Search results

  1. M

    Kutuma hela kwa mpesa. Do it at your own risk

    Siyo Voda tu hata TIGOPESA nao ni kimeo, Wahudumu wao wanakupa matumaini kuwa pesa yako itafika ulikotuma baada ya muda mfupi kumbe ni kukufurahisha tu. Hasa ukituma pesa siku za weekend ni bomu kabisa.
  2. M

    Serikali, waelekezeni wanaotafuta elimu ya India na China kwa watoto wasio na sifa

    Toa Mfano wa kijana yeyote aliyesoma katika hivyo vyuo vya nje ambae ni kilaza au ana vyeti feki.
  3. M

    Msaada wa tiba mbadala ya Cancer ya Ini

    Pia chemsha majani ya mstafeli na unywe kwa muda mrefu ukiendelea kufuatilia.
  4. M

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Wakuu, mimi ni Mstaafu Mtarajiwa, Natafuta incubator yenye uwezo wa kutoa vifaranga wa kuku na bata kati 500- 1000 kwa mara moja. Ni mradi ambao unaweza kujiajiri mwenyewe na ukaweza kuishi bila kutegemea ppf au NSSF.
  5. M

    Tanganyika imerudi

    ndiyoooooooooooooooooooooooooooo irudi
  6. M

    Chief Humphrey Mashingia is no more

    Raha ya milele umpe e Bwana, Na Mwanga wa milele umuanzazie,apumzikekwa amani.AMINA Nafikiri mazishi yatakuwa hapa Dar ,Nyumbani kwake.
  7. M

    Kwa sisi wapenzi wa kitimoto

    Njoo kw afande ukutane na george
  8. M

    TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

    Pole saana Kwa familia nzima ya SAJUKI
  9. M

    Nahitaji Gari

    Mimi ninayo Toyota Cresta year 2001, Km 77,000,Imengia Hapa Tz tarehe 10/8/12 toka Japan. Ni nzuri sana wasiliana nami Kwa namba 0784 753283.
  10. M

    Natafuta Gari la kununua

    Chukua familly car,Nissan Serena 2003/8 imesajiliwa karibuni
  11. M

    Ex-Tanzania Tourism Board boss dies

    Rip mzee mwenguo,poleni wanafamilia
  12. M

    Tanesco yatangaza mgawo wa umeme nchi nzima

    Labda Hao Watu Wana Maduka Ya Kuuza Generator Toka China au Wana HISA IPTL
  13. M

    Mkutano wa Mwakyembe na Hoja za Mgongano wa Maslahi

    Huyu RA asiwadangaye watanzania. Huyu ni Muiran kabisa , Babu zake walikuja Tabora kufanya biashara tu. Asijidai ana uzalendo wakati tunajua mguu mmoja hapa mwinyine uko dubai. Anaikoroga nchi huyu.
  14. M

    News of the screws

    Kinondoni Area Commissioner, Afande Colonel Tarimo!!!!!!! Be careful, It is Fabian Massawe,
  15. M

    Chakula cha usiku: Wahanga sasa ni wanawake!

    Hii thread siyo pahala pake, please pelekeni kwenye jokes
  16. M

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Kwa Uhakika CHADEMA WAMESHINDA, UBUNGE NA UDIWANI. Hiyo ni kweli.
  17. M

    Namba mpya za magari zaja

    Kiboriloni kwa samanya
  18. M

    Namba mpya za magari zaja

    Na Haya kiingereza kama T200ASS, utasemaje? NI mawazo yako tu!! Ni namba kama namba zingine,
  19. M

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Jamani Huyu Mchungaji feki ni yuleyule aliekuwa anamnyoshea RA vidole kumbe kahongwa Shs milioni 3 au zaidi. Sasa kaambiwa asizirejeshe ila atafute namna ya kukichafua chadema pamoja na watu fulani fulani ambao wanachonga saana kuhusu RA. Matapeli wa siasa hiyo ndio dawa yao. Wanafikiri...
  20. M

    Namba mpya za magari zaja

    Huo ni Uchafu kabisa!!!! Hili ni jukwaa la watu wastaabu, hayo maneno ya baa za sinza yatoka wapi?
Back
Top Bottom