Search results

  1. Muungano hatuutaki

    CCM, Chama cha Matusi.

    Tuwe nao tu.
  2. Muungano hatuutaki

    Sasha Obama

    Mijitu kama haina kazi utaijua tu, uyo obama na family yake anakuhusuni nini nyinyi. Upumbavu tu.
  3. Muungano hatuutaki

    Kama Tanzania inataka kusaidia Congo, isifanye kwa siri

    Waache waande hawana kazi moja wanayoifanya huku nchini.
  4. Muungano hatuutaki

    Yaliojiri leo Vuga katika kesi ya wanaotetea Zanzibar yenye mamlaka kamili

    Viongozi wa jumuiya ya uamsho wanaodaiwa kusababisha vitendo vya uvunjifu wa amani Visiwani zanzibar wamefikishwa kwa mara nyengine katika mahakama kuu ya vuga kwa ajili ya kutolewa ufafanuzi juu ya malalamiko yaliyotolewa na mawakili wao dhidi ya vitendo wanavyofanyiwa wateja wao wanapokuwepo...
  5. Muungano hatuutaki

    Mauaji Ukanda wa Gaza!

    umeongea point mkuu
  6. Muungano hatuutaki

    Hotuba ya Karume ndiyo thabiti zaidi na yenye manufaa kwa CCM ya leo na kesho!

    amin. Mungu ibarik zanzibar na tanganyika kwa ujumla pamoja na watu wake
  7. Muungano hatuutaki

    Je unatamani kuona nini kabla hujafa?

    hapa jf pana uhuru wA KUCHANGIA LOLOTE according to ur view.
  8. Muungano hatuutaki

    Je unatamani kuona nini kabla hujafa?

    Natamani zanzibar tuachiwe tupumuwe natamani zanzibar iwe huru kutoka kwenye ukoloni wakitanganyika iwe na mamlaka kamili ya kitaifa na kimataifa zanzibar iwe na kiti chake umoja wa kimataifa natamani mashekhe wetu waachiwe na waendelee kufanya harakati za ukombozi wa zanzibar natamani rais...
  9. Muungano hatuutaki

    Oman yataka kujenge kituo cha kisasa cha kislamu nchini Zanzibar

    Nimegundua humu ndani ukisema ukweli huwa wanaku ban. Nimeingiza thread yangu recently wame ni ban, lakn wajanja huwaga hatuna id moja, na kama kawa tutaendelea kusema ukweli kama hamtupendi waislam hususan wazanzibar. Ata mkituban tuna id nyingi tu. Hii JF ni ya wakristu nimegundua.
  10. Muungano hatuutaki

    natafuta mpenzi wa kike ni chati nae kwenye facebook tu

    Kama imekuuma iyo post si usingechangia, au kama umeipenda mpe dada yako my facebook id, than atakwambia ninavyochati naye, umefahamu muheshimiwa?????????????? Alaaaaaaaaaaaa nimepata picha ndo nyie watanganyika tusiwowahitaji zanzibar mnajifanya mnaupenda muungano,,, tuachiwe...
  11. Muungano hatuutaki

    natafuta mpenzi wa kike ni chati nae kwenye facebook tu

    natafuta msichana ambaye atakua anatumia facebook ili nipate kuchati nae, awe na sifa yoyote ile mi nipo tayari kuwa nae my facebook profile is www.facebook.com/mtaalam18
  12. Muungano hatuutaki

    Let Zanzibar Go! - Kwanini Zanzibar hawahitaji kuwashawishi Watanganyika ili watoke kwenye Muungano

    not ukalimu bali ni ukarimu, anyway,,,,,,, sisi hatutakukumbukeni kwa lolote bali kwa maovu na ufisadi na unyonyaji wa visiwa vidogo vya zanzibar, mimamo wetu uko palepale tunataka zanzibar huru tumechoka na ukoloni wa watanganyika. TUACHWE TUPUMUWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
  13. Muungano hatuutaki

    Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

    mimi nikiwa kama mzanzibar, sitaki wala sipendi kusukia, msimamo wetu ni uleule wa kuvunja muungana ili tupate kurejesha jamhuri ya watu wa zanzibar, pamajo na its full sovereignity, yenye kujiamuliwa maamuzu yake mwenyewe, pamoja na rais wake anayetambulika nje na ndani ya nchi.:yawn:
Back
Top Bottom