Search results

  1. Mallaba

    Kutengenezewa Mageti, Piga 0715 824677 au 0767 824677

    hapa kazi ipo....dah
  2. Mallaba

    USIPITE HEBU soma HAPA

    Kwa uliyoyaeleza ni dalili tosha za kujua kuwa huyo binti anaumwa ugonjwa wa Major Depressive Disorder (MDD) ambazo dalili zake ni kukosa interest ya vitu alivyokuwa akivifanya zamani, kukosa hamu ya chakula , feeling sad , loss of weight , desperate, feeling worthless and guilty on small...
  3. Mallaba

    natafuta samsung galaxy s2 kwa laki 7

    Hey niko na galaxy tab, almost new with leather cover , wireless bluetooth keyboard, car charger adaptor etc. inbox me if ur interested. Its time to tab
  4. Mallaba

    Wanaume wa Tanzania hawaogi, Hawafui nguo za ndani, Hawapigi mswaki?

    Ukimwangalia machoni ni feki, nywele feki na anaotoka nao lazima wawe feki , kwa hiyo sioni ajabu kuyasema hayo yote.
  5. Mallaba

    Kwanini NOAH (minbus) zizuiliwe!!?

    Ni taarifa ya ukweli kabisa kwani waliozisajiri kwa biashara mikoani wameambiwa baada ya leseni kuisha hawataweza kuzisajili tena. Maana yake kila aliyesajiri mda ukiidha na biashara kwishney!
  6. Mallaba

    Senetor anaumwa balaa!

    Nunua Coldrill utatumia just one day the next day u will be fine. Wish u quick recovery
  7. Mallaba

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Natumaini hao mawaziri watajihuzuru maramoja ili kumlinda PM,lasivyo wote itakula kwao....
  8. Mallaba

    Mazishi ya Kanumba, kamati yapiga hela ndefu

    Ahsante kwa kuliona hilo. Binadamu hatukosi neno hata kama ungemfanyia nini bado tu angekulaumu. Kwanza wafiwa ndio walitakiwa kulipia ile coverage, ijuavyo. Tv zinafaidika sana na matangazo sasa siku ile kulikuwa Na matangazo gani?
  9. Mallaba

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    R.i.p kanumba!
  10. Mallaba

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

    Its tools down. We dont need to attend even emergencies. Sababu tuna serikali yenye kiburi basi tuonane nani aliyeshika mpini nanani aliyeshika makali. Aluta Continua, solidarity forever
  11. Mallaba

    Wagonjwa Muhimbili walia adha ya mgomo

    Yeah hiyo ndiyo hal i halisi hapa. Leo tumeamua kufunga kabisa hata emergency zote. Sasa majeruhi wakipokelewa wapelekwe wapi? Wakati MOI hakina kazi? Wahudumu Wa afya nao wameingia kwenye mgomo sasa hapo ni mpaka kieleweke.
  12. Mallaba

    Madaktari acheni upuuzi na kiburi...!!! Fanyeni kazi

    Ahsante kwa kumtanabaisha . Madaktari hawakurupuki kama unavyohisi.
  13. Mallaba

    Madaktari acheni upuuzi na kiburi...!!! Fanyeni kazi

    Kama hiyo serikali yako inaweza kutoa laki mbili kwa mtu anayesinzia masaa 6 ,je si bora sana akapewa huyu anayetibu afya zetu walau hata elfu hamsini anapokuwa zamu ya masaa 36?
  14. Mallaba

    Madaktari acheni upuuzi na kiburi...!!! Fanyeni kazi

    Laiti ungekuwa umetembea walau hata kujionea madaktari nchi za watu wanavyolipwa nadhani usingekuwa unaongea hizo pumba zako. Nenda tu hata hapo kenya uone dr. analipwa kiasi gani. Mbona tz drs ni wataratibu sana ? Nakwenda kumhudumia mgonjwa wako kwa zaidi di yake masaa 24~36 nalipwa elfu kumi...
  15. Mallaba

    Kuhusu mgomo wa madaktari: John Mnyika

    Pamoja sana !
  16. Mallaba

    Mgomo Wa Madaktari: Jee, Serikali Kuwafukuza Kazi Kwa Summary Dismissal kwa "Insubordination"?

    Well Pasco . Let us wait and see the coming 24~48 hrs will tell !
  17. Mallaba

    Kuingiziwa vidole ukeni.

    Acha kulalamika wewe dada bila ya kuelewa. Kwanza inaonekana wewe bado ni mdogo au hujaugua na kuonwa na daktari. KwaUfupi ni kwamba ninapomwona mgonjwa kwanza nitachukua case history ambayo inatoka kwa mgonjwa mwenyewe na baada ya hapo kinachofuata ni kufanyiwa uchunguzi we call physical...
  18. Mallaba

    Mgomo Wa Madaktari: Jee, Serikali Kuwafukuza Kazi Kwa Summary Dismissal kwa "Insubordination"?

    Hakuna serikali itakayo wafuata? Je cha leo kilichotokea ni kipi? Amekuja waziri wao afya na timu yake bado tumemtimua na kumwomba aje waziri mkuu maana hatuna imani nao tena kwani tumewafata sana ila kwa viburi vyao vya kujiona miungu watu ndio wametufikisha huku tulipo. Wauguzi nao...
Back
Top Bottom