Search results

  1. A

    Meya Boniface: Jinsi nilivyonusurika na kutoka kizuizini Uwanja wa JNIA baada ya saa 3

    Meya si muajiriwa wa serikali. Meya ni Diwani. Halipwi mshahara. Analipwa posho ya vikao kama madiwani wengine.
  2. A

    Mwenyekiti wa PAC umethibitisha udhaifu wa Bunge, Lugola na Mpango mpo exit door

    Kwani Zitto Kabwe ni sehemu ya serikali mpaka azuiwe kimaadili kuzungumzia/kuisifia/kuiponda ripoti ya CAG?
  3. A

    Tetesi: Serikali yadaiwa kumvua uraia Padri wa Kanisa Katoliki

    T Sent using Jamii Forums mobile app
  4. A

    Haya maelezo ni uongo juu ya A220-300

    Hivi hio Airbus imenunuliwa kwa shs ngapi
  5. A

    Ujanja janja kwenye korosho ni kumuumiza mkulima

    Mwaka unakatika. Tupe maendeleo ya ununuzu wa korosho.
  6. A

    Rais Magufuli: Kama balozi atakaa miezi sita bila kuleta ripoti ya alichokifanya ntamtumbua

    Kama RPC ni wa mkoa wa kipolisi basi boss wake anakuwa DC wa wilaya. Mfano RPC kinondoni anakuwa chini ya DC kinondoni
  7. A

    Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

    Lamba eneo la ngozi baada ya kiganja. Baada ya sekunde 5 panuse. Harufu utakayoisikia ndio wanayosikia wenzio ukiongea nao kwa ukaribu. Cku njema.
  8. A

    TANZIA: K. R. Chaudri head master wa Popatlal sekondari amefariki

    Ungeweka na miaka aliyohudumu kama Headmaster ingependeza
  9. A

    Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Kwani wewe ni kabila gani? Mhaya?
  10. A

    Matumizi ya kiingereza: "Somehow" na "Somewhat"

    Upo sahihi. Watu wanapindisha lugha kwa kutokujua wasemacho.
  11. A

    Naomba msaada wa kilimo cha Azolla

    Natumia kwenye mifugo yangu
  12. A

    Fahamu jinsi ya kutengeneza chakula chako cha kuku ili kupata faida

    Badala ya dagaa nikitumia unga wa samaki. Je, kuna utofauti?
  13. A

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Ni vyema pia kujua kuwa kuku chotara ana apetite kubwa sana ya kula. Jiandae kwa hilo.
  14. A

    Namna ya kudhibiti Nguruwe Pori kwa uharibifu shamba la Mihogo

    Changanya pumba za mahindi na cement. Weka kwenye makarai shambani pamoja na sufuria lenye maji. Baada ya siku 2 tatizo litakwisha.
Back
Top Bottom