Search results

  1. H

    Rais Kikwete amtimua Mwenyekiti wa Bodi Bandari

    wizi mkubwa hasa wa rasilimali za umma na kwenye mashirika makubwa ya umma lazima utake usitake kikwete anahusika, make huyu dogo sasa hv ni billionea wa kufa mtu, ana utajiri wa takribani Dolla za kimarekani Billioni 178. swali ameupata wapi? kwa hyo yeyote anayechezea mahali jamaa...
  2. H

    Anayebambuliwa ana haki ya kushtaki?

    Hao ni wezi kama wezi wengine tu. yeye apige yowe na wao wabambuliwe vichwa kwa sababu mahakamani watapelekwa jela na kutuongezea mzigo walipa kodi huru.
  3. H

    Fukuzafukuza CHADEMA: Josephine kama Mama Ruksa enzi hizo

    Mtoa mada kwanza ungetuweka wazi juu ya haya yafuatayo: Josephine ni nani ktk kamati kuu ya CDM? Walifanya nini waliofukuzwa? Je walitambua mapungufu yao baada ya kuhojiwa na kushauriwa na chama? Mbali na hapo uchambuzi wako hauainishi mapungufu ya kiutawala, kimuundo, kisera na kiitikadi...
  4. H

    Wakazi wa Musoma Mjini wamuomba Prof Sospeter Muhongo kugombea ubunge

    Kwanza Muhongo si mzaliwa wa Musoma mjini bali ni mzaliwa wa musoma vijijini katika kijiji cha Suguti. Pili haki ya kugombea anayo kama mtanzania tena mahali popote ndani ya tz hii si lazima iwe musoma mjini. Tatu amuulize mbunge aliyepita bwana mathayo kwanini hataki kurejea kwenye ulingo...
  5. H

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    Mpumbavu kabisa wewe, yaani kuuwa watu wewe na baba yako ndo mnaona raha eeh. Subirini siku yenu yaja. Hii haina ubishi, utaanza wewe kabla ya mwaka huu kuisha, kisha baba yako kabla ya 2014. Na wengine ambao ni wanafamilia watafuata mfululizo hadi kufikia 2017 kizazi kitakuwa kimekwisha. Najua...
  6. H

    Dr. Slaa sikuelewi, Badilika! La sivyo wewe na CHADEMA...

    Cha kwanza uwezo wa kiuchambuzi na kimaono hauna, kwa sababu uchambuzi wako umejikita ktk personal and private life ya Mtu(ambayo kwa ufupi ni umbea/mipasho ya taarabu) kwa kuwa haina direct impact na taswira ya Slaa kama kiongozi wa kutegemewa na Jamii ya Watz walio wengi zaidi ya 75%. Refer...
  7. H

    Hivi huyu kamzidi huyu kimadaraka...........?

    Ni udhaifu katika serikali ya tanzania tu, duniani kote. kwa sabababu kiongozi wa mbio za mwenge hakupewa mamlaka ya kuwajibisha bali kufungua miradi atakayoikuta maeneo husika bila kujali ubora ikiwa ni pamoja na kuwafikishia wananchi ujumbe wa Mbio za mwenge. Sasa swali la kujiuliza yeye(mbio...
  8. H

    Ulimboka asalitiwa

    Hawawezi kufanya maamuzi magumu kwa harakaharaka hivyo.Ili umshinde adui usimkimbie. Collabo nae ili ujue mbinu zake kisha umtwange. Sasa mng`ong`o amekimbia vita ambapo kimsingi amethibitisha kushindwa. Kwetu wakurya tuna msemo huu``Umshasha atakobhoha kino kighusha, nkobhohare kino ghikuya"...
  9. H

    Serekali hii inatupenda kweli

    Huna serikali bali jamvi la wageni
  10. H

    Amina Chifupa kupokea vitisho na hatimae kufariki. COINCIDENCE?

    CCM siku zote ni wauaji, walimuua Chacha wangwe Kamanda mtiifu kwa wanatarime sasa wanataka kuuaminisha umma kwamba aliuwawa na CDM kitu ambacho hakiingii akilini. ripoti ya uchunguzi wa kifo chake haikuwekwa wazi. Muuaji ambaye alikuwa ni dereva wake alisha achiwa huru na kulipwa chake CCM...
  11. H

    CHADEMA wamepoteza mvuto, CCM wajiimarisha zaidi kwa hoja

    We greenstar nadhani utakuwa ulikua unatafuna pilipili na jojo wakati unaandika na kutafakari uliyoyaandika.kwanza utambue kwamba kama binadamu tunaishi kwa kaisari na kwa mungu. unapokuwa kwa mungu zungumza kimungu mungu na ukiwa kwa kaisari zungumza kikaisari kaisari. kwa ujumla wabunge wa...
  12. H

    Nape atoa neno kwenye Mgomo wa madaktari adai hawana shukrani kwa watanzania

    We Nape sometime uwe unaangalia hali imekaaje make si kila jambo hata la kitaalamu linahitaji propaganda za kijinga namna hiyo, utazidi kushusha hadhi yako ikiwemo kuchafua chama chako hivi hivi.Dogo uwe unasoma matukio usisikie tu na kuruka hewani.Hebu nikuulize, umemsikia baba mwanaasha...
  13. H

    Human Rights' Press release on Dr Ulimboka

    Very very excellent Bisimba
  14. H

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Serikali inapochoka kushughulikia matatizo ya wananchi wake na ikatukuza ufisadi, humuoana kila mwananchi/raia mpenda haki na ukweli kuwa ni adui mkubwa, hasa anapojitokeza kudai haki na kueleza ukweli. Madai ya madaktari ni mapana na yanagusa ustawi wa jamii. kwa mfano wanaposema vitendea kazi...
  15. H

    Nani kiboko kati ya hawa wawili??

    Kimsingi kuwa star ktk tasnia ya sanaa ni pamoja na kuwa Unique and Distinguishable among others. suala hili la watu kumuona msanii fulani ni star ni relative, kwani utakavyomuona msanii fulani kuwa ni star sivyo ambavyo kongosho anavyoweza kumgrade. Kwa wasanii walio wengi hususani wa kike...
  16. H

    Zitto vs Waziri wa ulinzi bungeni leo

    Nia na lengo la swali nadhani ilikuwa ni kupima IQ ya waziri. lakini pia nadhani swali lililenga kumjua kama atakuwa na mawazo sawa na wazanzibari wengine wanaodai kwamba wanaonewa na serikali ya muungano kwa kutoa fursa nono ikiwemo vyeo kwa wabara alhali wazenj hawapewi kipaumbele katika fursa...
Back
Top Bottom