Search results

  1. M

    Waziri wa CUF aiporomoshea CHADEMA matusi!

    sipendi cuf kwaajili ya uzanzibar na udini .Waziri gani unaandika matusi.......
  2. M

    Wassira awakana 'watoto wake' waliojiunga na CHADEMA...

    sio kosa lake tatizo ni usingizi
  3. M

    Lowassa: Mkapa alikuza uchumi, JK punguza matumizi

    Sina shida na lowassa kwa hilo , wanajeshi wenyewe wanalipwa pesa za bure kabisa hawana lolote wanalolifanya ,Vita hakuna kazi ni kunywa piwa, kuvuta bangi, na wanawake na kupiga wananchi pasipo sababu za msingi jana tumezika kijana aliye uliwa na wanajeshi kwa madai ya kuibiwa tv,deki na...
  4. M

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Hoja ya Chadema kwamba ni chama cha kidini sio ukweli kabisa , tena hii propaganda magamba wanaitumia sana kudhoofisha chama , ukweli ni kwamba chadema inapendwa na wananchi wengi wa dini mbalimbali na rika mbalimbali basi CCM na yenyewe ya waislamu, mimi pia muislamu ila naipenda chadema
  5. M

    The Truth Behind The Scenes: Lowassa na Chadema!

    kwa evidence zipi ? Uraisi labda ajipe kura mwenyewe
  6. M

    Madhara ya Bangi

    Kiswahili kigumu mkuu huoni we mwenyewe badala ya kutype mpaka umetype mbaka
  7. M

    Madhara ya Bangi

    Naomba kufahamu madhara ya Bangi kwani wengine wanasema ni dawa na mi natumia
  8. M

    Someni taarifa ya Bernard Kamilius Membe

    hawa wazanzibar wana matatizo , tujitenge nao wasitusababishie matatizo
  9. M

    Ridhiwani Kikwete, thibitisha au kanusha

    chadema wakichukua nchi 2015 tunawafungulia mashtaka kudadekiiii
  10. M

    CHADEMA yavuruga ngome ya Lowassa Monduli

    nguvu ya umma
  11. M

    Waraka no. 1 wa mwaka 2012 wa Mbunge kwa Wananchi- “Ukweli ni Uhuru”- Mnyika

    nimeamini Mbunge mmoja wa Chadema skills zake ni sawa na wabunge 10 wa CCM
Back
Top Bottom