Search results

  1. S

    Wanachokitaka wanawake

    awe ni mtu aliyebeba utu wa mwanadamu kuliko kitu kingine chochote. akiwa ni wa kunipenda mimi na kuwachukia wengine itakuwa ni hatari sana.
  2. S

    'MESEJI' ya HUJUMA...

    tuwekee data za kutosha ili tuweza kuriacti ktk hiyo issue men.
  3. S

    Gazeti la Rai: Mukama adaiwa kutaka kujiuzulu kisa Nape; Mwenyewe akanusha!

    hawakiwii kusema kuna mkono wa wapinzani ktk hiyo attempt ya bwana magamba mwenzao.
  4. S

    Gazeti la Rai: Mukama adaiwa kutaka kujiuzulu kisa Nape; Mwenyewe akanusha!

    hilo lipo wazi kwa kila mtu mweenye macho na akili ya utambuzi, ngoja tuone msimamo wa bwana Mukama au ndiyo zilezile fiksi zao.
  5. S

    Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

    hiyo ni siasa na kamwe hawezi kushinda na pengine amejitia doa huyo Rose Kamili. Ni vyema akajua ashakua na pia she is a public figure.
  6. S

    Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

    Hayo ndiyo maipact ya fgm au ukeketaji, laani hilo katika jamii yako
  7. S

    Huwa siwezi kabisa....

    Bado haujakua na inaonekana unamwogopa mkeo na mbaya zaidi ulizoea kwenda porini
  8. S

    Naombeni ushauri.

    Zidisha ujuzi wa kumjenga kisaikolojia zaidi
  9. S

    Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

    Hakuna kitu cha hatari kama kutembea na mke wa mtu, its very bad and painful ndo maana mwenye mke akikufuma anakata shingo na polisi hakuna kesi . Look verry.
  10. S

    Usaliti sio mzuri nimekoma.

    Hivyo vitu sio vya kujaribu jaribu uwe makini coz kuna siku utakutana na aliye flat na smooth.
  11. S

    Hiki kitendo ni cha halali wakuu?

    Haiwezekani na hakika atamfuata siwezi kuridi naye.
  12. S

    mke mwema(kwa wanaume tu)

    Kwa aslimia tisini ni sawa
  13. S

    Lipi hupendi mpenzi wako afanye ... ? Mimi ni hili .. we je?

    Pale anapokuwa itrovert hata anashindwa kuwapokea wageni
  14. S

    Lipi hupendi mpenzi wako afanye ... ? Mimi ni hili .. we je?

    Akisema ndio mwanzo wa mtafaruko wa mahusiano, he is to keep quite.
  15. S

    Katiba mpya na fiksi za wakuu wa Wilaya.

    Inasikitisha kusikia tayari wakuu wa wilaya ambao ni mkada wa chama cha mapinduzi tayari wameshaanza kuichakachua mpango wa ukusanyaji wa maombi ya katiba mpya. Wanawapanga watu wa kuongea na vitu vya kusema huku wakiwaelekeza wenyeviti wa kata kuwapointi kila wanaponyosha vidole na kuwaacha...
  16. S

    Kama kuna mtu ana mapenzi mema na rais amfikishie ujumbe huu....

    masikio yao hayasikii, macho yao hayaoni, akili zao hazitambui na mioyo yao haina huruma wala utu tena na wkiona watakutafuta kwamba unahatarisha amani ya taifa.
  17. S

    ITV/Radio One vs CHADEMA kunani?

    hiyo ndiyo shida ya watu kushindwa kusimamia dhamira zao na kutumikia dhamira za watu wengine hata kama imani zao haziwaruhusu. Some times inawezekana nao wameshaanza kuwatumikia mafisadi.
  18. S

    Mnyika Kwishney, awasilisha ushahidi mwepesi na kwa sasa asubiri huruma ya spika tu

    Hakika kama wewe ni mgeni wa mambo ya bunge letu utapata shida kuelewa mambo mengi. Kabla ya kuanza na hilo la Mnyika ni vyema ukajiuliza ushahidi wa lema juu ya waziri mkuu uko wapi na ule wa magdalena sakaya dhihidi ya unyanyasaji wa wakuu wa wilaya alio ombwa na mkuchika. ukipata majibu then...
  19. S

    Majibu ya Jack Zoka yana utata!

    MUNGU ndiye idara ya usalama inayoaminika wala Jack Zoka asihangaika kujificha wakati anatekeleza mikakati yake ya kuliangamiza taifa la tanzania kwa sasbabu Mungu atazidi kumuanika machoni petu. Zoka ajue hawezi kua wateule wa Mungu hata siku moja.
  20. S

    Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

    Leo hii nimehitimu mafunzo yangu ya shahada ya kwanza hakika nina nafasi ya kuwa mkurugenzi ikiwa hawa watu wasiokuwa na sifa wataondolewa wote. taifa linaloamini katika giza linafanya vitu kigizagiza pia.
Back
Top Bottom