiji, Haunitendei haki kabisa unapoondelea hiyo bunduki.....halafu jamaa wanasema thank you...duh, ina maana niko peke yangu nisiyeona nini?? Ukiweza nipe dondoo basi.....aksante
  2. M

    Tanzania National Identities

    Mimi nadhani suala la Muungwana uliacha kwanza, koz naona hofu yako nyingine ni kugeuza somo. Ukitaja matamshi ya Muungwana popote katika vitu vinavyotofautiana kiukweli utazua mjadala mwingine tena. Kama unataka majina ya makampuni uwe na subira, mtoa hoja akiweza atalisaidia. Nimefurahi kuona...
  3. M

    Tanzania National Identities

    Kinvaba kweli ana moto, Ishu inaonyesha inataka kumtoa roho, mimi mbona sina evidence na wala siishiki bango???issue ngapi ziko ndani ya JF na kwingineko na zinaendelea kupewa nafasi bila kutoa hiyo evidence unayotaka? Kwa ushauri, angalia nyuma ya nia ya kuweka national IDs. Ni tokea lini...
  4. M

    KLH Exclusive: ATC yatumia Milioni 400 ku"pimp our plane"

    Morani75 nimekupata, Ila dalili zinaonesha litakuwa bomu tu.....chochote ambacho watanzania wanakipigia kelele tokea mwanzo ujue 98% kitakuwa na matatizo. Naamini haya malalamiko yametoka ndani ya ATCL, wao wana utaalamu wa ndege, the deal imeingiwa tu kukidhi mahitaji ya watu fulani, the...
  5. M

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    I WISH MAJORITY OF TANZANIANS TO SEE THIS
  6. M

    Spika aahirisha safari ya Marekani

    Kwanini aje bungeni kupoteza muda???si unajua kama ukiwa na pepa vile, halafu unahitaji kuzima moto???!!!! coz jamaa alitaka wiki ya kujiandaa....amerika ambako asingepata bughudha, jamaa wakamkomalia akabaki, so days zimepungua, n he needs to be prepared kukabiliana na maswali...Ndo kitu...
  7. M

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    Nadhani jambo analoweza kufanya Kikwete ili kurudisha imani yake kwa wananchi kwa kiasi fulani, ni kujinasua moja kwa moja na kundi hili lililomteka tokea wakati wa uchaguzi. Atuonyesha kwa vitendo thabiti kuwa mambo haya ya kuwaibia wananchi hataweza kuyavumilia. Atuonyeshe kwa vitendo, na...
  8. M

    Spika aahirisha safari ya Marekani

    Kabla ya kuisoma hiyo ripoti naona kumekuwa na kelele nyingi sana, kama walivyosema wengine unaweza kuta KUNA DANGANYA TOTO. Sasa hivi sisiem na serikalini hali ni ngumu, si wakati wa kuanza kutosana, tena kwa mtu ambaye ni mwanasiasa kama PM, itaondoa imani ya wananchi kwa JK, kwamba chaguo...
  9. M

    Sitta Azima Maswali BUNGENI: Richmond & BoT Zimsubiri Yeye Atoke Marekani!!

    Hahaha, nimeisoma habari nimecheka kimoyomoyo lakini kwa ndani zaidi nikiumia. Kwanza kuwaamimbia wabunge kama watoto wadogo kwamba ziara ni ya kuliongezea bunge uwezo bila ya kuwaambia exactly unaenda kufanya nini, hilo ni dharau kwa wabunge na taifa zima kwa ujumla. Pili waziri mkuu...
  10. M

    ATCL: Another Richmond!

    Kuna mtu amegundulika ni kichaa, watu wakaongea kwamba anyang'anywe rungu lake alilokuwa analitumia kuwaumiza wapita njia. Kweli bwana, akatokea mwenyenguvu akamnyang'anya, wapita njia wakawa salama. Mara akaja mwenyenguvu mwingine akampa rungu lingine huyu kichaa. Sasa tutamlaumu kichaa au...
  11. M

    Zijui Sifa kuu tatu za Kikwete

    Utamheshimu kama angeweza kuheshimu zile kura zote za watanzania(more than 80%).Mfano mmojawapo....kuhusu BOT Rais yuko kimya, Marekani wametoa ofa ya kumrudisha Balali, if rais angekuwa serious hata kiduchu he was supposed to take that opportunity. Inaonesha huo uchunguzi unaofanywa ni...
Back
Top Bottom