Search results

  1. N

    Biashara kutoka Uturuki

    Ahsanteni mwenye link ambayo naweza apply visa online ya ututruki atupie hapa
  2. N

    Biashara kutoka Uturuki

    Habari asubuhi wanajamvi, kuna ndugu yangu anahitaji kwenda Uturuki kuchukua furniture na pia kucheki bidhaa toufauti za kuja kuuza huku kwetu sema anahitaji invitation letter kutoka kwa kampuni yoyote Uturuki ambayo itakuwa rahisi yeye kupata visa. Nawasilisha
  3. N

    Msaada kuhusu PayPal

    Ok thanks mkuu
  4. N

    Msaada kuhusu PayPal

    Habari za kazi wana jamvi nilikuwa naomba ushauri nahitaji kununua mzigo Alibaba ila huyo seller ana option ya kulipia kwa paypal je pesa yangu itakuwa safe endapo mzigo hautofika kama wafanyavyo ebay. Maana sitaki kutumia Escrow,T/T wala Western Union
  5. N

    Mafundi wa Vehicle GPS Tracker Dar bei poa

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, tunatoa huduma ya kufunga Vehicle GPS Tracker kwa bei poa sana ambapo kupitia simu yako ya mkononi au Laptop yako unaweza kupata taarifa za gari yako popote ulipo duniani kama: - Eneo gari lako lilipo kwa muda husika - Inarekodi route za gari kuanzia siku...
  6. N

    Vodacom Internet ni TZS 275,000 per GB

    Hiyo huduma ya MB 100,SMS 500,DK20 inapatikana kwa walio mikoani tu na ni kwa mteja yeyote me si wakala na nimejiunga mara kibao mpaka sasa simu yangu ina sms 13,823 walio Dar huduma haipatikani.
  7. N

    Simple Way to Track your Personal Car and Fuel consumption through your Mobile

    GPS tracker is a good tool to tracking your car or motorbike real time. With it, you don't worry about the car stolen any more. You can track your car real time place with cellphone. Just send the order code by SMS, then it will reply you the car location and the map link. Built-in SIM card...
  8. N

    Simple Way to Track your Personal Car and Fuel consumption

    Track vehicle from your smartphone and web Check curren location, speed and if your vehivle is parked or moving Ensure safety of your loved ones When not in town,still get notified when your son reaches school or parents reach home. Identify vehicle misuse by your driver Check unintended trips...
  9. N

    Hii ndio GPS Tracker, ondoa wasiwasi wa upotevu wa magari yako tambua lilipo kwa kutumia simu yako

    GPS tracker is a good tool to tracking your car or motorbike real time. With it, you don't worry about the car stolen any more. You can track your car real time place with cellphone. Just send the order code by SMS, then it will reply you the car location and the map link. Built-in SIM card...
  10. N

    Pata Realtime Car GPS Tracker kwa bei poa

    GPS tracker is a good tool to tracking your car or motorbike real time. With it, you don't worry about the car stolen any more. You can track your car real time place with cellphone. Just send the order code by SMS, then it will reply you the car location and the map link. Built-in SIM card...
  11. N

    Mini RealTime GPS/GSM/GPRS Car Vehicle Tracker

    Functions: Suitable for cars, vans, trucks, bikes, etc. No Contract, No Activation Fee, No Software use Fee. Can Remote control car power and oil More safety and convenience, by running on mobile phone or personal computer It can help you track anything such as your car, boat and other...
  12. N

    NEW Mini Global Real Time GSM/GPRS/GPS Tracker

    Kama unahitaji trcking device tuwasiliane zipo kwa bei rahisi sana tsh 250,000 tu. Tupigie 0717057552 au 0764818022 .
  13. N

    Natafuta GPS Track kuweka kwenye gari

    Kama unahitaji trcking device tuwasiliane zipo kwa bei rahisi sana tsh 250,000 tu. Tupigie 0717057552 au 0764818022 .
  14. N

    Natafuta Tracking Devices

    Kama unahitaji trcking device tuwasiliane zipo kwa bei rahisi sana tsh 250,000 tu. Tupigie 0717057552 au 0764818022 .
  15. N

    Kwa mwenye ufahamu juu ya software hii

    Wadau kwa mwenye ufahamu juu ya software ya kuweka caption kwenye image kama hiyo hapo juu anitajie tu jina au link kama itawezekana natanguliza shukrani.
  16. N

    M-pesa online payment Help

    Ok ahsanten kwa ushauri ngoja nilifanyie kazi hilo
  17. N

    M-pesa online payment Help

    Habari za kazi wadau naombeni ushauri nataka ninunue system ya Hotel Online reservation kwaajili ya Hotel yetu sasa payment zilizopo katika system ni credit card na paypal. Je nawezaje ku-link m-pesa pale ili customer wangu waweze kulipia malipo kwa m-pesa naombeni ushauri wenu.
  18. N

    Endesha biashara yako kisasa

    Katika post yangu kule ulisema unawawekea watu bure iliishia wapi ya bure...ujue siku hizi kila mtu amekuwa sio kudanganywa tu.
  19. N

    Tunafanya Installation na Training za Quickbooks

    Wizi gani huo ndugu
  20. N

    Tunafanya Installation na Training za Quickbooks

    Installation pamoja na Training ni Tsh. 350,000 tu.
Back
Top Bottom