Search results

  1. Money Bags

    Mashine (Crusher) La Kusaga Mawe Na Kutoa Kokoto/ Mchanga (Powder)/ Chippin

    Kokoto 1/2 inch 3/4 inch 1 inch Chipping Dust as Dust (As a derivate / end product) Shukrani sana Mkuu.
  2. Money Bags

    Mashine (Crusher) La Kusaga Mawe Na Kutoa Kokoto/ Mchanga (Powder)/ Chippin

    Wasalaam Wakuu Kama kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mjasiriamali natamani kuwekeza kwenye mradi wa kupasua mawe na kutoa derivatives i.e. kokoto, chipping na mchanga ulio katika powder / vumbi. Hivyo nauliza kwa unyenyekevu suppliers wa hizi machines / plants from China na Europe na uwezo...
  3. Money Bags

    Biashara ni kushikana mikono, Nashuhudia kwa macho yangu waliokuwa wanafunga mkia darasani na uwezo wa kawaida kiakili wanapiiga mshindo

    Braza Kaka Maisha Yana Siri Sana. Usilolijua Litakusumbua. Wapo watu hapo kkoo hata kuandika kiswahili kwa ufasaha hawawezi ila wana hela mpaka wanatapika. Shida wasomi wanatafuta hela kwa akili za darasani. Its a whole different game mtaani. Kingine swala kuacha ajira uje mtaani ukae siku...
  4. Money Bags

    Hotel Vacancies Available - Dar es Salaam City Center

    VACANCIES AVAILABLE Hotel Location Dar es Salaam, City Center [Posta] 1. HOTEL MANAGER 2. HOTEL SUPERVISOR 3. HOTEL MARKETING MANAGER 4. HOTEL RECEPTIONIST (3 Posts) 5. HOTEL CHEF (3 Posts) QUALIFICATIONS 1. Fluent in English & Swahili (Additional Languages Could Be An Advantage) 2...
  5. Money Bags

    2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

    Pisi Kali Simu Kali Njaa Kali Kweli Game Gumu, Povu La Litre 20 hilo. Ishi na Vyako Dada Case Closed [emoji38][emoji38][emoji38]
  6. Money Bags

    2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

    Yani hapo alikua anakuwekea mazingira akuingize kingi akakumue wallet naona anko ukala ganzi full nati na spanner umepoteza HaHaHaHa
  7. Money Bags

    2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

    Unakutana na dem hata halina challenge ya maisha, biashara au mbinu za mapambano. Mimi baba yangu mzazi alikutana na mama yangu kwenye mishe za kutafuta maisha….mzee akanichana live mama yako mpambanaji haswa kwa jasho na damu hela ametafuta….na hii inapelekea hata men kuheshimu mwanamke wa hivi...
  8. Money Bags

    2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

    Mleta mada uko sahihi sana i feel what u say big tym, hayo maviumbe ni maj!n! mufilisi. Hela ninayo na sioni taabu kutoa ila sitoi na sitatoa hela kwa mwanamke ambae hana chembe ya huruma, utu na ubinadamu. I observe too well i know. Sina tatzo na kuomba hela ila kuna vitu mwenyewe na vi expect...
  9. Money Bags

    Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

    Kama Huna Any Support System (Back Up Ya Ajira, Asset Yako Iwe Ya Kurithi au Yako Mwenyewe Inayokuingizia Hela, Back up ya kazi / biashara za wazazi) Fanya Yafuatayo Regardless Umesoma Au La 1. Swallow ur pride usijione kama wewe ni wa kufanya kazi za aina flan (za kisomi) pekee. 2. Nunua...
  10. Money Bags

    Sifa za husband material

    Una comment upuuzi na kujichekesha mwenyewe. Aliyesema mwanaume akimbie majukumu nani ?? Ndio mazob@ wenyewe nyie hahaha
  11. Money Bags

    Sifa za husband material

    Wanawake kama nyie huwa mnafanya mwanaume kama chuma ulete. Fanya kazi add value kwa mwenzako (ili maisha yenu yaende, cz its a collaboration and life partnership and support dem akiwa hivi hata sioni noma akila hela yangu cz kuna kitu anachangia kwenye returns not otherwise) Otherwise tunakula...
  12. Money Bags

    Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

    Jini hilo mwenge - posta na kurudi litre 10. Hahaha
  13. Money Bags

    Ujirani mwingine ni kero tupu

    Hama Uswahilini.
  14. Money Bags

    Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    Kuna Toyota Voltz CWW haina tatzo lolote imetunzwa sana. Una vunja ??
  15. Money Bags

    Kwenye mahusiano wanaume wanapoteza zaidi kuliko wanawake

    Mi mpaka dem ale hela zangu ni kwamba nimeshamtibua haswaa. One thing hawa wanawake watu hawajui tu ni kwenda nao taratibu usijifanye mbabe / mjuaji wapo raia wanakuchora tu na wanakula bure hata tukitoa hela ni ya kawaida sanaa ila unakuta wengine wanapasuka hela kibao + kulia lia huko Sina...
  16. Money Bags

    Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, what's the difference?

    Tumsifu / Asifiwe Its The Same Thing. Tofauti Ipo Wap Hapo ?? Salam Ya Wakristo Nyingine Ni Kutamkiana Neno “ Shallom “ from Hebrew Origin Meaning Peace….maneno ambayo hata majirani zetu hutamkiana hivyo ila kwa Arabic. Mambo mengine ni kuelewa zaidi na sio kukariri.
  17. Money Bags

    Ushauri wangu kwa vijana wa kidato cha 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya Chuo Kikuu

    KAKA NIPE MKONO. UMEMALIZA BINGWA !! NIME ANDIKA KWA CAPITAL LETTERS KUKUBALIANA NA ULICHOSEMA KWA MIKONO NA MIGUU YOTE. YANI UKO SAHIHI MNOO KUPITILIZA VIJANA BLUEPRINT HII HAPA, WAKUONA NA KUSIKIA WASOME HAPA NA WAELEWE [emoji817][emoji817] Kwa My Scenario na Kwa Mazingira Yangu Na...
Back
Top Bottom