Search results

  1. mtizedi

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Nadhani wakati umefika sasa kwa serikali yetu ikarudisha uhusiano wa kibalozi na Israel ili Tanzania iweze kunufaika na misaada ya kiuchumi na kimaendeleo kutoka kwa Israel kama ilivyokuwa miaka ya mwanzo baada ya uhuru. Tutafaidika sana na technologia ya kilimo cha umwagiliaji,ujenzi na...
  2. mtizedi

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    kwa mijibu wa quran , umeambiwa ukiona jambo lolote linakutatiza wewe muislam basi shurt uende kwa wakristo na mayahudi kuomba ufafanuzi..sasa hili la OIC maaskofu ndo wanatoa ufafanuzi maaana wewe na membe wenu hamuelewi nchi inaelekea wapi ... haya usinitibue maana unanifahamu kuwa nina lundo...
  3. mtizedi

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    pamoja na hayo yoote ukweli huu haupingiki kuwa wanzanzibar ambao 98% ni waislamu ..wanamake not more than 3% ya popolation ya nchi nzima.. sensa ya 2002 wakatoliki peke yake ni zaidi ya 15,000,000 nchi nzima.na hiyo ni karibu 27% ya wananchi woe wa tanzania.ndio maana kanisa katoliki lina...
  4. mtizedi

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    hahahahhhhhah nimeipenda hii..
  5. mtizedi

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    zanzibar ina watu wasiozidi 1,000,000.sensa ya 2002 hawakuzidi laki 9, so idadi yao ni ndogo kuliko wananchi walio wilaya ya kinondoni. so hata kama ukiwajumlisha wazenj kwenye popolation remember wanamake up 2.5% of the totoal population ya watanzania wote. so tukiwa add hapo unaona watakuwa...
  6. mtizedi

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    najua kuwa waislamu ni wachache hapo tanganyika ila wapo idadi kubwa hapo dar nadhani ni nusu kwa nusu..lindi, mkoa wa pwani, kondoa-dodoma, singida sina,urambo tabora, kidogoma ujiji, mtwara, but the rest naona wapo wachache sana..
  7. mtizedi

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    kazi ndio kwanza inaanza
  8. mtizedi

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    sijui kwa nini tunawang'ang'ania utadhani bila wao hakuna maisha..tuwaachie nchi yao na sisi tubaki na tanganyika yetu...kwanza nashangaa sisi tunajipendekeza eti tunajiita tanzania bara...wakati wao wakiwa huku ughaibuni wala hawataki kusikia hilo neno tanzania zaidi ya kwenye passport...
  9. mtizedi

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    nimeipenda sana hiii ..upembuzi yakinifu na uliojaa hekma iliyojificha sana.. lazima kuwe na sisi na wao hilo halihepukiki kuwa na sisi tu peke yake kwa mazingira haya itatuletea taabu kubwa..wanastahili kuwa na utambulisho kama taifa "wao-wanzibari" na sisi tunastahili utambulisho wetu kama...
  10. mtizedi

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    maneno yako yamejaa hekma kubwa na yakini ndani yake..natamani kama yangechapishwa kwenye magezeti yale ya mfanyakazi na mzalendo na nipashe sijui..
  11. mtizedi

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    hakutaja mapanga ila amekiri kuwa hali haikuwa shwari na wabunge walihisi amani kuweza kuvunjika wakati wowote.. bado ngoma ipo pale pale
  12. mtizedi

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    unatumia nguvu nyingi sana kuuzima moto huu ..tatizo umebeba mafuta ya petrol kwenye ndoo hiyo unayodhani imejaa maji ya kuuzima moto huo..
  13. mtizedi

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    mzee mwanakijiji haya mambo ya kuteteatetea yatakuvunjia heshma yako ya miaka mingi..naona si lazima kuzungumza kwa kila topic inayoletwa humu ..sometimes unaweza kusoma na kuacha kuandika kwa kuipuuzia na itaishia yenyewe kwa kuendelea kubishabisha na kupinga unaifanya issue hii izidi kuwa...
  14. mtizedi

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    wakati hoja ya wangwe inaanza kujadiliwa hapa JF kuna watu wa jinsi yako walitaka isijadiliwe na ifutwe...sisi tulikuwa tunaleta ushauri ambao naamini kama ungefanyiwa kazi haya yaliyopo sasa yasingekuwepo.matokeo yake tumeona yaliyotokea wiki iliyopita na kusababisha kukitia doa chama cha...
  15. mtizedi

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Kwa wale waliowahi kuvua ..kuna kitu kinaitwa chambo wakati wa kuvua samaki,ni aina fulani ya minyoo inayopatikana ufukweni mwa bahari na huwa inawekwa kwenye ndoana ili samaki aimeze na mwinyowe hukabwa na ndoana na hatimaye kuvulia na kupoteza uhai wake. mengi yamesemwa kukihusu chama cha...
  16. mtizedi

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    mbona thread ya vurugu za tarime niliyoweka jana usiku siioni hapa...du JF nayo ni ya chadema nini? anyway kweli bongo mnakazi si ndogo
  17. mtizedi

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    IMETOKA: michuzi blog
  18. mtizedi

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    mimi mbona nimesikia leo kuwa huyo dogo kasema yeye hajui kuendesha gari?
  19. mtizedi

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    hii taarifa ni nzuri sana...tunashukuru kwa taarifa njema mzee
  20. mtizedi

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    kaka umeongea ukweli mtupu...ni kweli sisi watz hatupo real...we are double standard.... ben alinunua ndege wakapiga keleleeee..wabunge kupewa mashangingi wakapigaa kelele...wangwe kaendesha corola wanapiga kelele wanataka gx... ...naomba kutoa hoja binafsi .......tumnunulie rais ndege mpya...
Back
Top Bottom