Search results

  1. D

    Mulugo: Nilifaulu peke yangu kwenda secondary

    Alifaulu peke yake, na ni peke yake duniani anayetambua muungano wa pemaba na zimbabwe mwaka 11964
  2. D

    Madudu ya wahitimu vyuo vikuu.

    ukiwasikia, nimehitimu mzumbe kumbe hata basic english chali, halafu eti ee kosa la kibinadamu nani kasema, kosa la kutokujua hilo
  3. D

    Ridhiwan Kikwete awashitaki Dr. Slaa, Mtikila

    Namwamin Dr. wa ukweli kijana akimwaga mboga anamwaga ugali, yaani mafisadi ndo walivyo, mara leo hee mimi sina ki2, mara eee msinifuatilie kwenye biashara zangu, mwingine wa kumvaa nani mtikila wee amuulize ding yake, chezea mchungaji we dogo.
  4. D

    Waziri Magufuli: Rais Kikwete zidisha Safari baba, zinachochea maendeleo kwa kasi nchini

    Moja kati ya mawaziri wa serikari ya awamu hii ambao bila kujali itikadi zetu za kisiasa ama zozote zile ni Mh. John Pombe Mgufuli, anasifika sana kwa uwezo wake wa kiutendaji, kusimamia sheria na kujiamini, japo amekuwa akilaumiwa kwa kosa la kushirika kwa uzwaaji wa nyumba za shirika la nyumba...
  5. D

    Bodi ya Shule ya Sekondari Bagamoyo yawasimamisha Masomo wanafunzi nane

    Huyo mwl. naye hajiamin ndo kama yule wa pemba na zimbabwe nin?
  6. D

    Bodi ya Shule ya Sekondari Bagamoyo yawasimamisha Masomo wanafunzi nane

    Mfumo kristo ndo mfumo gani? Hivi ndug yangu cha kuwatetea hao ni nini hasa, kama ulifuatilia habari wao wanadai mwalimu mkuu alikuwa anawapigia kampeni wakristo, inawezekana ikawa kweli, lakin wanafunzi wa kiislamu ndo inasemekana walikuwa wa kwanza kumsimamisha mgombea wao, halafu baadaye...
  7. D

    sociologist

    I work with Dar es salaam University and i was given a chance to participate in same of their projects. sasa kwanini unatafuta kazi kama unafanya kazi UD? GPA grade,GPA = Grade Points Average
  8. D

    Lowassa na Chenge kuhakikisha Membe haingii kwenye top 10 NEC kundi la kifo!

    Kweli kutoka moyoni nasema huwa sipendi hata kidogo kusikia EL eti anawaza kwenda magogoni ukiachilia mbali kwamba sipendi Rais wa 2015 atoke mabwepande, lakin watu wanampambaaaaaaa! sawa kila mtu na mtazamo wake, lakin tujiulize sisi kama watanzania EL na wenzake anazitoa wapi pesa...
  9. D

    Wabunge wataka Umri wa kugombea Urais uwe 35; Zitto asema umri mkubwa ni ushamba

    Hatutaki mapendekezo yao walikuwa wapi siku zote, hizi ni njama za kutaka kuhodhi maoni ya katiba waache wananchi watoe maoni yao/yetu
  10. D

    Je, Ni halali kwa mwananchi wa Tanzania kutamka maneno haya?

    Mleta maada mbona unakuwa kama si mtanzania tena aishiye tanzania, je unauhakika viongozi wote kwa mazingira ya sasa wanachaguliwa na wananchi? na je unamlaumu mwananchi wa kawaida hujaona yanayotokea kidogo 2 wakijaribu kupaaza sauti zao, mara mabomu, maji ya kuwasha, mapwepande nk. so nafikiri...
  11. D

    Rushwa Chaguzi za CCM na ukimya wa Tendwa

    Hata jana nimemsikia mtangazaji James Range wa Star TV, kwenye kipindi cha tuongee asubuhi kuwa walimwalika lakini kaingia mitini kwani siku moja kabla (yaan juzi) ndo ilikuwa wafanye naye kipindi lakini akawaomba iwe jana na jana akatokomea kusikojulikana na maada ilikuwa inahusu rushwa kwenye...
  12. D

    Hivi kibonde anafikiria nini wakati mwingine??

    Kama kunasababu inayonifanya nichange radio station ya clouds ni ninapomsikia kibonde, naamini kanizidi umri tu na ukanjanja. Kibonde is a simple mind that discusses people
  13. D

    Hongera sana Chadema kwenye matokeo ya udiwani ...

    mungu bariki Tanzania, CHADEMA na watu wake
  14. D

    Fahahu hivi ndio vyuo bora ambao wanafunzi wake hufanya vizuli maofisini na kozi

    Yaani hizi ndo janjajanja colleges, yaani uandishi poor, thread yenyewe hovyo na nahisi ni yakwako kwani source yake haijitosherezi, mi nadhani nawe ni walewale umeamua kuja kivyako
  15. D

    Utajiri wa Kamanda Barlow Unatisha! Soma hapa...

    Bado naye yule mkur***nz mweny jina kama la Zuberi maana naye hapa mwanza tetesi tunazozipata zinatisha, tunasikia hadi kanyang'anya viwanja vya watu halafu wanajenga magorofa yao ziwani.
  16. D

    Karibu Ilembula.

    unanikumbusha mwaka 2003 nikiwa nasaka life nikiwa nikiwa nauza kalenda na picha za ukutuni nikitokea mbeya,chimala,rujewa, ilembula, kuelekea makambako hadi mafinga, kulikuwa na guest moja nafikr inaitwa gift, mabint wakung'ang'anie kama si kumuomba mungu da sijui ningelikuwa wapi.
  17. D

    Karibu Ilembula.

    Unanikumbusha mwaka 2003 nikiwa nasaka life nauza kalenda na picha toka mbeya, chimala, ubaruku, makambako, hadi mafinga, kulikuwa na guest house moja hapo nimesahau jina kama sio Gift, baridi kali na ulanzi kwa kwenda mbele, mabint wa guest kama si kumuomba mungu huenda yangekuwa mengine!
  18. D

    Peter Msigwa avamiwa na vibaka maeneo ya Ikulu

    Kwani hayo ni malalamiko? Just a statement
Back
Top Bottom