Katika kitabu cha Starved for Science, How Biotechnology is being kept out of Africa cha Mwandishi Robert Paarlberg kuna hoja nyingi juu ya kwanini wakulima wengi barani Afrika ni maskini kutokana na kupuuza teknolojia ya uhandisi Jeni.
Katika nchi yetu, wakulima wetu na jamii imepotoshwa...
Aaah! Haya mambo ya kutibuliana madili ni uchawi aaagrii.. Clouds nao wana waleta Chris Brown na Rihana tuone kama vinega na Jide wao kama watakusanya nyomi ya people
Pumbav zao... Wangepunguza kodi wangekua wanafanya la maana, sio wanaoongeza mishahara huku kodi ipo juu, hapo wanamsaidiaje mfanyakazi au ndio danganya toto?
Pamoja sana mkuu... Taaluma unapo pata kitengo hasa sehemu kama Bank na ukwa na juhudi na ukaonesha kujua vitu sio vitu vikujue wewe, una grow faster sana mkuu..... unaonaje ukiwa mkuu wa Idara ya Treasury au mmoja wa staff wa hiyo Idara? Pia ukitaka kupata nafasi kwa urahisi katika hako ka...
Jamaa hao, wametekeleza hilo tukio huku wakiwa wameacha alama nyingi sana za wao kubainika kiurahisi sana.. hata -------- angeweza kuwabaini. hawana hata chembe ya umafia... na nchi ilivyo nuka rushwa bora hiyo pesa angewapa LTK wangemsaidia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.